vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  2. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema na John Mrema wameizungumzia vizuri sana hii ishu ya Mikopo na Ndugai

    Anaandika Godless Lema: “Tofauti yetu kubwa na Mh Rais SSH iko ktk madai ya Uhuru wa Kisiasa, Demokrasia, Katiba mpya na Haki za Wafungwa wa Kisiasa akiwemo Mkti Mbowe. Lakini kama kuna ugomvi kati ya Job Ndugai na Rais SSH , bila shaka anayepaswa kusaidiwa ni SSH. Ndugai ni mzigo mzito sana...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana

    Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutaendelea kukopa tumalizie miradi inayoendelea

    Asalam! Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji. Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Waitara: Nilipata wimbi la nne, kwasababu nilikuwa nimechanja niliendelea vizuri

    Naibu waziri Mwita Waitara akiwa Azam amesema alipata Covid ya wimbi la nne na kupona. Waitara amesema kwa kuwa alikuwa amechanja alipata dawa kidogo na kupona. Pia Waitara ameongelea mabasi ya mikoani kupandisha nauli na kusema sio nguvu ya soda na wako tayari kwa Januari na kipindi cha watoto...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Zuchu nimekusikia vizuri ama?

    Are u telling me what I think ur telling me? Kilaza mmoja ATA comment" Yani wewe mwanaume mzima unafuatilia watoto wa kike" ? Shaabash!!! mwanaume rijali naachaje kufuatilia watoto wa kike?
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wanaojua kupigana ngumi vizuri waliojazia

    Natafuta watu wanaojua kupigana ngumi vizuri waliojazia Nataka kujifunza huu mchezo wa ngumi ili nijiweke fiti
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Starehe ya chura ni kujizungusha vizuri kwenye mti wake

    Starehe ya mwanaume ni kuwa na mwanamke anayeweza kuzungusha kichongeo chake kwenye penseli ili ichongeke vizuri. Hivi vichongeo vikubwa (chura) huwa havichongi vizuri penseli, badala ya kujizungusha vizuri ili penseli ichongeke vizuri, inakuwa ni tofauti; penseli inakuwa haina makali na haitoi...
  9. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Wapi viota vizuri kwa makutano?

    Hope mu wazima. Kwa sie wakongwe ni wapi viota vizuri vya kubarizi? Wakati mwingine katika umri huu kuanzia miaka 35 na kuendelea bila kubagua jinsia tunahitaji tena kurichaji mbongo zetu tunapokutana na watu wapya ili kuyajenga pia. Maeneo mazuri ya burudani ni wapi?
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza baada ya Miaka zaidi ya 30, Shilingi ya Tanzania yaanza kufanya vizuri

    Nisiseme maneno mengi! Wale Team S gang poleni sana! Yale maneno yenu ya kutunga sijui mmepigwa na kitu kizito kichwani! Sijui nchi inafanya vibaya kiuchumi yanazidi kuonekana kuwa ni chuki zenu tu dhidi ya Mama Samia! Mama a anazidi kuupiga mwingi si mchezo, Baada ya Tanzania sasa kuuza zaidi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kutumia madawa vizuri na ushauri vimenisaidia kuishi maisha ya kawaida licha ya kuambukizwa HIV

    Na Ronald Mutie Edith Nyambura ni mama wa watoto wawili haoni haya wala kuogopa kuelezea hali yake ya HIV. Alifahamu kuwa ana virusi vya HIV kuanzia mwaka wa 1998, lakini alianza kutumia dawa mara moja na kupata ushauri nasaha kuhusu jinsi ya kuishi na virusi hivyo. Wakati dunia ikiadhimisha...
  12. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Tumia vizuri muda na rasilimali ulizonazo,hujui kesho yako itakuwaje

    Iogope sana kesho yako maana huijui ikoje, Leo umeshaiona na madhaifu yake umeshayaona ,kesho huijui huenda ukaamka upo hoi kitandani au ukapata ajali ambayo itakupa ulemavu wa kudumu.
  13. Manton

    JamiiForums Tanzania Kafanya vizuri kwa nafasi yake.

    Iwapo hujalizishwa na matokeo ya mwanao kimasomo na ungependa, afanye vizuri zaidi basi usipate shida. Tupe nafasi tuzungumze nae kupitia namba yetu hii 0756325414. Mungu akubariki. Tupo Dar es salaam.
  14. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili muandiko

    Mimi ni kijana umri wangu miaka 21 elimu yangu form four lakini nakabiliwa na changamoto ya kuandika sina amani na mwandiko wangu kila ninapoandika wenzangu wanacheka wanasema naandika kama mtoto wa shule ya msingi Nimejitahidi kubadili lakini bado na hali hii inanikosesha raha kabisa ikitokea...
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa kusimamisha nchi trh 3/12 katika mahojiano maalum na TBC

    Tarehe 3/12/2021 siku ya Ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana. Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake. Itakumbukwa vizuri kuwa toka...
  16. mrangi

    JamiiForums Tanzania Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

    ok ngojaa tukuchekie mkuu
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kabla hujawa na matarajio makubwa, ni vizuri ukajiridhisha hali halisi ya uchumi wa nchi unayotaka kuzamia

    Kabla ya kuzamia "dream country" yako America, Asia au Ulaya jiridhishe kwanza na mwenendo wa nchi husika kiuchumi kwa kuangalia kiashiria kimojawapo ambacho ni GDP per capita kwa miaka ya 2019 na 2020 kwa mjibu wa data za Benki ya Dunia. Baadhi ya nchi data zake hakuna. NB: Ndio utaelewa kwa...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Utofauti upi umewahi kuushuhudia kati ya anaepata ajira inayolipa vizuri akiwa bado kijana na yule ambae umri umeenda kidogo?

    Kuwahi kumaliza chuo sio kuwahi kuajiriwa achilia mbali kuajiriwa sehem inayolipa mshahara safi na marupu rupu kibao. Kuna wengine wanamaliza vyuo wana 22, ajira wanaingia taasisi kubwa wakiwa na 23, wengi wao niliowashuhudia pesa nyingi ilitumika zaidi kwenye magari. Wengine wanamaliza wana...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Kwanini yanga wanaumia sana simba isipocheza vizuri!?

    Nimefuatilia kwenye mitandao ya kijamii, kila mtandao nakutana na mwanayanga aka UTO akilalamika kwanini simba mpaka sasa haiongozi ligi. Nimejaribu kifuatilia masuala ya kisaikolojia na mental illness nikagundua, mashabiki wengi wa yanga wanaipenda sana simba. Simba imekuwa national club...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Usalama: RC Makalla awapa miezi 3 bodaboda kujipanga vizuri na kusajili vituo vya kupakia abiria

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amewapa miezi mitatu chama cha bodaboda kuhakikisha wanajipanga na kusajili vituo vyao. Naye mwenyekiti wa bodaboda amesema wameitikia mwito wa Makalla kwa moyo mkunjufu na wanawasiliana na Injinia wa Tarura ili zoezi lianze mara moja. Lengo ni...
Back
Top Bottom