vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Pengine Unamsikia tu Shetani Juujuu. Humfahamu vizuri na unasema ni adui yako

    Pengine unamsikia tu shetani juu juu, humfahamu vizuri na unasema ni adui yako. Unawezaje kupambana na adui usiyeijua nguvu yake? Anafafanua kwa ufupi Mwl . Makungu m.s 0743781910 Kamwe Usimfananishe shetani na majini , mapepo , mizimu wachawi n.k. Ambao una uwezo wa kufanya nao vita kirahisi...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

    Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Watanzania hawajaridhika na uwekezaji wa bandari, serikali isione aibu kuachana nao

    Mzee Butiku anasema kwa namna kelele zilivyo nyingi kuhusu suala la bandari serikali Ina namna mbili tu.. 1. Kiheshimu hofu na maoni ya wananchi kwamba hawajaridhika na suala hili, au 2. Kuwapuuza wananchi na kuendeleza na suala hili. Lakini wapime madhara ya kila uamuzi watakaoifanya...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba na Azam zisipofanya vizuri ZICHEKWE

    Nguvu kubwa ya kumtoa Feisal kwa fitina pale Yanga na usajili mkubwa wa wachezaji wa nje basi tunategemea Azam kuchukuwa kombe la ligi kuu(NBC) , Kombe la Shirikisho la Azam . Simba kwa usajili wa wachezaji wa nje walioufanya kwa vibe na mbwembwe na jinsi MNAVYOJIAPIZA KUWA HAKUNA KAMA SIMBA...
  5. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Van der Sar avuja damu kwenye ubongo, alazwa ICU. Inaelezwa anaendelea vizuri

    Golikipa wa zamani wa Manchester United, Edwin van der Sar amepata tatizo la kuvuja damu kwenye ubongo na yuko katika chumba cha Wagonjwa Mahututi nchini Croatia Taarifa iliyotolewa na Klabu ya Ajax ambapo Van der Sar alikuwa anahudumu kama Mtendaji Mkuu baada ya kustaafu soka, imesema nguli...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

    Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
  7. eze malongo

    JamiiForums Tanzania Naomba kumfahamu vizuri Shaaban Robert

    Ndugu zangu hivi history ya mwandishi nguli hapa Tanzania Shaaban Robert imehifadhiwa wapi? Nimesikia alifanya makubwa sana katika sekta ya Lugha lakini watu hawamuenzi ipasavyo, tasnia ya lugha hamzungumzii kwa lolote licha ya vitabu vyake kufanya vizuri A level secondary lakini ni kama...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tupige kura Mawaziri na wabunge waliofanya vizuri Bunge la Bajeti 2023/2024

    Bunge la Bajeti limekwisha leo tuweke orodha na mawaziri na wabunge walifanya vizuri Bunge hili. Mawaziri 1. Juma Aweso 2. Innocent Bashungwa 3. Angela Kairuki 4. Kapteni Mkuchika UPANDE wa Wabunge 1. Tabasamu 2. Msukuma 3. Kingu 4. Mnyeti 5. Prof. Mkumbo Wengine tuendelee.
  9. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi duniani itaendelea duniani kama siasa inalipa vizuri kuliko viwanda

    Katika quote maarufu za siasa Kuna hii ambayo inatabiri maendeleo ya nchi na watu wake. Inasema "katika nchi ambayo utajiri wa haraka kabisa ni kuwa MWANASIASA kuliko kufanyabiashara, kulima, na kuwa mwekezaji" Basi umasikini wa hiyo nchi mkubwa wa kutupwa kwasababu katika hiyo nchi...
  10. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Wadada wa Dar mpo vizuri katika updates za hali ya hewa

    Wakuu, yani wadada kusikia utabiri wa hali ya hewa kwamba maeneo ya pwani kutakuwa na upepo mkali wa wastani na mawimbi ya bahari kufikia hadi mita 2 , Basi wameamua kuvaa nguo fupi alafu nyepesi kwa makusudi alafu unakuta ndani vichupi tu no skin tight, ni mimi tu sijui nawaona huku mjini...
  11. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Mabunge yote duniani Mbunge akisimama badala ya kutumia muda wake vizuri ni lazima aanze kumsifia Rais?

    Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge. Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali? Inawezekana Mimi ndio...
  12. kekule benzene

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Sikubaliani na hoja ya kwamba walimu wengi ni failure wa kidato cha nne au sita

    Habarini wadau, kwa muda mrefu kumekuwa na uongo na propaganda kuhusu ualimu. Watu wengi husema kwamba ualimu huenda watu waliofeli katika mitihani yao ya kidato cha nne au sita Binafsi nimejaribu kufuatilia hili kwa muda mrefu, na nimekuwa nikisoma guide books za kila mwaka. Ninachoona ni...
  13. The bump

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kiume Unaejua kutumia Computer vizuri unahitajika

    Sifa Ujue kutumia computer vizuri Ujue kupiga window na kugundua tatizo computer inapo misbehave Ujue kusolve matatizo yatakayojitokeza endapo computer italeta mushkeli Uwe na wadhamini Majukumu Kuingiza Movie na Nyimbo kwa Wateja Mshahara 250,000 (kwa mwezi) OFISI ilipo Dar es salaam -...
  14. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Wabunge tumieni pesa yenu vizuri, wengi hamtorudi msimu ujao

    Hali niionayo sasa na ajenda za uchaguzi zinazozidi kuzaliwa, hasira ya wananchi ninayoiona kwa mabo mengi mchanganyiko, kuchoka kwa walio wengi kuona mambo yaleyale kwa miaka 62 Ongezeko la unemployment inayoongezeka, utumwa unaoongezeka wa walionacho na wasionacho, uongozi usiolidhisha wa...
  15. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya kukaanga sio vizuri kwa Afya

    Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanapenda kula kula vyakula vya njiani, vyakula vya kukaanga kama kachori kuku supu na chips. Hivi vyakula ni hatari kwa afya yako ifike mahali watanzania tujionee huruma tubadilike tuwe na ukili vyakula tunavyo vingi sana vya asili haiwezekani unafurahia kula...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa huna pesa ni vizuri kukaa single lakini ukiwa na Pesa kukaa single ni vizuri zaidi

    Ukiwa huna Pesa ni vizuri kukaa single lakini ukiwa na Pesa kukaa single ni vizuri kama kijana amabaye ana Malengo na yupo hatua. za Mwanzo za kujitafta Kwani ukitaka kupima Kama unakopesheka au haukopesheki kopa kipindi ukiwa na Pesa.
  17. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Kipi kimempata Rais Samia mbona alikuwa anaenda vizuri tu?

    Inasononesha sana hali hii ya SINTOFAHAMU inayoendelea kulikumba taifa kwa kile kinachotajwa ufisadi mkubwa kupitia mkataba uhusuo bandari yetu na Waarabu. Mwanzoni alikuwa anaonekana yupo sawa kiuongozi lakini kwa kinachoendelea ni wazi ni pigo kuu kisiasa na AIBU kwake. Kipi kimemkuta Rais...
  18. NALIA NGWENA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moyo wangu unasuuzika sana ninapokua faragha na wanawake wa namna hii

    "Kipendacho roho hula nyama mbichi" Kila mtu/ binadamu hufurahia tendo la ndoa anapokua na mtu ampendae. Binafsi NALIA NGWENA ninapokua na date na msichana(mwanamke) wa hivi moyo wangu hufurahia tendo mno Tena mno. 1. Black woman, hakika hii rangi huwa naipenda sana, maji ya kunde, weusi wa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mazingira Duniani: NEMC yaipongeza Muhimbili kwa kutunza mazingira vizuri

    Katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 5 mwezi Juni, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetembelea na kutoa misaada ya kulinda mazingira katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa kukabidhi misaada hiyo...
  20. anti-Glazer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kama hauli vizuri ukashiba basi kuna hatari kubwa Mbele yako

    Sifa kuu ya mwanaume ni kuwa na nguvu. Unahitajika kuwa na nguvu kubwa Ili ukatatute ridhiki, siku hizi maarufu kama hela, ndio ridhiki yanyewe. Ukiwa na nguvu utafanya kazi Kwa umakini na kwa muda unaotakiwa. Ukiwa dhaifu hutamaliza majukumu yako sawasawa. Familia inakutegemea utumie nyuvu...
Back
Top Bottom