gogo jr
Member
- Oct 2, 2018
- 14
- 14
Hivi jamani kuna ugumu gani Serikali kuanzisha vyuo vikuu vya maswala ya dawa za asili?
Nilidhani pale Muhimbili wanatoa kozi kumbe ni wizi mtupu hakuna cha maana Serikali ilitizame hili swala kwa weledi mzuri kuna magonjwa mengi yanatibiwa na miti shamba, magonjwa ambayo hosptali yanapigwa tantalila.
Mfano figo miti inatibu vizuri kabisa hivyo kuna haja ya mamlaka kuanzisha vyuo watu wangeongezewa maarifa na ujuzi wa kutumia miti nadhani hili lingesaidia sana.