Mwita Waitara awa lulu mkoani Mara aweka historia ya kupokea wanachama zaidi ys 1400 kutoka CHADEMA na vyama vingine vya upinzani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
30,138
2,000
Mbunge wa ukonga mh Mwita Waitara amepokea wanachama wapya zaidi ya 1400 waliojiunga na CCM wakitokea Chadema na vyama vingine vya upinzani.

Waitara ameweka historia ya kuwa kiongozi wa kwanza mkoani Mara na pengine Tanzania nzima kwa kuweza kupokea " Lundo" la wapinzani wanaojiunga CCM kwa wakati mmoja.

Kadhalika Waitara ambaye pia ni naibu waziri wa Tamisemi ametoa onyo kwa wanasiasa wote wanaotoa taarifa za ugonjwa wa Corona kinyume cha utaratibu waache mara moja vinginevyi watachukuliwa hatua.

Source Channel ten habari.

Maendeleo hayana vyama!
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,474

Upuuzi mtupu
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
86,235
2,000
Hiyo channel ten hawana hata camera man?
Mbunge wa ukonga mh Mwita Waitara amepokea wanachama wapya zaidi ya 1400 waliojiunga na CCM wakitokea Chadema na vyama vingine vya upinzani.

Waitara ameweka historia ya kuwa kiongozi wa kwanza mkoani Mara na pengine Tanzania nzima kwa kuweza kupokea " Lundo" la wapinzani wanaojiunga CCM kwa wakati mmoja.

Kadhalika Waitara ambaye pia ni naibu waziri wa Tamisemi ametoa onyo kwa wanasiasa wote wanaotoa taarifa za ugonjwa wa Corona kinyume cha utaratibu waache mara moja vinginevyi watachukuliwa hatua.

Source Channel ten habari.

Maendeleo hayana vyama!
In God we Trust
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
37,540
2,000
Mbunge wa ukonga mh Mwita Waitara amepokea wanachama wapya zaidi ya 1400 waliojiunga na CCM wakitokea Chadema na vyama vingine vya upinzani.

Waitara ameweka historia ya kuwa kiongozi wa kwanza mkoani Mara na pengine Tanzania nzima kwa kuweza kupokea " Lundo" la wapinzani wanaojiunga CCM kwa wakati mmoja.

Kadhalika Waitara ambaye pia ni naibu waziri wa Tamisemi ametoa onyo kwa wanasiasa wote wanaotoa taarifa za ugonjwa wa Corona kinyume cha utaratibu waache mara moja vinginevyi watachukuliwa hatua.

Source Channel ten habari.

Maendeleo hayana vyama!
Amemaliza yale mashtaka yake? Why useme uongo?
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
20,779
2,000
Mwenyekiti Wa Ccm Mkoa Wa Mara
Anasema Waliofika Bei Hawaaminiki Ndani Ya Chama
😅😄😃😀😁😂
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
28,760
2,000
Mbunge wa ukonga mh Mwita Waitara amepokea wanachama wapya zaidi ya 1400 waliojiunga na CCM wakitokea Chadema na vyama vingine vya upinzani.

Waitara ameweka historia ya kuwa kiongozi wa kwanza mkoani Mara na pengine Tanzania nzima kwa kuweza kupokea " Lundo" la wapinzani wanaojiunga CCM kwa wakati mmoja.

Kadhalika Waitara ambaye pia ni naibu waziri wa Tamisemi ametoa onyo kwa wanasiasa wote wanaotoa taarifa za ugonjwa wa Corona kinyume cha utaratibu waache mara moja vinginevyi watachukuliwa hatua.

Source Channel ten habari.

Maendeleo hayana vyama!
Hapo cdm wangeitisha mkutano na kudai tume huru ya uchaguzi, ungesikia polisi,wanaccm,msajili wa vyama vya siasa wakianza mikwara kibao. Mkiambiwa ccm haiwezi tena siasa za ushindani mnavimba huku ukweli ukiwa wazi peupe.
 
Top Bottom