Wanabodi,
Kwanza angalieni hii picha
More than 60% of Rwanda’s parliamentarians are women. Photo: Sam Ngendahimana
Nimesoma kwenye Ripoti ya WB, Bunge la Rwanda ndilo Bunge linaloongoza Dunia kwa gender equality baada ya kuwa na asilimia kubwa ya wabunge wanawake kuliko wanaume, wakati Bara...
CCM imekuwa na utamaduni usio wa kikatiba wa kuwepo zamu za kugombea urais wa nchi kwa misingi ya dini na kanda. Wakati wa mfumo wa chama kimoja utaratibu huu ulikuwa muafaka lakini katika mfumo wa vyama vingi zamu za kidini na kikanda zimepitwa na wakati.
Nitoe tu angalizo kwa Dr Kigwangalla...
Waziri Mike Pompeo wa serikali ya Marekani leo amemaliza ziara yake ya nchi kadhaa barani Afrika huku akiwataka viongozi wa kisiasa barani humu kuacha mara moja tabia ya kuongoza kiimla.
Pompeo amezuru nchi za Senegal, Ethiopia, Namibia na Afrika ya Kusini.
Chanzo: Star Tv Habari
Najiuliza tu maana tangia wamchukue Lazaro Nyalandu kutoka CCM hawa jamaa wa CHADEMA hawajapokea diwani wala Mbunge tena kutoka chama tofauti.
CCM wao karibia kila mwezi wanapokea madiwani kutoka vyama vya upinzani wanaojiunga nacho kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli.
Je, CHADEMA kimepoteza...
Mwenyekiti wa CUF Habari Prof Lipumba amesema wao wako tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani kusimamisha mgombea mmoja wa urais.
Lipumba amesisitiza kuwa pamoja na yote hawatakuwa tayari kushirikiana na Chadema kama wanangojea makapi ya CCM waweze kupata mgombea.
Prof Lipumba...
Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2015, vyama vya upinzani hali yake ni mbaya sasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mpaka ninavyoandika hapa na kama hali ikiendelea hivi, Uchaguzi Mkuu wa 2020 upinzani utaambulia anguko kubwa na la aibu la kihistoria.
Ni anguko la kihistoria kwa sababu baada...
Vyama 12 vya upinzani nchini vimesema vitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu chini ya Tume ya uchaguzi iliyopo kwani wana imani nayo na pia wana imani na Rais Magufuli.
Makatibu wakuu wa vyama hivyo wakiongea na waandishi wa habari wamesema Mbowe na Chadema ni miongoni mwa waliosababisha...
Namtakia kila la kheri mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli
Nawatakia kila la kheri makamu mwenyekiti mzee Mangula, Katibu mkuu Dr Bashiru na sekretarieti yote
Namtakia kila la kheri kada mkongwe na asiyechoka Mzee Mgaya
Nawatakia kila la kheri wanaccm wote
Mwisho lakini siyo kwa umuhimu nawatakia...
Ili kuhalalisha uvunjifu wa Katiba ya nchi, Mwenyekiti wa CCM ndugu Magufuli alinukuliwa akitoa marufuku ya shughuli za kisiasa kwa kisingizio dhaifu cha kuleta maendeleo na kwamba wenye hamu ya kufanya siasa wasubiri mwaka wa uchaguzi 2020, Polisi wakadaka amri hiyo haramu kama kifanyavyo...
TUHUMA kwamba, baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, zimetolewa bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea).
Naftaha Nachuma, Mbunge wa Mtwara Mjini (CUF) amedai, baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, wameanzisha...
Ni dhahiri siasa za majukwaani kwa miaka minne iliyopita zilikuwa na changamoto kubwa lakini mitandao ya kijamii imeonekana msaada mkubwa katika kukuza uhai wa vyama vya siasa au mwanasiasa mmojammoja.
Zimekuwapo juhudi za kuwashawishi watumiaji wa mitandao ili kupata wafuasi miongoni mwao, na...
Tanaambiwa Tanzania tuna Rais Dikteta, mnyanyasaji, anae ua upinzani, katili n.k
Sasa tujiulize kitu hivi Kama kweli hayo yasemwayo je inawezekana vipi Dikteta akawa anatoa Ruzuku kwa vyama vingine vya siasa jambo ambalo ni haramu katika utawala wowote ule wa Kidikteta duniani.
Vyama vya...
Jana kupitia gwaride la kikosi cha Tarabushi kwenye sherehe za Mapinduzi Zanzibar tulijifunza mambo muhimu sana.
Mojawapo ni jinsi viongozi wanavyoweza kuwajaza hofu walio chini yao na kisha kuwaburuza.
Ndipo nikawakumbuka viongozi wa Chadema na CUF yaani Prof Lipumba na Mbowe jinsi...
Vyama vya upinzani chondechonde msije mkakubali kuingia kwenye uchaguzi 2020 bila tume huru.
Hulka na tabia ya jiwe na serikali yake mmeshaiona hawana aibu heshima staha Wala huruma kwenu Wala hawaifwati katiba.
Kama jiwe ameweza kuchezea uchaguzi wa serikali za mitaa bila kufanywa lolote Wala...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema haiwezi kuzuia Meya wa DSM,Isaya Mwita kuondolewa kwenye nafasi yake kwa sababu hakuna uthibitisho wa uwepo wa kikao cha kumuondoa madarakani wala hasara atakayoipata endapo akiondolewa.
Yasema mwombaji hajatoa sababu za msingi za kukidhi vigezo vitatu...
Mara tu baada ya kuapishwa kuwa Rais wa nchi hii, Rais Magufuli alivipiga marufuku vyama vya upinzani nchini kutofanya mikutano ya kisiasa hadi mwaka 2020, kwa madai kuwa uchaguzi umekwisha, kwa hiyo huo ni wakati wa kufanya kazi na siyo wakati wa kampeni.
Wakati akitangaza hivyo Rais Magufuli...
Huu ni mwaka wa uchaguzi lakini pia tume ya taifa ya uchaguzi ipo katika zoezi la uboreshaji wa daftari la
Wapiga kura .Wakati zoezi hilo likiendelea vyama vya siasa vipo kimya na vyama vya wafanyakazi navyo vipo kimya.
Vyama vya wafanyakazi vinawajibu wa kuhamasisha wanachama wao...
Hakuna haja yeyote ya kuwa na vyama vingi nxhini huku tukipoteza bilions of money katika shughuli za kampeni badala ya kuziwekeza katika kukuza uchumi na Pato la taifa, itungwe katiba yenye kuonesha dira ya taifa na Kila kiongozi aifuate na aiheshimu vinginevo awajibishwe tuachane na mfumo wa...
Kuna maana gani viongozi wa Serikali, bunge na vyama vya siasa kusomesha watoto wao English medium schools halafu wanaacha watoto wa wengine wasome Swahili medium? Huu ni unafiki mkubwa.
Badilisheni shule zote za Serikali ziwe English medium.
Wanafiki wakubwa nyie msio na haya
Hizi ndizo...
Hawa vijana wengi wao ni mbumbumbu kabisa hawajui kusoma alama za nyakati hawataki kuamini kwamba siasa za kiuanaharakati zimepitwa na wakati, hawataki kuamini kwamba uongo mmoja wao unasababisha vyama vyao vichukiwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.