Vituko vya Mama Samia: kuteua tume kutokana na tume🤦🏾‍♂️🏃‍♂️

Vituko vya Mama Samia: kuteua tume kutokana na tume🤦🏾‍♂️🏃‍♂️

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,753
Reaction score
15,445
Mama Samia anaunda tume kila siku za kitapeli ambazo wanataka kutumika kusingizia matatizo ya vurugu wapinzani. Wameishiwa mbinu sasa tume zenyewe za mchongo kazi yake ni kuja na mapendekezo ya tume nyingine ni woga wanatoa mapendekezo ya kuundwa tume nyingine. Hii ni mbinu ya woga wa kusema ukweli kwamba wauaji ni wadau wa Mama
 
Mama Samia anaunda tume kila siku za kitapeli ambazo wanataka kutumika kusingizia matatizo ya vurugu wapinzani. Wameishiwa mbinu sasa tume zenyewe amabazi ni woga wanatoa mapendekezo ya tume nyingine
hakuna haja ya kupotosha mambo ya msingi kindezi hivyo gentleman,

jitahidi kua muungwana na kuachana na porojo nonsense
 

FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Back
Top Bottom