Jana mngeniona kwenye vyombo vya habari nikisambaa kama moto nyikani. Alitaka nitafutia kesi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Nimetoka zangu home nikaona niende kijiwe samli kufanya service ya gari. Ijumaa mabruki ilikuwa kwangu tawile tu sina makuu ni siku ambayo mara nyingi nala biryani pale Kariakoo, Lumumba Maghorofani.

Jana haikuwa hivyo. Nikaona isiwepo tashdidi. Nikiwa na kanzu yangu nikannunua vimiminika vyangu vya kuweka kwenye gari nikaenda liwekea.

Nimekaa pale kijiwe ukafika muda nikaagiza msosi ukaletwa kwenye mkebe nikawa nakula. Si akaja mwehu mmoja ananiuliza kwa nini nakula ramadhani na huku nimevaa kanzu?

Sikumjibu kitu. Akauliza mara ya pili huku anatoa sahani.... Wallah wabillah nilikuwa naelekea kuua kwa kukusudia. Maana nliukamata ule mkono na kuuviringa mfano wa mtu anayekamua nguo. Jamaa alipiga ndele kwa sauti ya juu.

Maana tayari alinikumbusha mafunzo nliyopata toka kwa sheikh Idrisa pale Sudan. Kungfu na Karate. Mwili wangu ulishaanza kuchemka wazaramo wanapanda kuja kichwani.

Wale madogo wananifaham haraka wakaja kunishika miguu wakiomba nisimfanye kitu kingine yule boya ni mgeni pale kijiweni. Jamaa mkono ulichomoka toka kwenye soketi. Alikuwa anapiga kelele kwa maumivu.

Jamaa walimwambia siku nyingine ajifunze kudandia watu asiowajua akijifanya yeye anajua sana dini kuliko waliyoileta mbwa yule.

Nliondoka zangu nikiwa nawaza what if ngeua jamaa? Si ingekuwa ni mada kesi kabisa kwa mambo ya kipumbavu? Nakula kwa pesa yangu, kanzu nimenunua kwa pesa zangu, tusipangiane maisha.
 
Sasa na wewe hadi uvae kanzu ndio uanze kula biriani? Sio kutaka kuwarusha watu roho ama nini?
 
Haya maandazi naona yanachelewa ngoja niagize mihogo
 
😂😂😂😂Ewwww
 
Back
Top Bottom