ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof Abdallah Safari, amesema vyama vya upinzani vina ubinafsi na matokeo yake vimeshindwa kukiangusha Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza mapema leo kwenye kipindi cha Front Page kinachorushwa na +255GlobalRadio...
Hakuna sheria inayotamka ukomo wa mbunge. Rais tu ndio ana ukomo wa miaka kumi.
Kuingiza damu mpya ni muhimu kwa vyama vyenyewe vya siasa na nchi ili kuingiza mawazo mpya na msukumo mpya.
Naomba vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM, mbunge yeyote aliyekaa bungeni miaka kumi au zaidi awe wa...
Niende kwenye mada kuna kijana kaniomba nimuelekeze wapi zilipo ofisi ya chama cha wafanyakazi kutokana na yeye kuwa na mgogoro na mwajili wake yaani TUCTA.
Kwa kuwa ni mfanyakazi kwenye huduma za mahotel nilimweleza TUCTA ni muunganiko wa vyama vya wafanyakazi toka sekta tofauti ila yeye...
Vyombo vya Habari vya nchi zilizoendelea kama Marekani, vimekuwa na kawaida ya kusema wazi Vyama au Itikadi ambazo wanazisapoti katika vipindi vya uchaguzi, na hali hiyo huendlea hata baada ya uchaguzi.
Katika nchi zetu za Afrika vyombo vya habari haviweki wazi labda baadhi ya magazeti ambayo...
Waswahili wanasema mnyonge myongeni ila haki yake mpeni. Vyama vyote vya kisiasa vilianzishwa kw nia moja kubwa ni kushinda uchaguzi na kukamata dola ili kuwatumikia wananchi.
kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 Ccm kilionekana kama chama ambacho kimechafuka na hii ni kwa sababu kulikuwa na...
Hakuna kitu kilichokuwa kikinishangaza - kama sio kuchefusha, kama kumsikia mwanasiasa, mwanaume au mwanamke mzima ambaye tunatumaini ana akili timamu na za kutosha, akitamka hadharani kwamba ameamua kutoka chama chake kwa kuwa eti amefurahishwa sana na Magufuli!
Hivi kweli hawa wanasiasa...
Haya tuliyaona mapema na tukawaonya wasaliti wote kwamba Usaliti ni laana na inateketeza hadi kizazi cha 4 kwa bahati mbaya wakaona kununuliwa kama mafungu ya dagaa ni kuzuri, sasa yamewakuta.
Hivi mbunge kama Mtolea wa Temeke atamshinda nani kwenye kura za maoni ?
Akiongea na CHADEMA TV katibu mkuu wa chadema amekosoa vikali rasmu mpya ya uchaguzi iliyotolea kwa kuwa na mapungufu mengi ambayo hutakiwi kuyahoji bali tulitakiwa kusaini tu, na usiposaini hatutaruhusiwa kushiriki uchaguzi mkuu msikilize
Nimekua nafuatilia mijadala mbalimbali inayohusu matumizi ya fedha za ruzuku kwenye vyama vya siasa.
Wapo wanaosema kwamba fedha hizo ni jukumu la chama husika kupanga bajeti ya matumizi na haipaswa mtu mwingine kuhoji wala kujua matumizi yake, na lipo kundi la pili linalosema kwamba...
Kwenye siasa za Tanzania, kuna watu wanafanya wanachofanya kwa kuwa tu wanalipwa, kuna wengine kwa sababu ya ushabiki tu, wengine changamoto ya uelewa wa mambo, na wachache kwa sababu wanaelewa wanachokifanya na wanajua umuhimu wake kwao wenyewe, jamii na hatima ya Tanzania.
Kwa bahati mbaya...
Ni vigumu sana kumtofautisha mwanasiasa na unafiki ndio maana mstaafu Kikwete alisema " zilongwa mbali zitendwa mbali"
Unafiki ni sifa kuu ya mwanasiasa na kila anapozidi kuusaka umaarufu na kiwango chake cha unafiki huongezeka.
Ukilielewa hili hutashangaa kumuona mkutubi wa maktaba ya Kanisa...
Kazi ya ruzuku Ni ipi? Kutibia Viongozi wa vyama au kuwalipia faini wakifanya uhalifu? Msajili wa vyama tusaidie.Mbowe alichukua pesa za ruzuku milioni 400 kea kile kinachoitwa kumtibia Lisu.Wateuana kikundi Cha wezi watatu Mbowe,Godbless Lema na Msigwa wakaa muda mrefu Sana Nairobi wakilipwa...
Nimekuwa nikifuatilia hamahama ya wanasiasa na kila anayehama amekuwa akitoa sababu mbalimbali. Kila mtu ana haki ya msingi ya kujiunga na chama chochote cha siasa anapovutiwa sera, katiba na Itikadi!!
Ukifuatilia wanasiasa wengi Tanzania waliohama vyama mara Nyingi wamekuwa hawana hoja au...
Hii ni katiba ya CHADEMA kila anayejiunga na chama hiki nikuwa amesoma ameikubali, na unapochukua fomu ya kugombea uongozi ni lazima unakuwa uneikubali kwanza Katiba ya Chama.
Sasa kelele za Lijualikali hazina maana zaidi ni propaganda za waliomrubuni asaliti chama tu na mkumbuke Lijualikali...
Tanzania ukiwa mwanasiasa wa chama cha upinzani unajeuka kuwa adui wa chama tawala na dola.
Wapinzani wananyanyasika, wanatekwa, wanafunguliwa kesi nzito nzito, wanafungwa jela na wengine kupoteza maisha.
Ni budget ya shilingi ngapi/au ni utaratibu gani unahitajika kufuta mfumo wa vyama vingi...
Hali ya siasa za Tanzania ni ya kutisha sana, na vyama vyote vya siasa vina hatia, CCM kama chama tawala na vyama vya upinzani. Imefikia mahali ambapo kuna chuki, ubabe, kukomoana, kusalitiana, kutukanana, kudharauliana na hata kuuana, sio tu kati ya chama tawala na vyama vya upinzani, bali pia...
Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM.
Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana.
HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI
CCM inatoa salamu za mwaka mpya 2020, niwahakikishie watanzania kuwa tutaongoza siasa safi,ni mwaka wa kuheshimu maoni na uamuzi wa...
MEZA YA BUSARA WAPO RADIO ipo hewani muda huu ni vizuri kuiskiliza, leo imekuja na hoja kuwa Upinzani ni uasi. Huku ni kipindi maalum kilichozinduliwa na Polepole wiki iliyopita mahsusi kwa kampeni za uchaguzi kwa CCM.
Kifupi kwa kuhama katikati ya ubunge wenu au udiwani mnawaumiza sana wananchi nadhani muwe mnasubiri kwanza kipindi cha uwakilishi kwa vyama vyenu mlicho pewa na wananchi kikisha pita ndio muhame au mstaafu
Mnaumiza sana wananchi wenu muwe na huruma ya ndani ya nafsi zenu , ni kwa sababu tu...
Katika hili ni lazima niwapongeze wanakaskazini kwa sababu wanajitambua tofauti na wanakusini.
Wengi waliamini baada ya Chadema kuishiwa " mipango " basi ACT wazalendo watakuwa chama kikuu cha upinzani, hata mimi awali niliamini hivyo kumbe siyo.
Ngome ya upinzani ni Kaskazini ndio maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.