AhhhHii ungeipeleka Facebook ingekuwa vyema!! Sasa hii uilete kwa watu kama Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah watakuelewa kweli.
Acha utoto
Du! Pole sana mkuu. Sasa hapo gogo litakatika kweli?😅🤣😅🤣Ukweni kwangu hakuishi vituko wakuu kama mnavyoona wenyewe.
Choo Cha Kifalme nimeandaliwa mkwe
View attachment 3665273