Ngome ya upinzani itaendelea kubaki Kaskazini watakaobadilika ni viongozi na vyama tu, alianza Mrema, Mbowe na sasa Mbatia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,814
141,716
Katika hili ni lazima niwapongeze wanakaskazini kwa sababu wanajitambua tofauti na wanakusini.

Wengi waliamini baada ya Chadema kuishiwa " mipango " basi ACT wazalendo watakuwa chama kikuu cha upinzani, hata mimi awali niliamini hivyo kumbe siyo.

Ngome ya upinzani ni Kaskazini ndio maana wabunge wa Chadema mh Komu na Selasini wameaga kabisa kuwa wamehamia Nccr mageuzi na hawajachukuliwa hatua zozote.

Jana wabunge Silinde na Lijualikali wamehudhuria bungeni Chadema wanataka kuitisha kamati kuu kuwajadili kwanini wamekiuka maagizo ya chama ilhali inajulikana wazi mbunge anawakilisha wananchi wote bila kujali itikadi.

Selasini alikuwemo bungeni na ameiponda sana Chadema lakini hawamgusi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Labda kwa vile mtafanya kama ya Uchaguzi wa serikali za mitaa! Lakin kweye uchaguzi wa huru na haki hapti mtu. hata Jiwe atapigwa chini. Mfano wasimamizi wa uchaguzi wawe kutoka UN, (mfano tu), unadhani Jiwe atapita?
Mbatia hana mfuasi hata "mmoja" wa kiwango cha kuwa mpinzani
 
Wewe upo gizani Freeman anaelewa kinachoendelea!
 
Cha kupewa majimbo 20 tunakielewa wote
Kwa taarifa yako hata pale Vunjo mbunge ajaye ni mzee Mrema tuombe uzima.

CCM haiwezi kusalimisha majimbo kizembe hivyo......... Mbatia atashindanishwa na Lyatonga na habari yake itaishia hapo!
 
Labda kwa vile mtafanya kama ya Uchaguzi wa serikali za mitaa! Lakin kweye uchaguzi wa huru na haki hapti mtu. hata Jiwe atapigwa chini. Mfano wasimamizi wa uchaguzi wawe kutoka UN, (mfano tu), unadhani Jiwe atapita?
Mbatia hana mfuasi hata "mmoja" wa kiwango cha kuwa mpinzani
Mwenzio hajaongelea uchaguzi bwashee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hili ni lazima niwapongeze wanakaskazini kwa sababu wanajitambua tofauti na wanakusini.

Wengi waliamini baada ya Chadema kuishiwa " mipango " basi ACT wazalendo watakuwa chama kikuu cha upinzani, hata mimi awali niliamini hivyo kumbe siyo.

Ngome ya upinzani ni Kaskazini ndio maana wabunge wa Chadema mh Komu na Selasini wameaga kabisa kuwa wamehamia Nccr mageuzi na hawajachukuliwa hatua zozote.

Jana wabunge Silinde na Lijualikali wamehudhuria bungeni Chadema wanataka kuitisha kamati kuu kuwajadili kwanini wamekiuka maagizo ya chama ilhali inajulikana wazi mbunge anawakilisha wananchi wote bila kujali itikadi.

Selasini alikuwemo bungeni na ameiponda sana Chadema lakini hawamgusi.

Maendeleo hayana vyama!
Nccr Mageuzi ni mouthpiece tu ya mafisadi papa ccm

Hawastahili kuitwa wapinzani
 
Siyo kwamba wana-kaskazini wanajitambua, La! Hasha Sababu kuu Ni ukanda na ukabila ndiyo unaowafanya waungane kumuunga mkono kiongozi wao.

That's a bitter truth the subjects don't want to admit!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanda ya ziwa kwenyewe walikuwa upinzani, Sasa hivi Rais katokea huko wanerudi CCM, je hawa pia ni wakabila? Vipi kuhusu Dar na wenyewe ni wakabila Wakaskazini pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako hata pale Vunjo mbunge ajaye ni mzee Mrema tuombe uzima.

CCM haiwezi kusalimisha majimbo kizembe hivyo......... Mbatia atashindanishwa na Lyatonga na habari yake itaishia hapo!
Never on earth! nasema kwa kuiba kura kama kwa serikali za mitaa hilo mtaweza maana vifaru watanzania hawaviwezi
 
Ngome ya upinzani itahamia Kigoma na Pemba.. Zito namuona yupo aggressive, stragetic na ana connection nyingi na smart kuliko Mbatia.

Hata hivyo napenda upinzani uhamie kwingine maana watu wa Kaskazini tumekuwa tukiandamwa na propaganda za uongo kisa tu upinzani unatokea kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ki ukweli Chadema ina harufu za ukanda kama ilivyo ccm ya magufuli ambayo saa hizi imejaa watu wa lake zone tu
Au Act ya zito ilivyojaa waislamu
 
Siyo kwamba wana-kaskazini wanajitambua, La! Hasha Sababu kuu Ni ukanda na ukabila ndiyo unaowafanya waungane kumuunga mkono kiongozi wao.

That's a bitter truth the subjects don't want to admit!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanaojitambua zaidi ya WAKASKAZI nchi hii? Ndio maana kila siku magu anawawazia wao tu. Kwingineko hakuna shida ila Moshi ikitajwa utaona magu anashtuka kidogo. Ndugu acheni ulimbukeni wa kufia ccm ilhali haiwaletei maendeleo.

Mikoa yote ambayo inaendekeza ccm ina hali mbaya mno kimaendeleo, lakini kaskazini mfano jimbo langu ona vyama vinavyobadilishwa:

CCM 1990
NCCR 1995
TLP 2000
TLP 2005
CHADEMA 2010
NCCR 2015

Utadhani ni Uingereza, si unajua Uingereza kila baada ya miaka 4 chama kinabadilika sio huku ccm tangu 1960s. Badilikeni enyi watu. Hata CHADEMA yenyewe tunaibadilisha pia.
 
Kama ulivyosema ulidhani act ndo ingekuwa mbadala wa cdm, basi hata nccr unaodhani tena watakuwa mbdala wa cdm bado unapotea! utaendelea kudhani hadi mwenyezi atakapochukua uhai wake lakn hutapatia.
 
Back
Top Bottom