Nyie NECTA ni kweli mnasahihisha mitihani yetu vizuri? Tuambieni maana ya neno 'COMPENTENCY'

system hacker

JF-Expert Member
Mar 13, 2022
426
705
Screenshot_20230129-113746.png

Nimekosa kwenye kamusi yangu....!
 
Typing error,
walimaanisha competency kiazi Wewe
Tayari tatizo la lugha ya inayolalamikiwa kila leo imejitokoza hadi kwa wanaosimamia mitihani yetu. Na wao wamekumbwa na tatizo la lugha. Tukubaliane tu kwa pamoja kuilazimisha serikali kwamba lugha ya kufundishiaa kuanzia Shule za Msingi iwe Kiigereza. Kiswahili ibaki kama somo tu kati ya masomo yote.
 
Very nice comment...
 
Typing error,
walimaanisha competency kiazi Wewe
Not typing error. Ni incompetence ya wanaosimamia elimu yetu. sasa sijui walisahihishaje somo la English wakati na wao wana matatizo ya lugha hiyo. Tukubali tu Kiingereza ni tatizo la Kitaifa.
 
We jamaa nakukubali sana arguments zako
 
Back
Top Bottom