Vyama vizee Afrika vinakufa na vingine vimeshakufa. Je, kuendelea kuving'ang'ania ni kupingana na asili au ujinga wa ving'ang'anizi?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,926
Waswahili husema hakuna marefu yasiyo na ncha. Pia hakuna kitu kitadumu milele duniani.

Siasa

Siasa za ulaya na merikani zinatoa nafasi sawa ya haki kushundana bila mpinzani kupata kashkashi yoyote ile mfano marekani democrats na republic ni vyama kongwe sana huwezi kusikia mmoja akishika dola basi atatumia CIA au FBI kumsulubu oponent wake.

Kwa afrika hali ni tofauti mshindi akishinda uchaguzi hata kwa wizi basi atatumia dola na kila kilichomo kwenye mamlaka yake kuwasulubu wapinzani wake.

Tena mwenye mamlaka afrika anatumia ule msemo unaosema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya hivyo ataanza kuwaita wapinzani wake wasaliti traitors wasio wazalendo mawakala was mabeberu nk.
Jina hili la mbwa likishawakaa watawaliwa basi kifwatacho ni kufunguliwa kesi za ajabu kufilisiwa au risasi .
Haya ndio mazingira ya siasa za afrika.
Merikani siasa za namna hii zilishafutika miaka miambili iliyopita.

Uuma wa waafrika na ujuha

Kinachoshanga umma wa afrika unadanganywa na material things watu wakiahidiwa kujengewa karavati la barabara husahau mabaya yote yanayofanywa na hivi vyama kale.

Umma wa Afrika unasahau kanuni za kiutu mfano.

Usiuwe
Usimuonee mnyonge
Usiseme uongo
Nk

Vyama kale hivi vingi vimeshakufa afrika kwasababu watu wameshaamka japo bado kuna maeneo bado watu wake wamelala.

Chama kina miaka 60 ya uhai wake bado kina Sera ya kusambaza maji vijijini wakati kimsingi kwa uhai huo wa miaka 60 walitakiwa waje na sera za kurusha satellite àngani.

Mungu usiibariki afrika
Mungu iamshe afrika kwenye usingizi wa pono.
 
Kosa ni kuendelea kutumia mapambano na kuleta uhuru na mambo ya amani kama bidhaa yao muhimu kwa wananchi.

Kizazi tulicho nacho nani anaujua utumwa au ukoloni? Wapiga kura wengi hizo habari haziwaingii, kwanza hawazielewi, kizazi kipya kinahitaji mabadiliko na vyama vinatakiwa kubadilika kuendana na nyakati.

Watu wa miaka ya 197X na kuendelea ukiwaletea mambo ya juhudi za uhuru na utumwa ngumu sana kukuelewa.
 
Mods Uzi huu ni wa afrika kwa ujumla wake sitegemei muufute.

Mkiufuta nitaamini kuna jiwe la gizani limempata moderator.

Uzi mzuri nimetumia akili kuuàndika bila kuvunja kanuni za jf.

Mkiufuta naomba mseme wapi nilipokosea nitaediti.

Mods kumbukeni kujikinga na corona.
 
Kimekufa Nccr mageuza kikafa CUF sasa kinakufa chadema CCM hakiwezi kufa Léo wala kesho hakuna mbadala wa CCM au Kuna mbadala wa CCM?
 
Ccm imetulea hatuna mbadala wa Ccm, msitake kutuharibia Nchi
Mkuu sijaitaja CCM usinichonganishe nayo. Kwani niliyoyaandika ndio yanayofanywa na CCM? Naamini hapana so plz weka CCM yako mbali na uzi wangu usije ukahujumiwa.
 
Kimekufa Nccr mageuza kikafa CUF sasa kinakufa chadema CCM hakiwezi kufa Léo wala kesho hakuna mbadala wa CCM au Kuna mbadala wa CCM?
Naomba Sana Uzi wangu sijaunasibisha na ccm msiuhujumu Uzi wangu CCM na uzi huu hakuna uhusiano. Na hakuna nilipoitaja.
 
Uzi wangu unahusu baadhi ya vyama vya afrika vinavyoonea upinzani I'll vibaki madarakani vinavyobambikiza kesi kwa wapinzani vyama vinavyouwa watu nk kumbukeni afrika ni bara kubwa Lina vyama vingi msifikirie siasa muda wote.kuna kubaki madarakani kwa vyama mbalimbali vya mpira vyama vya wafanyakazi wa migodini huko south nk sio kila muda ni siasa nimetumia makalavati kama lugha ya picha.
 
Chadema Wana tabia ya ajabu ya kupinga Kila kitu,kukejeli Kila kitu, kudharau Kila kitu Ila wao chochote wakifanya hata Kama ni Cha hovyo wao kujisifia tu

Wanatumia lugha zisizo na staha wanabagua, wanachongea nchi kwa Mataifa ya nje ....Hawa ndo wapewe nchi ? Dunia itashangaa!
 
Nalazimika kukujibu kulingana na upumbavu wako hao chadema wako ni chama Cha upinzani so sishangai Kama wanayafanya hayo alimradi hawavunji katiba
 
Chadema Wana tabia ya ajabu ya kupinga Kila kitu,kukejeli Kila kitu, kudharau Kila kitu Ila wao chochote wakifanya hata Kama ni Cha hovyo wao kujisifia tu

Wanatumia lugha zisizo na staha wanabagua, wanachongea nchi kwa Mataifa ya nje ....Hawa ndo wapewe nchi ? Dunia itashangaa!
Dunia haitashangaa cdm kuchukua nchi ila itashangaa CCM kufika miaka Mia maana life expectancy yetu ni 60 yrs 70 ya biblia.
 
Uzi wangu unahusu baadhi ya vyama vya afrika vinavyoonea upinzani I'll vibaki madarakani vinavyobambikiza kesi kwa wapinzani vyama vinavyouwa watu nk kumbukeni afrika ni bara kubwa Lina vyama vingi msifikirie siasa muda wote.kuna kubaki madarakani kwa vyama mbalimbali vya mpira vyama vya wafanyakazi wa migodini huko south nk sio kila muda ni siasa nimetumia makalavati kama lugha ya picha.
Usiwe Kama demu sitaki nataka wewe Ni kiwavi wa mtaa wa ufipa umeleta porojo yako hii kuaminisha watu Sacco's yenu inaonewa muonewe kwa lipi halafu unajiuma uma nini
 
Chadema Wana tabia ya ajabu ya kupinga Kila kitu,kukejeli Kila kitu, kudharau Kila kitu Ila wao chochote wakifanya hata Kama ni Cha hovyo wao kujisifia tu

Wanatumia lugha zisizo na staha wanabagua, wanachongea nchi kwa Mataifa ya nje ....Hawa ndo wapewe nchi ? Dunia itashangaa!
Chadema Ni kikundi Cha wahuni Ni Kama mungiki tu hawana tofauti
 
Sasa ulichukuwa una jing'ata kucha nini mambo Kama hivi inakuwa wazi tu
Nilitaka nikupuuze ila naona ungejidai.

Kiufupi watu hawaipendi CCM ila yafuatayo ndio yanayotawala Sasa.

1.Watumishi wa umma ukiona anajinasibu ni CCM ujue aidha analinda ugali wa wanae au anategemea siku moja kupata cheo ni Kama hadithi ya mkono wa binadamu na fisi pia wengine humendea vifursa vya semina kusimamia uchaguzi na kuandikisha wapiga kura kimsingi watumishi wa Uma wanawanafikia mno na nyie mnajua.

2.Wafanyabiashara Hawa wanatamani muondoke hata asubuhi hii ila wanajua ushetani wenu wa uonezi wanajua kuna kufilisiwa na kubebeshwa makodi ya uonezi.

3.wananchi wanyonge wa vijijini Hawa wanatawaliwa na ujinga wait mliowarithisha kwa makusudi ili muendelee kuwatawala kiufupi ujinga wao ni mtaji wenu.

4.Wengineo wanaongozwa na ile falsafa ya mwenye nguvu mpishe na Kama huwezi kushindana nae ungana nae.Kundi hili nilile linaloogopa kutekwa kuwawa nk.Ile mbinu yenu ya kuterorize taifa ndio inafanya KUNDI hili liimbe iyenaiyena.

Kimsingi dhambi na maudhi mliolifanyia taifa hili siku mkiondoka madarakani hamtaamini barabara za Tanzania zitakavyofurika shangwe na vifijo.kwasasa jidanganyeni mnapendwa I watanzania waliowengi wanawanafikia moyoni siku CCM ikifa ndio utakapoona yaliyojificha moyoni mwao.Nikuulize swali wakati sadam Hussein anatimuliwa Iraq uliona watu walivyoiangusha ile sanamu yake ? Ndivyo CCM itakavyofanywa na watanzania ni swala la muda tu .we jiulize watumishi wa umma hamjawahi kuwaongezea mshahara ila wanawatabasamulia hamjiongezi muogope mtu wa hivyo siku akipata nafasi anakutia kisu Cha shingo hutaamini. Umeshawahi kusoma kitabu Cha William Shakespeare unayajua maneno haya? ETI TU BRUTUS? TAFAKARI MJINGA WEWE.
 
Back
Top Bottom