Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,498
113,597
Wanabodi,
Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo.

Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile kazi ya kutoa ile burudani kuu kuliko burudani zote duniani ambayo kila kiumbe amepewa bure na anapaswa kutoa bure, ambayo hupelekea uumbaji wa kiumbe kipya?.

Kazi ya kutengeneza, ya kupachika, hufanywa kwa ushirikiano wa jinsia mbili, lakini uumbikaji wa kiumbe kipya kinaumbikia ndani ya jinsia ya kike pekee, hivyo ñi mwanamke pekee ndiye huweza kubeba na kuleta kiumbe kipya duniani!, hivyo Mwanamke ana uwezo kuliko mwanaume!.

Na baada ya kiumbe mpya kuzaliwa, kazi ya ulezi wa mwanzo, ya kunyonyesha, hufanywa na wanawake tuu, na kupeleka wanawake kuwa ndio walezi bora wa familia, hivyo kazi zote za kulea watoto wadogo hufanywa na wanawake!.

Tena wanawake hawaishii kwenye ulezi wa watoto wadogo tuu, na familia, bali hulea hata yule 'mtoto mkubwa' wa familia ambaye anatambulika kama kichwa cha nyumba au nguzo ya familia kwa pale sebuleni tuu, kibarazani, kiambazani na mitaani, lakini chumbani, mtoto mkubwa naye pia analelewa tuu kama mtoto!, tena kuna wengine wakinyimwa huwa wanalialia tuu kama watoto!, na mwisho humbembelezwa na kupewa!.

Hivyo hakuna ubishi kuhusu uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye mambo mengi tuu, hata katika uongozi. Tena ni ukweli usiofichika kuna baadhi ya kazi zinazohitaji miguvu, zinawafaa zaidi wanaume kuliko wanawake, ila kuna wanawake wana maumbile ya kike lakini wana nguvu kuliko wanaume na wanaweza kufanya kazi zote za kiume, na wakati huo huo, kuna wanaume wana maumbile ya kiume lakini ni walaini kupita hata wanawake!, hawawezi kufanya kazi za kiume!.

Japo kazi ni kazi, na wanaume ndio wanajihesabu wao ndio watenda kazi na wachapa kazi hodari kuliko wanawake, yaani wanaume ni watu wa kuchuma na wanawake ni watu wa kupokea, siku hizi kuna wanawake ndio wachumaji na vi benten vinalelewa!.

Sii wengi wanaojua kuwa baada ya uumbaji wa Mungu kuwaumba Adamu na Eva, au Adam na Hawa, mtu wa kwanza kabisa kufanya kazi ni Mwanamke, ile kazi ya kumegwa tunda, kulikofanywa na mwovu shetani, kisha Eva au Hawa, akampelekea tunda Adamu na kumfundisha jinsi lile tunda linavyomegwa, ndipo Adamu akajifunza kazi na akamega, na wakaishia uzingizini, hivyo hiyo ndio the first professional.

Mwanamke ndie pekee anaweza kufanya kazi zote!, ukiondoa ile kazi ya zile huduma ambayo hutolewa na Mwanamke pekee, kazi nyingine zote watu wote mwanamke na mwanaume wanaweza kuzifanya vizuri tuu, ila kuna kazi fulani fulani wanawake wanazifanya vizuri kuliko wanaume zikiwemo kazi za ndani, uhudumu, mapokezi, fashion shows, kudance kwenye clubs, wahudumu wa mabaa etc.

Kuna kazi mfumo dume umezipachika kuwa ni kazi za kike, zikiwemo upishi, ubunifu wa mavazi, ususi na kazi za kuremba wanawake, lakini imetokea ma Chef's wote wa hoteli kubwa kubwa ni wanaume!, wabunifu wakubwa wa mavazi ni wanaume, hata warembeshaji wakubwa na sasa wasusi ni wanaume!.

Nenda saloon za kike ushuhudie idadi ya wasusi wa Kikongomani, au pita pale Mwenge Jumamosi asubuhi ushuhidie jinsi morani wa Kimasai wanavyokula tenda za kuwasuka rasta dada zetu!.

Hata huduma mpya ya kisasa ya massage, wahitaji wengi wa kufanyiwa massages kama ni wanaume wanapenda kufanyiwa na wanawake na wanawake wanapenda kufanyiwa na wanaume.

Huu mfumo dume umepelelea baadhi ya nafasi kupewa majina ya kiume mfano Boss ni jina la kiume, boss akiwa ni Mwanamke anaitwa The Boss Lady, lakini mabosi wa kike wanapenda kuitwa Boss, na wafanyakazi wengi wana prefers Boss awe mwanaume na sio Mwanamke., maana boss akiwa ni Mwanamke, kuna watu wanakoma!.

Pia nafasi kama ya Chairman/Mwenyekiti, ni jina la kiume, akiwa mwanamke alipaswa kuitwa Chairwoman ila ikaonekana hainogi, hivyo Mwenyekiti akiwa mwanamke anaitwa Chairperson.

Hata cheo cha President na Amiri Jeshi Mkuu kilidhamiriwa kuwa ni cheo cha mwanaume, l mwanamke anaitwa Amirati, ila hata Amiri Jeshi Mkuu anapokuwa Mwanamke, hapendi kuitwa Amirati ana prefers kuendelea kuitwa hivyo hivyo Amiri ambalo ni jina la kiume au chairman badala ya Chairwoman or chairperson.

Tukubali tukatae bado tuna baadhi ya watu miongoni mwetu, waliofilisika kiakili na kisiasa, ambao bado wana tatizo la kutawaliwa na mfumo dume vichwani mwao na kuamini urais wa nchi ni kazi ya kiume!, hivyo ni kweli lile tukio la March 17, lilitokea kabla ya Machi 17!, hivyo lilipotokea wakafanya siri ili kumtafuta mwanaume wa kushikilia kwa kuamimi Mwanamke hawezi!

Hivyo na mimi nauliza kuna ukweli wowote kuwa kuna kazi za kiume na za kike?, na kuna kazi za kike ambazo ni za kike tuu!, wanaume hawaziwezi kama kubeba, lakini pia kuna kazi za wanawake, wanaume wanazifanya vizuri zaidi kuliko wanawake wenyewe!. Jee kuna kazi za kiume ambazo wanawake hawawezi?.

Bandiko hili ni kuhusu fupa fulani, ukimuondoa Baba wa Taifa aliyetuachia katiba ya Tanzania ya mwaka 1977, marais wanaume wanne, waliofuatia, hilo fupa liliwashinda, maraisi Mwinyi, Mkapa, JK na JPM, walilishindwa fupa hili. Sasa kama urais ni kazi ya kiume, na tumekuwa na marais wanaume wanne na wote wameshindwa, jee rais Mwanamke mmoja ataweza?. Ili kulijua fupa hili tembelea hapa Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.

Tukubali tukatae, muda uliobaki kwa Rais Samia kumaliza awamu yake ya kwanza, ni miaka 2 tuu ambao muda huu ni too little too short kupata katiba mpya bora, unless kama tunataka kuendelea na ule mchakato wa ile bora katiba, hivyo mchakato wa katiba mpya utawekwa kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2025 - 2030 ambayo ndio awamu ya pili ya Samia.

Ila ili uchaguzi wa 2025 uwe ni uchaguzi huru na wa haki, lazima kwanza yafanyike mabadiliko madogo ya katiba, kisha mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, na kuundwa kwa tume huru na Shirikishi ya uchaguzi.

Sasa kwa vile marais wanaume wanne wameshindwa hili la katiba mpya, jee rais Mwanamke ataliweza, au kuna uwezekano hii sauti Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke ni kweli ili Tanzania tupate katiba mpya 2025- 2030?.

Nawatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku ya wanawake Duniani hapo Machi 8.

Paskali!.
 
Samia hana uwezo wa kuleta katiba mpya yeye binafsi bila matakwa ya vigogo ndani ya ccm!

Na hao vigogo ndani ya ccm hawawezi kuleta kayiba mpya kizembe namna hiyo maana wanajua huko ni sawa na kujipiga risasi miguuni!

Kwamba Samia ataleta katiba mpya ile ilikuwa ni hadaa tu kwa Mbowe wakati wanamiminiana vibaba na mabuyu ya asali!

Bila damu kumwagika hamna katiba mpya!
 
ikiwemo ile kazi ya kutoa ile burudani Kuu kuliko burudani zote duniani ambayo hupelekea uumbaji wa kiumbe kipya, ni kazi ya wanawake pekee, na kiumbe kipya kinaumbikia ndani ya jinsia ya kike pekee...
Pascal!

Sifa hizi zimuendee muumba pekee kwani hili limewekwa nje ya uwezo wa mwanadamu!

Na kwa sababu ni nature tuu! Hata mwanamke hawezi kujisifia hili,

Burudani huwenda ndio tunatoa jinsia ya ME,

Kwani mkunwaji na mkunaji, nani huburudika zaidi?
 
Wanabodi,
Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo.

Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile kazi ya kutoa ile burudani kuu kuliko burudani zote duniani ambayo kila kiumbe amepewa bure na anapaswa kutoa bure, ambayo hupelekea uumbaji wa kiumbe kipya.

Kazi ya kutengeneza, ya kupachika, hufanywa kwa ushirikiano wa jinsia mbili, lakini uumbikaji wa kiumbe kipya kinaumbikia ndani ya jinsia ya kike pekee, hivyo ñi mwanamke pekee ndiye huweza kubeba na kuleta kiumbe duniani!, hivyo Mwanamke ana uwezo kuliko mwanaume!.

Na baada ya kiumbe mpya kuzaliwa, kazi ya ulezi wa mwanzo, ya kunyonyesha, hufanywa na wanawake tuu, na kupeleka wanawake kuwa ndio walezi bora wa familia, hivyo kazi zote za kulea watoto wadogo hufanywa na wanawake!.

Tena wanawake hawaishii kwenye ulezi wa watoto wadogo tuu, na familia, bali hulea hata yule 'mtoto mkubwa' wa familia ambaye anatambulika kama kichwa cha nyumba au nguzo ya familia kwa pale sebuleni tuu, kibarazani, kiambazani na mitaani, lakini chumbani, mtoto mkubwa naye pia analelewa tuu kama mtoto!, tena kuna wengine wakinyimwa huwa wanalialia tuu kama watoto!, na mwisho humbembelezwa na kupewa!.

Hivyo hakuna ubishi kuhusu uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye mambo mengi tuu, hata katika uongozi. Tena ni ukweli usiofichika kuna baadhi ya kazi zinazohitaji miguvu, zinawafaa zaidi wanaume kuliko wanawake, ila kuna wanawake wana maumbile ya kike lakini wana nguvu kuliko wanaume na wanaweza kufanya kazi zote za kiume, na wakati huo huo, kuna wanaume wana maumbile ya kiume lakini ni walaini kupita hata wanawake!, hawawezi kufanya kazi za kiume!.

Japo kazi ni kazi, na wanaume ndio wanajihesabu wao ndio watenda kazi na wachapa kazi hodari kuliko wanawake, yaani wanaume ni watu wa kuchuma na wanawake ni watu wa kupokea, siku hizi kuna wanawake ndio wachumaji na vi benten vinalelewa!.

Sii wengi wanaojua kuwa baada ya uumbaji wa Mungu kuwaumba Adamu na Eva, au Adam na Hawa, mtu wa kwanza kabisa kufanya kazi ni Mwanamke, ile kazi ya kumegwa tunda, kulikofanywa na mwovu shetani, kisha Eva au Hawa, akampelekea tunda Adamu na kumfundisha jinsi lile tunda linavyomegwa, ndipo Adamu akajifunza kazi na akamega, na wakaishia uzingizini, hivyo hiyo ndio the first professional.

Mwanamke ndie pekee anaweza kufanya kazi zote!, ukiondoa ile kazi ya zile huduma ambayo hutolewa na Mwanamke pekee, kazi nyingine zote watu wote mwanamke na mwanaume wanaweza kuzifanya vizuri tuu, ila kuna kazi fulani fulani wanawake wanazifanya vizuri kuliko wanaume zikiwemo kazi za ndani, uhudumu, mapokezi, fashion shows, kudance kwenye clubs, wahudumu wa mabaa etc.

Kuna kazi mfumo dume umezipachika kuwa ni kazi za kike, zikiwemo upishi, ubunifu wa mavazi, ususi na kazi za kuremba wanawake, lakini imetokea ma Chef's wote wa hoteli kubwa kubwa ni wanaume!, wabunifu wakubwa wa mavazi ni wanaume, hata warembeshaji wakubwa na sasa wasusi ni wanaume!.

Nenda saloon za kike ushuhudie idadi ya wasusi wa Kikongomani, au pita pale Mwenge Jumamosi asubuhi ushuhidie jinsi morani wa Kimasai wanavyokula tenda za kuwasuka rasta dada zetu!.

Hata huduma mpya ya kisasa ya massage, wahitaji wengi wa kufanyiwa massages kama ni wanaume wanapenda kufanyiwa na wanawake na wanawake wanapenda kufanyiwa na wanaume.

Huu mfumo dume umepelelea baadhi ya nafasi kupewa majina ya kiume mfano Boss ni jina la kiume, boss akiwa ni Mwanamke anaitwa The Boss Lady, lakini mabosi wa kike wanapenda kuitwa Boss, na wafanyakazi wengi wana prefers Boss awe mwanaume na sio Mwanamke., maana boss akiwa ni Mwanamke, kuna watu wanakoma!.

Pia nafasi kama ya Chairman/Mwenyekiti, ni jina la kiume, akiwa mwanamke alipaswa kuitwa Chairwoman ila ikaonekana hainogi, hivyo Mwenyekiti akiwa mwanamke anaitwa Chairperson.

Hata cheo cha President na Amiri Jeshi Mkuu kilidhamiriwa kuwa ni cheo cha mwanaume, l mwanamke anaitwa Amirati, ila hata Amiri Jeshi Mkuu anapokuwa Mwanamke, hapendi kuitwa Amirati ana prefers kuendelea kuitwa hivyo hivyo Amiri ambalo ni jina la kiume au chairman badala ya Chairwoman or chairperson.

Tukubali tukatae bado tuna baadhi ya watu miongoni mwetu, waliofilisika kiakili na kisiasa, ambao bado wana tatizo la kutawaliwa na mfumo dume vichwani mwao na kuamini urais wa nchi ni kazi ya kiume!, hivyo ni kweli lile tukio la March 17, lilitokea kabla ya Machi 17!, hivyo lilipotokea wakafanya siri ili kumtafuta mwanaume wa kushikilia kwa kuamimi Mwanamke hawezi!

Hivyo na mimi nauliza kuna ukweli wowote kuwa kuna kazi za kiume na za kike?, na kuna kazi za kike ambazo ni za kike tuu!, wanaume hawaziwezi kama kubeba, lakini pia kuna kazi za wanawake, wanaume wanazifanya vizuri zaidi kuliko wanawake wenyewe!. Jee kuna kazi za kiume ambazo wanawake hawawezi?.

Bandiko hili ni kuhusu fupa fulani, ukimuondoa Baba wa Taifa aliyetuachia katiba ya Tanzania ya mwaka 1977, marais wanaume wanne, waliofuatia, hilo fupa liliwashinda, maraisi Mwinyi, Mkapa, JK na JPM, walilishindwa fupa hili. Sasa kama urais ni kazi ya kiume, na tumekuwa na marais wanaume wanne na wote wameshindwa, jee rais Mwanamke mmoja ataweza?. Ili kulijua fupa hili tembelea hapa Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.

Tukubali tukatae, muda uliobaki kwa Rais Samia kumaliza awamu yake ya kwanza, ni miaka 2 tuu ambao muda huu ni too little too short kupata katiba mpya bora, unless kama tunataka kuendelea na ule mchakato wa ile bora katiba, hivyo mchakato wa katiba mpya utawekwa kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2025 - 2030 ambayo ndio awamu ya pili ya Samia.

Sasa kwa vile marais wanaume wanne wameshindwa hili la katiba mpya, jee rais Mwanamke ataliweza, au kuna uwezekano hii sauti Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke ni kweli ili Tanzania tupate katiba mpya 2025- 2030?.

Nawatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku ya wanawake Duniani hapo Machi 8.

Paskali!.
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.
P.
 
Samia ameweza kuachieve vitu ambavyo ngosha mwenzangu alitumia nguvu kubwa sana Na hakufanikiwa.
Naunga mkono hoja, Rais Samia amethibitisha kuna vitu wanawake wanaweza kufanya vizuri kushinda hata wanaume!.
Big up sana kwa huyu Mama!.
P
 
Wanabodi,

Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume.

Hivyo hakuna ubishi kuhusu uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye mambo mengi tuu, hata katika uongozi.

Hata cheo cha President na Amiri Jeshi Mkuu kilidhamiriwa kuwa ni cheo cha mwanaume, l mwanamke anaitwa Amirati, ila hata Amiri Jeshi Mkuu anapokuwa Mwanamke, hapendi kuitwa Amirati ana prefers kuendelea kuitwa hivyo hivyo Amiri ambalo ni jina la kiume au chairman badala ya Chairwoman or chairperson.

Tukubali tukatae bado tuna baadhi ya watu miongoni mwetu, waliofilisika kiakili na kisiasa, ambao bado wana tatizo la kutawaliwa na mfumo dume vichwani mwao na kuamini urais wa nchi ni kazi ya kiume!, hivyo ni kweli lile tukio la March 17, lilitokea kabla ya Machi 17!, hivyo lilipotokea wakafanya siri ili kumtafuta mwanaume wa kushikilia kwa kuamimi Mwanamke hawezi!

Hivyo na mimi nauliza kuna ukweli wowote kuwa kuna kazi za kiume na za kike?, na kuna kazi za kike ambazo ni za kike tuu!, wanaume hawaziwezi kama kubeba, lakini pia kuna kazi za wanawake, wanaume wanazifanya vizuri zaidi kuliko wanawake wenyewe!. Jee kuna kazi za kiume ambazo wanawake hawawezi?.

Paskali!.
That job since the beginning disgned for men, Women for showcasing tu not their suitable position msije sema Nina stereotypes hapana huo ndio uhalisia.
Mkuu Mazigazi , kama hutajali, nakuomba ujibu hili swali

Tukubali tukatae bado tuna baadhi ya watu miongoni mwetu, waliofilisika kiakili na kisiasa, ambao bado wana tatizo la kutawaliwa na mfumo dume vichwani mwao na kuamini urais wa nchi ni kazi ya kiume!, kweli urais ni kazi ya kiume?. Nauliza kuna ukweli wowote kuwa kuna kazi za kiume na za kike?
P
 
Naunga mkono hoja, Rais Samia amethibitisha kuna vitu wanawake wanaweza kufanya vizuri kushinda hata wanaume!.
Big up sana kwa huyu Mama!.
P
Siku hizi Wanaume ndiyo tumekua msitari wa mbele kusifia Wanawake na kazi zao walizopewa kwa upendeleo,sijui Dunia inaelekea wapi,na je ni Nini hatima ya sisi Wanaume ambao hata hizo kazi tukizikipata lazima jasho litutoke!!??
 
Mkuu Mazigazi , kama hutajali, nakuomba ujibu hili swali

Tukubali tukatae bado tuna baadhi ya watu miongoni mwetu, waliofilisika kiakili na kisiasa, ambao bado wana tatizo la kutawaliwa na mfumo dume vichwani mwao na kuamini urais wa nchi ni kazi ya kiume!, kweli urais ni kazi ya kiume?. Nauliza kuna ukweli wowote kuwa kuna kazi za kiume na za kike?
P
Unaposema uraisi unaongelea Uongozi, ukiongelea Uongozi una maanisha Authority, leadership, etc ambazo si values za kike.
 
Back
Top Bottom