Unafiki: Sifa kuu ya wanasiasa ambayo utaikuta katika vyama vyote

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,812
141,714
Ni vigumu sana kumtofautisha mwanasiasa na unafiki ndio maana mstaafu Kikwete alisema " zilongwa mbali zitendwa mbali"

Unafiki ni sifa kuu ya mwanasiasa na kila anapozidi kuusaka umaarufu na kiwango chake cha unafiki huongezeka.

Ukilielewa hili hutashangaa kumuona mkutubi wa maktaba ya Kanisa akijiliza bungeni eti kwa sababu alifungwa jela kwa ajili ya Chadema au muuza bar akilalamika kudhalilishwa kingono.

Hakuna kinachoweza kumtenganisha mwanasiasa na unafiki labda aachane kabisa na siasa na kumgeukia Mungu wa mbinguni.

Maendeleo hayana vyama!
 
Lazima mwanasiasa awe mnafiki
Kazi yake ni kusikiliza upepo unapoenda anafata
 
Back
Top Bottom