Vituko na ugumu wa ndoa za wanaume " mama Boys"

Vituko na ugumu wa ndoa za wanaume " mama Boys"

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,697
Reaction score
39,154
Wanawake sio walezi na watengenezaji wa wanaume na Baba Bora katika family.

Mama Boys ni tatizo jipya katika jamii, ni mijadala na maswali magumu yanatusumbua sisi wana saikolojia, kilipatia majibu na kujenga ndoa imara

Mahusiano ya mama boys na mabinti wengi huishia kubaya na ndoa kutodumu

1. Mama wa mwanaume anaamua badala ya wanandoa.
Hili suala huwashinda wanawake wengi na kumbia ndoa

2. Siri za ndoa hufika Kwa mama.
Hata uwe ugomvi mdogo mama wa mwanaume atajua tu

3. Mama anaingilia matumizi ya fedha
Mama ndo anaamua kuhusu mshahara wa mwanae
Alisema mkeo simple pesa, kweli kijana hatampatia mkewe hata 100

4. Mama kuwa na mamlaka juu ya mke wa mtoto wake
Akina ataamua kipikwe Nini, mlale vip, muamke saa ngap
Yaani anakuwa na sauti kwenye nyumba ya kijana wake

5. Ndoa Huwa kama ina watu watu.
Yaani mme, mama yake na mke wake

6. Mama kuingia chumbani hata mkiwa mko faragha😅

7. Mama atachagua hata samani, mapazia na kadhalika ndani ya nyumba ya wanandoa

8. Mwanaume kuwa mtiifu Kwa mama yake Kwa kila kitu.
Mama alisema achana na mkeo, jamaa hawazi mara mbili

9 Mama hijilinganisha na mke wa mtoto wake utasikia, " Mimi nilikuwa nafanya hivi

10. Mme hayuko tayari kumkera mama hata katika mazingira Gani

11. Mama anaamua kuhusu watoto, wasome vipi, wale vipi na maisha Kwa ujumla

12 Some times Mama Boys huwala mama zao kimya kimya.
Yaani mama hutoa k Kwa vijana wao,
So hiyo ndoa laZima iwe na jealous kutoka Kwa mama mkwe
 
Back
Top Bottom