vyombo vya habari

  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Ubadhilifu wa Fedha katika Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania: Mchungaji Mwasomola Aongea na Vyombo vya Habari

    Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania. Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi sasa kuongoza Vyombo vya Habari vya serikali kushinda propaganda / information war kuelekea 2025 na mbele zaidi

    Uteuzi wa Profesa Palamagamba Kabudi, ni hatua nzito ya serikali kujipanga kushinda vita ya habari yaani propaganda. Vyombo kama TBC, TBC radio, Habari Leo Daily News, Idara ya Maelezo vimekuwa vikisinzia kuitetea serikali ya awamu ya 6 kiasi ya kuwa vyombo vya mitandao ya kijamii vimeibuka...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Vyombo vya Habari Viliwatendea Haki Watanzania Kuwaelimisha Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?. Mimi na PPR Yangu, Tulijitolea Vipindi 6 vya TV.

    Wanabodi, Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024 Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. 1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa - https://youtu.be/bTs3S76UuoY 2. Prog. 2 - Mada Kuu-1 -Wajibu wa Media kwenye Uchaguzi wa Serikali za...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya Kizayuni vinaripoti siku ngumu kaskazini mwa nchi, roketi zanaruka kama ndege

    Wanaukumbi. ⚡RNN: Vyombo vya habari vya Kizayuni vinaripoti: "Siku ngumu kaskazini mwa nchi... maroketi yanaruka kama ndege, na tahadhari zinaendelea. Hezbollah inawadhihirishia wafuasi wake kwamba mlingano wa [Sheikh] Naim Qassem bado unatumika: ' Mgomo katika moyo wa Beirut ni sawa na mgomo...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwisho Mwampamba: Vyombo vya habari viliniandika kwa uongo, hakuna pesa yoyote niliyoshinda kwahio sio kweli eti nilifirisika

    Mwamba anasema yeye alikuwa mshindi wa pili na alichoambulia ni kupewa ticket za go and return kwenda capetown, bed and breakfast. Alipowaambia kama anaweza kubadili wampe pesa, walikataa. Unaweza kumsikiliza zaidi kwenye video hizi mbili: https://youtu.be/TerskU4goEk?si=9i_DJGdlvFY7l59m...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni yapi maoni yako kuhusu namna vyombo vya habari vinavyoripoti maafa ya kuanguka ghorofa Kariakoo?

    Nimefuatilia matangazo ya vyombo vyetu vya habari, naamini na wewe utakubaliana na mimi kwamba vyombo vyetu vimeambatana na Waziri Mkuu kisha vikaambatana na RC kadri anavyofika eneo la tukio. Viongozi wakiondoka na vyombo navyo vinazimwa. Hakuna chombo hadi sasa kilichotoa idadi ya watu ambao...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Vyombo vya habari vinakiuka maadili!!

    #7.0 Uingiliaji wakati wa majonzi na mshituko# Katika kushughulikia masuala ya kijamii ya hali ya kushtua au hisia kali kama vile ukatili, kutumia nguvu, matumizi ya dawa za kulevya, ufuska, maneno machafu, waandishi wa habari watawasilisha ukweli, maoni, picha na michoro kwa uangalifu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mjadala JamiiForums & Star TV: Nafasi ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi wa Seriali za Mtaa

    JamiiForums kwa kushirikiana na Kituo cha Runinga cha StarTV, itaendesha Mjadala kuhusu Nafasi ya Vyombo vya Habari na Waandishi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 Mjadala huo utakaoongozwa na Mtangazaji Edwin Odema 'Chief Odemba', utahusisha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vijifunze kutokuwa na upendeleo: ona sasa walimdanganya Kamala H

    Ndugu zangu waandishi wa habari TZ, Tujifunze kutokuwa na bias kwenye utoaji wa habari ili kutokuwajengea watu confidence ya uwongo. Waandishi wa habari wa nchi za magharibi walitoa habari zap kiupendeleo kwa kudanganya kuwa Kamala anaelekea kushinda lakini tuliyoshuhudia kuanzia asubuhi ni...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani Vyombo vya Habari Tanzania vimeshanunuliwa kumpigia chapuo Kamala Harris?

    Kwa uzoefu wangu mdogo vyombo vya habari havitoi habari zao hivi hivi tu bali hupookea fedha ili kuirusha habari flani. Katika muda wa saa 48 zilizopita uchambuzi wangu unaonesha kuwa kuna ishara kuwa baadhi ya vyombo vya habari vikubwa hapa nchini vimeanza kutuweka tayari kwa muelekeo wa...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Wajibu Wa Vyombo vya Habari katika Uchaguzi

    Vyombo vya habari vina wajibu mkubwa wa kuripoti kwa umakini na usahihi habari mbalimbali hasa zinazohusu uchaguzi ili kuipa jamii kile ambacho inachostahili. Wakati wa kampeni waandishi wa habari wana wajibu wa kutopendelea vyama vya siasa kwa kuegemea kuripoti habari za chama fulani na kuacha...
  12. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran Yajiandaa na Operation True Promise 3 kutekelezwa kabla ya Tarehe 5 November. Vyombo vya habari Nchini Israel vimeripoti

    Vyombo mbalimbali vya habari Nchini Israel na Iran vimeripoti hii Leo kuwa Iran inajiandaa kuishambulia Israel kwa makombora ya ballistic. Imeelezwa kuwa hii Leo Iran imehamisha makombora yake kuelekea magharibi mwa Iran kwaajili ya maandalizi ya kujibu mashambulio dhidi ya Israeli...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Taliban: Marufuku Vyombo vya Habari kuchapisha picha za viumbe hai

    Serikali ya Taliban nchini Afghanistan kupitia Wizara yake ya Maadili, imeahidi kuanza kutekeleza sheria mpya inayopiga marufuku Vyombo vya Habari Nchini humo kuchapisha picha za viumbe hai ambapo Msemaji wa Wizara hiyo amesema lengo la kufanya hivyo ni kwasababu picha za viumbe hai zinapingana...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Huu utamaduni wa vyombo vya habari kuhoji wafiwa sio mzuri

    Hii tasnia ya habari kwa sasa ni kama haina maadili kabisa. Inakuwaje mtu yupo kwenye majonzi unamuhangaisha ili wewe upate views na likes za kukupa fedha? Mazishi ni ibada ndugu zangu!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba anazungumza na vyombo vya habari

    04 October 2024 Oysterbay, Dar es Salaam Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=Y5z3HSDrAP4 Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumzia uchaguzi unaokuja wa November 2024 TAMISEMI na ule uchaguzi mkuu 2025 Jaji Warioba uchaguzi wa 2019 na 2020 ulikuwa wa kipekee kwa kuwa ulipangwa uwe na dosari...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kesho itakuwa kipimo tosha kwa uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Habari iliyochapishwa katika magazeti ya Uingereza kuhusu uhusika wa kampuni ya Tigo katika mipango ya kuondoa uhai wa Lissu na mkutano wa Lissu na wanahabari leo, utakuwa mtihani mkubwa kwa magazeti ya kesho. Serikali itakapozuia habari hiyo isitokee kwenye magazeti itakuwa imejivua nguo na...
  17. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kwa maandamano ya CHADEMA yaleta taswira tofauti kwa Rais Samia kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!

    Naona Firstpost hawataki mchezo. Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba. Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye ufahamu wa mishahara ya wapiga picha (wachanganya picha) kwenye hizi media binafsi

    Kuna kijana amehitimu maswala ya videography na target yake ni kwenda kwenye hizi media Kama wasafi, clouds, eatv etc . (Anachangamoto/ majukumu kidogo kweny familia ijapokuwa hana kipato cha kueleweka) Kutokana na maisha yalivyo ni muhimu kufahamu hata mishahara tu ya waliopo kweny ajira...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Kimataifa vyatangaza maandamano ya CHADEMA leo Septemba 23

    By Reuters NAIROBI, Sept 23 (Reuters) - Tanzanian police arrested two opposition leaders again on Monday, their party and police said, to stop anti-government protests in the commercial capital Dar es Salaam. The main opposition party CHADEMA's chairman Freeman Mbowe was detained on the street...
  20. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

    Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema, Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu Kuweni makini sana
Back
Top Bottom