Vyombo vya Habari Tanzania bado sana, mfano gazeti la Mwananchi

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
3,054
4,640
Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kutafuta habari, kuchambua habari na kutoa habari.

sio habari za akina Boni ya kukamatwa ambazo zinagazaa katka acoount za Twitter ni habari zile ambazo ukiztoa wenye nguvu wanashtuka.

Moja ya ethics kubwa cha chombo cha habari ni kusema ukweli.

Wakati nipo chuo kikuu Prof wangu moja aliniambia kazi ya uandishi wa habari hahitaji elimu kubwa inahitaji kuwa mbunifu na kutokuwa muoga. Ndio maana hakuna Profesa au Dkt anaetangaza au kwenda kwenye site kuhoji. Ukifika Dkt unapewa afisi zenye kiyoyozi.

Tunaona Aljazeera anavyochambua vita vya Gaza na tumeona masambulizi ya waandishi wao kulengwa moja na mizinga ya Isreal na kuuwawaa. Lkn Aljzaeera wamesimama kidete.

Gazeti la Mwanachi
Juzi lilitupa habari ya kuitwa kwa Makonda katika kikao cha CCM. Mwanachi walisema wamefunga kambi Dodoma kufatilia kikao kile.

Cha kushangaza taarifa yao ni kutonesha tu gari alilopanda Mh Makonda kilichozungumzwa mpaka wapo kimya.

Kama walipata taarifa ya kikao tunaamini na taarifa kilichozungumzwa wanakijua, na kama hawakijui basi haikuwa na haja na timu ya gazeti hilo kufunga kambi.

Mwananchi wanasubiri press conference? Kama kikao cha watu zaidi ya 8 wanashindwa kuitoa pengine kwa kuambiwa na waliohoji au kuhojiwa wasitoe. kama ndio hivyo. basi msiba mkubwa

Jumapili njema
CC

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yake

Vipi Conference na Mh Makonda imeshafanyika? Vipi Lissu ameshahama Chadema?
 
wakati nipo chuo kikuu Prof wangu moja aliniambia kazi ya uhandishi wa habari hahitaji elimu kubwa inahitaji kuwa mbunifu na kutokua moga. Ndio maana hakuna Profesa au Dkt anaetangaza au kwenda kwenye site kuhoji. Ukifika Dkt unapewa afisi zenye kiyoyozi
Mkuu Malaria 2, asante kwa tarifa hii

Nasikitikia vyuo vyetu, licha ya wewe kuonyesha udhaifu kwa wanahabari, lakini ukweli mwingine ni huu ambao, wewe sikulaumu, ila navilaumu vyuo vyetu ambavyo haviwafanyi watu waondokane na ujinga wao
 
Millard yeye anapost sana habari positive za bashite ila ile ya kuitwa kamati ya maadili ni kama hakuona!
 
Mkuu Malaria 2, asante kwa tarifa hii

Nasikitikia vyuo vyetu, licha ya wewe kuonyesha udhaifu kwa wanahabari, lakini ukweli mwingine ni huu ambao, wewe sikulaumu, ila navilaumu vyuo vyetu ambavyo haviwafanyi watu waondokane na ujinga wao
ujinga upi? hawavai nguo?
 
Tanzania kuna vyombo vya habari?

IPP walianzaga vizuri sasa hivi huwezi ona tofauti ya gazeti la uhuru na Nipashe
 
Back
Top Bottom