BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
Wizara ya TAMISEMI ni Injini ya Taifa letu. Hii Wizara inamgusa kila mwananchi. Asilimia zaidi ya 60 ya Watumishi wa Umma wanasimamiwa na TAMISEMI.

Sasa Wizara hii ikiongea ujue kuna jambo na leo Jumatano Machi 20, 2024 Waziri wa Wizara hii Injini ya Taifa, Mhe. Mohamed Mchengerwa anazungumza na Vyombo vya Habari kuanzia saa 5 asubuhi hii. Itakua Mubashara TAMISEMI TV, usikose kufuatilia kujua TAMISEMI ina nini. Saa 5 asubuhi hii.

IMG-20240320-WA0005.jpg
 
Wizara hizi tatu ndio injini ya Taifa , wizara ya fedha , wizara ya ulinzi na wizara ya mambo ya nje.
 
Wizara hizi tatu ndio injini ya Taifa , wizara ya fedha , wizara ya ulinzi na wizara ya mambo ya nje.
 
Kama vile nawaona jobless waalimu na mauguzi wakiwa makini kufatilia
 
Back
Top Bottom