a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,266
- 3,709
Huu uzi ni kwa ajili ya matendo ya vituko vya machawa.
Nimeona ni muhimu kukumbushana vituko vya machawa hasa kwa wakati huu ambapo UCHAWA umekuwa ajira rasmi na kitu cha kujivunia na wapo baadhi ya machawa wanajinasibu kwa kazi yao hiyo na hata kufikia kuwakejeli ELITES wasomi wakufunzi wa vyuo waliimu na officials wengine wasio kuwa machawa.
Chawa ni mtu mzima mwenye miaka 18 au zaidi , mwenye akili timamu ambaye ameamua mwenyewe bila kushurutishwa akiwa na akili zake timamu kumlamba viatu ama matako mwanadamu mwenzake,na zaidi kukesha usiku na mchana,wakati wote iwe jua iwe mvua kwa kumuimbia nyimbo za kumsifia na kumuabudu huyo mwanadamu mwenzake au wanadamu wenzake.
Zaidi yoyote chawa yupo tayari kufanya jambo lolote atakaloambiwa au hata bila kuambiwa kwa ajili ya huyo mwanadamu anayemuabudu.
Chawa ni mtu ambaye akili zake alizonazo anazikabidhi pembeni ashikiwe na huyo mtubanayemuabudu,sifa kuu ya uchawa hutakiwi kutumia akili hata kama unazo unaziweka pembeni ,chochote anachokifanya huyo mtu unayemuabudu lazima ukisifie na kukiabudu bila kufikiri hata kama watu wengine wote wanaona hakifai ila wewe chawa lazima umsifu na kumuabudu huyo unayemuabudu.
Chawa kazi yao ni kumlamba viatu na kumsafisha matako huyo wanayemuabudu.
Zipo kauli na vitendo vya machawa ambavyo vimekuwa ni vituko ,ni vizuri tukaviweka hapa kwa ajili hapa,kituko chochote umekiona mahali chawa amefanya kwa ajili ya kumfurahisha bosi wake ,na kumsifu n ma kumuabudu mwanadamu mwenzake weka hapa.