vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?

    Wanabodi, Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo. Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile...
  2. Ila Polepole kazimishwa vizuri sana

    Kachuo kake uchwara ka uongozi kamepotelea wapi sijui? Wahenga waliosema "Mbwa mwenye mnofu mdomoni hapigi kelele." Waliona mbali sana.
  3. Vitu gani vizuri uliwafanyia wakwe lakini ukaachwa?

    Mapenzi hayajawahi kumwacha binadamu salama. Nilimkuta akiwa hana mbele wala nyuma, anakaa kwa wazazi, nikampangia na nyumba, baadaye nikamtafutia kazi, akaanza kunawiri na uzinzi na ufuska vikaja juu. Nikamsema akajirekebisha. Wazazi wake wakikuwa wanakaa kwenye nyumba ya tope, nikawajengea...
  4. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

    Wanabodi, Sisi binadamu tofauti tofauti tuna hobies mbalimbali, wengine wanapenda kutulia sehemu moja, wengine wanapenda kusafiri safiri. Mimi hobby yangu ni safari, na kula. yaani travelling na eating delicious meals na feasting on anything good! Yaani napenda sana kusafiri na kula vitu...
  5. Ni vizuri mkawafundisha wake zenu kuhusu kufanya Ngono salama, watu wanaisha ndoani

    Ushauri . Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika Jamaa yangu ili wamuingize katika Mfumo wa Gridi ya Taifa . Jamaa yangu kashanasa tiyari.
  6. P

    Alianza mwendo vizuri, ila sasa kaanza kukengeuka kama mtangulizi wake

    Namuongelea Kiongozi wetu, alianza vema sana kazi zake kwa kuhakikisha teuzi nyingi zinazingatia sifa, weledi, umoja wa kitaifa, dini na hata jinsia. Hata hivyo, kwa siku za karibuni ameanza kukengeuka kama mtangulizi wake. Anateua watu wenye kutiliwa mashaka weledi wao angalia kama huyo KM...
  7. Nadhani wimbo huu utafanya vizuri sana mwaka 2023

    Huyu mwanadada Libianca ni mwanamuziki wa Cameroon, na mwaka huu ametoa wimbo uitwao PEOPLE. Binafsi nimeusikiliza mara kadhaa na kutambua kwamba huyu dada ana kipaji kikubwa mno cha uandishi na uimbaji. Mashairi ya huu wimbo yana ujumbe mzito sana na ametumia mahadhi ya Afro-Fusion (Huku...
  8. Watanzania na Tafsiri ya Tumecheza Vizuri: Tambua kuna Successful na Unsuccessful Possession

    Imekuwa ni rahisi sana kwa mashabiki wa Timu za Kariakoo, kuamini au kuaminishwa timu yake imecheza vizuri kwa kigezo cha ball possession pekee, haijarishi imepata matokeo gani. Naomba nikusogezee hii fact, kuna successful ball possession and unsuccessful ball possession. Tuanze kuzichambua...
  9. M

    Mwamposa huyu Muumini wako wa leo hukumpanga vizuri hadi Akakuaibisha kwa Uongo hadi Wewe ukashtuka?

    Muumini wako Mmoja wa Kike aliyepanda Kutoa Ushuhuda wake kati ya Saa 5 na Robo hadi Saa 5 na dakika 20 leo Kachemsha na Kututhibitishia kuwa ni kweli hawa Watu wa Shuhuda huwa Unawapanga na Kuwaandaa. Mwamposa huyo Dada mbele yako akiwa anashuhudia alikuambia kuwa alikuwa na Ndugu yake Mgonjwa...
  10. D

    Fedha za Plea-Bargain aulizwe Balozi Mbelwa Kairuki, anajua vizuri sana

    Nakuomba Rais Samia Suluhu Hassan umeamua "kuliamsha dude" kuweka nchi yako sawa kimedani. Umekasirishwa na uporaji wa fedha zilizoitwa za "fidia kukiri kosa" au Plea-bargain Kwa kimombo. Ushauri wangu muulize Balozi Mbelwa Kairuki anazojua VIZURI sana. Aliwahi kuhoji mahali, "Kuna hela...
  11. Tundu Lissu hebu tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana

    Maelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna magari, kulia kuna magari wakageuza gari kuelekea walipotokea dereva akaniambia nisishuke...
  12. Wizaria ya Elimu na NECTA, Ni muda sasa mtumie weledi wenu vizuri kwenye Elimu yetu

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa miaka mingi, nchi yetu imekuwa ikipitia mnyukano mkubwa katika swala la Elimu asa katika...
  13. Kiswahili hakiwezi kukua vizuri Kama Sisi bado ni maskini

    Kikawaida hakuna mtu anayependa kujifunza lugha ya maskini au utamaduni wake isipokuwa tu labda kwa sababu za kiutafiti na kiakademia. Hata masIkini mwenyewe huionea aibu lugha yake na utamaduni wake hivyo kuikwepa katika matumizi yake ya kila siku Kama vile elimu nakadhalika. Hapantunaweza...
  14. B

    Ridhwaa Seminary Kinondoni yafanya vizuri kwenye matokeo kidato cha nne mwaka huu (Wapata div 1 &2 ) only

    Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi? Naomba kujuzwa tafadhali
  15. R

    Nimetafakari kuhusu matokeo Ya Mitihani, je kuna jambo lolote Serikali ya ccm imeshafanya vizuri kwa ufasaha zaidi ya kuiba kura kwa ufasaha?

    Sio kwenye elimu tu, huko kwenye afya na kilimo mambo ni fyongo tu. Tuje sasa kwenye uchaguzi, mwaka 2019 walishinda vijiji vyote kwa 100% na mwaka 2020 walishinda ngazi zote za uchaguzi kwa asilia 90-100% Kama nguvu ile ya kuiba uchaguzi ingetumika kwenye Kilimo kusinge kuwa na njaa wala...
  16. Nyie NECTA ni kweli mnasahihisha mitihani yetu vizuri? Tuambieni maana ya neno 'COMPENTENCY'

    Nimekosa kwenye kamusi yangu....!
  17. F

    Ushoga unasababishwa na mambo haya makubwa mawili. Papa Francisco aeleweke vizuri hapa

    Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili; 1) Natural predisposition (genetics). 2) Mazingira (malezi na trauma). Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya. Pia...
  18. Diamond Platinum hata kwenye filamu anaweza kufanya vizuri

    Kwa namna scene za matukio vilivyopangiliwa kwenye wimbo wa Yatapita, now Diamond anaweza ku switch kunako kiwanda cha Bongo movie na akafanya vizuri zaid na kuinua tathinia hiyo kimataifa zaidi. Imagine Diamond anaigiza movie kama hii; Diamond (askali polisi) anayedhalaurika kazini, kitengo...
  19. Kuna ugumu gani Serikali kuanzisha vyuo vikuu vya maswala ya dawa za asili?

    Hivi jamani kuna ugumu gani Serikali kuanzisha vyuo vikuu vya maswala ya dawa za asili? Nilidhani pale Muhimbili wanatoa kozi kumbe ni wizi mtupu hakuna cha maana Serikali ilitizame hili swala kwa weledi mzuri kuna magonjwa mengi yanatibiwa na miti shamba, magonjwa ambayo hosptali yanapigwa...
  20. Tujifunze kuachana na ma Ex wetu vizuri

    Leo nimeamka nikiwa sina hata mia mbovu mfukoni,kila mshikaji niliyekua namuomba aniazime hata elfu 10 tu wote wakawa wananikataa.nikapekua simu yangu nikakuta jina la ex wangu ofcoz huyu dada tuliachana tu coz ya harakati za maisha na huwa tunachat mara moja moja tu kupeana salamu na vitu kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…