Katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inasomeka hivi " Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa nchi ya kidemokrasia na ya mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu
Katika mazingira hayo vyama vya upinzani vinapaswa kutoa "constructive criticism" ambavyo...
Kuna wakati nilimsikia waziri Kabudi akiwaelimisha wakenya juu ya madhara ya ukabila na kwamba chanzo chake ni uroho wa madaraka. Na siku zote mtu mroho daima huwa mchoyo.
Baadhi ya wakenya waliguna wakauliza.........Mbona vyama vya upinzani Tanzania vimejengwa katika misingi ya ukanda na...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano.
Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
WanaJF duniani kote,Wasalaam!
Ni asubuhi tulivu kabisa katika jiji la Dar es Salaam huku habari kubwa inayovuma ikiwa ni mkutano mkuu wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA chenye wanachama milioni 6 na nusu wenye kadi.
Kama ripota wa JF nipo hapa Mlimani City nimekesha kwa lengo moja tu la...
Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini?
Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari...
Kamati kuu ya CCM imekutana jijini Mwanza na kuongozwa na Mwenyekiti wake Dr Magufuli.
Kamati kuu imempongeza Rais Magufuli na serikali yake kwa ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea nchini.
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kwa sasa hakuna kikwazo chochote kinachoweza kupunguza kasi ya...
Demokrasia ya vyama vyetu vya upinzani hapa kwetu inatia mashaka sana maana vyote vimekuwa vinahubiri yale wasiotenda wala kuyafanya katika vyama vyao.
Vingine tena vimekuwa sio tena vyama vya upinzani bali vyama vya kiharakati maana wameshindwa kutofautisha ule mstari unawagawa kati yao...
CCM ni tofauti sana na nyama vingine vya siasa nchini ambavyo vina usajili kamili na wa kudumu chini ya sheria ya vyama. Sifa pekee za CCM zinjidhihirisha wazi wazi katika masuala mazito ya kitaifa yafuatayo:-
CCM ni chama pekee chenye azma ya kuhahakikisha kwamba Muungano wa Tanzania na...
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze hapa nchini,tumekuwa na vyama kadhaa ambavyo kwa nyakati tofauti vilikuwa ni vyama vikuu vya upinzani(vyama vyenye nguvu) kama vile NCCR-MAGEUZI chini ya Lyatonga Mrema na baadae CUF chini ya Prof.Lipumba.
Historia inaonyesha kuporomoka kwa vyama hivi, ni...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la maswali yenye facts
Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?.
Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...
Haya ameyaongea leo Bwana Tundu Lissu hii leo kupitia chaneli ya KTN Kenya!
Amewashukuru sana wakenya kwa kujitolea kumchangia damu!
VIVA TUNDU!
Baada ya miaka miwili tangu kupigwa risasi, Tundu Lissu amsema amefika Nairobi kwakuwa hali yake ya kiafya imetengemaa, na kwamba madaktari wake...
Katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vitaendelea kufa kimoja baada ya kingine kwa kuwa vinashindwa kufanya siasa vikubalike kwa wananchi.
Ametoa kauli hiyo leo Jumatano Novemba 27, 2019 wakati akizungumza na viongozi wa chama hicho tawala Mkoa wa...
Vyama vya upinzani hasa vile saba mlivyojitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa serikali za mtaa kwa mlichokifanya iwe funzo kwenu next time msirudie tena kwa sababu mmewanyima wananchi wenyu fursa ya kuchagua na kuchaguliwa.
Tatizo lenu mnapenda kufanya mambo kisiasa, basi kwa...
Kuna suala ukiliangalia kichwa kichwa unaishia kuchanganyikiwa,
Nauliza je mfano pale CHADEMA kuna mtu anaitwa Mbowe!
Siyo rahisi kumtoa Mbowe kwenye uenyekiti najiuliza
1. Je, Chadema hawana mtu wa kuvaa viatu vyake?
2. Kafanya kazi kubwa sana kiasi kwamba ni fadhila kwa kazi alofanya?
3...
Wakati CHADEMA ikiwa inajiandaa kufanya uchaguzi wa viongozi ndani ya chama chao, wametoa orodha ya wagombea uenyekiti kanda mbalimbali za kichama. Orodha hiyo imenishangaza katika mambo mawili: la kwanza, orodha ya wagombea wote wa kanda zote 10 ni waheshimiwa kwa maana ya kwamba wana nafasi...
Wananchi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo linaanza saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na wale wote watakao kuwa kwenye foleni muda huo wataruhusiwa kupiga kura
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Uchaguzi huo utafanyika katika...
Tanzania tumekuwa nchi ambayo mijadala ya kimaendeleo inafanyika kwenye mitandao tu.
Je tunaogopa nini? Hii mijadala sio ya kisiasa pekee inawezekana mijadala ya mfumo bora wa elimu ya sekondari kwa kizazi hiki, mijadala ya sheria bora na ardhi yetu, mijadala ya ajira.
Uzuri wa demokrasia ni...
Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara katika kipindi cha Baragumu studio za channel ten wakizungumzia ushiriki wao katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Viongozi hao nguli wa kisiasa nchini wanamwaga cheche zao muda huu.
Karibu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.