johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,839
- 141,756
Niwe tu mkweli kwamba naifahamu NCCR mageuzi tokea ikiwa katika harakati za kupigania mfumo wa vyama vingi.
Kiukweli Nccr kimsingi siyo chama cha siasa bali ni taasisi ya harakati zilizojikita kwenye siasa ndio maana " Wanasiasa" huwa hawajiungi nacho na ikitokea mwanasiasa kaingia huko basi muda si mrefu huondoka.
Nccr haina wanachama wanasiasa ndio maana sasa wanatangaza nafasi za kazi za ubunge na udiwani kwa wanasiasa. Sitashangaa nikisikia Pascal Mayalla amejiunga nao ili agombee ubunge.
Kamwe Nccr mageuzi hawawezi kuvipiku vyama vya siasa vyenye " Wanasiasa " kama ACT wazalendo, Chadema na hata Cuf hivyo wale wote wanaoenda huko kwa minajiri ya kujiimarisha kisiasa wanapotea njia isipokuwa wale " wanaorudi " nyumbani akina Selasini na Kubenea.
Vijana wa kizazi cha sasa wanahitaji siasa zilizochangamka na zenye hekaheka ambazo kwa sasa utazipata CCM na CHADEMA.
Maendeleo hayana vyama!