Flowerpot
Senior Member
- Aug 30, 2021
- 181
- 256
Naona serikali imefocus kwenye tehama kila siku nalisikia hilo neno, lakini ni kama unafiki hivi. kwasababu technologia nyingi sahivi zinahitaji internet. Sasa tutaendeleaje kwenye upande wa tehama wakati chachu yenyewe serikali yenyewe wameiondoa?
Mfano sisi wanafunzi wa upande wa IT na comp science tulikuwa tunatumia mobile data kudownload course Udemy na website kama hizo kujiongezea ujuzi zaidi. lakini sahivi kifurushi gani utadownload gb50 kwa kipato cha mwanafunzi?
Basi kama hawataki tutumie mobile data kudownload vitu basi Ttcl wasambaze home wi-fi sehemu zote za Tanzania au angalau Dar. Juzi nimeenda kuulizia kama naweza kuunga home wi-fi wananiambia nipo mbali na ofisi zao hivyo speed itakua slow hadi point ya kuwa not usable. smh.