Asubuhi: Ma-Don wa Chai ya Rangi
Siku inaanza saa kumi na moja alfajiri kwa nyuzi za kujimwambafai.
Raia wanaanzisha mada za "Niko Five star hotel Dubai..nakunywa capuchino ya Brazil huku nawaza ninunue kiwanja gani wiki hii." Kumbe ukweli ni kwamba mleta mada amejifunika shuka la neti huku...