Mnakumbuka vituko vya utawala wa Idd Amin Dada kwenye utawala wake

Mnakumbuka vituko vya utawala wa Idd Amin Dada kwenye utawala wake

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,750
Reaction score
37,397
Inawezekana kizazi chake kilikuwepo Zanzibar na ndio kinaendelea kufanya haya kwa taswira ya znz inaonyesha kulikuwa na waganda wengi mpaka kuwepo mapinduzi.

Tuje kwenye mada sasa.
Ukifatilia matendo ya idd amin ni yale yale kama hapa.
Kuna kipindi alitaka kuwa rafiki mzuri wa urusi.
ukuangalia jina la afande mafwere na maria mungu ni sawa.

Ukiangalia utekaji wa kiwango kikubwa mpaka kufikia kuteka viongozi na kutaka kumaliza viongozi wa makanisa ni yale yale ya uganda

Unakumbuka alitaka kuonesha taifa lake, who are you na mwisho wake.
 
Hata ule msemo wa hu a yu alikuwa anaupenda sana ...
 
Alimuandikia malkia wa England barua ya kutaka kumuoa °

Lile lijamaa lilikuwa lishenzi sana !!!

Kuna dhana alikuwa anakula nyama za watu, pia alikuwa muumini wa kufukua mitaro.... zingatia neno dhana
 
Back
Top Bottom