vitabu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama bei ya kununulia ndege inatamkwa katika vitabu vya Bajeti,ugumu wa kuweka wazi mikataba unatoka wapi?

    Binafsi nilitarajia usiri wa bei katika kununua hizo ndege baada ya kukubaliana bei ndio iwe chanzo cha usiri wa mikataba ya manunuzi kwa malengo ya kibiashara(mteja mwingine nae aje ani-gotiate bei na terms za manunuzi kivyake). Sasa kama gharama ya kununua hizi ndege imetajwa,nini tena msingi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni mashine inatengeneza peasa au ni pesa inatengeneza mashine?

    Tumuombe mungu atujalie uzima maana katika kipindi hiki tutaona mengi ya kuthibitisha kwamba mwafrika ni Tabaka la mwisho kabisa kifikla,katika kipindi hiki cha kampeni kuna mgombea amejizolea kundi dogo la wanaomsapoti kwa hapa Tanzania tunawaita "MAKANJANJA" kutokana na tabia walizokuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye vitabu na material mengine kwa kujifunzia ufundi magari na pikipiki anisaidie

    Mambo vipi wakuu, Jamaa yenu hapa ninayo shauku kubwa ya kujifunza kutengeneza magari pamoja na pikipiki kwani maisha niliyo nayo mara baada ya kutoka chuo hayasomeki hivo nimeona ni vema zaidi nikapata japo ufundi stadi ambao utaniwezesha kupata riziki ya kuishi wakuu. Lengo langu ni kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Vitabu vitano vya kukuza ujuzi wa fashion

    Moja ya tasnia kubwa duniani ni fashion, kazi ambayo inaweza kuwa career ya kijana kama akiwa na interest nayo. Kwa mujibu wa www.indeed.com fashion designer duniani wanaingiza wastani wa $6,000 (takribani milioni 14) kwa mwezi. Ukifanya tathmini kwa mazingira ya Tanzania, tasnia ya fashion ni...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu kununua vitabu mtandaoni

    Habari wakuu, Samahani nauliza ukinunua kitabu mtandaoni, halafu ukawa huna hela ya wao kukutumia Kama ni cha kutoka nje ya nchi unaweza ukakisoma kwa soft copy baada ya kununua? Na pia, Kama kuna mtu anajua hivi vitabu Chemistry demystified 2nd edition vinapatikana wapi hapa Tanzania anijulishe.
  6. JamiiForums Tanzania Vitabu vya marehemu Ben Mtobwa

    Kwa wale wapenzi wa riwaya za Hayati Ben Mtobwa, ambaye mpaka sasa tumeweza kufikisha riwaya aina 15 zikiwemo riwaya za kipelelezi zinazombeba Joram Kiango kama mpelelezi hodari anayeweza kufumbua mafumbo mengi yanayotukia kwenye jamii. Mbali na hapo, kuna riwaya za kijamii kama Zawadi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Vitu vitatu (03) unavyohitaji ili unufaike na usomaji wa vitabu

    Wengi wa wanaosoma vitabu wanapoteza tu muda wao, wanakazana kusoma ili waweze kuwaambia wengine wamesoma vitabu vingapi, huku maisha yao yakiwa hayabadiliki kwa namna yoyote ile. Huu siyo tu upotevu wa muda, bali pia kuchafua akili, maana kama ambavyo Alexander Pope amewahi kusema, “Maarifa...
  8. JamiiForums Tanzania Mabalozi wapya wa kigeni wakipewa vitabu vya kujifunzia Kiswahili (Diplomatic Gift) itasaidia kuitangaza vema lugha yetu?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Watu ' Maarufu ' wakiandika na ' Kuzindua ' tu Vitabu vyao vya Maisha yao, muda mfupi tu huwa Wanakufa?

    Kutokana na ' Uchunguzi ' wangu mdogo tu nilioufanya ndani na nje ya Tanzania nimegundua ya kwamba kumbe huku Kukimbilia kuandika Historia yako ya Maisha na kuyaweka katika Kitabu na ' Kukizindua ' kwa ' Mikogo ' yote huwa hakupokelewi vyema na ' Israeli Mtoa Roho ' ambapo huwa ' hakukawizi '...
  10. JamiiForums Tanzania Vitabu 5 Vya Ujasiriamali Vya Kusoma 2020 Kukuza Kipato Chako

    Kibaha House Of Wajasiriamali tunakuletea vitabu 5 tulivyovifanyia majribio kwa miaka 5 mfululizo na kupata matokeo makubwa yakuridhisha: Kila kitabu utachonunua katika hivi, utapata fursa ya kujifunza kwa vitendo hapa Kibaha au kwa njia ya video ukiwa popote. Vitabu hivyo ni: 1. Miongozo ya...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kama hujasoma vitabu hivi basi wewe umekosa utamu wa kusoma vitabu

    Katika nyumba vitu vinavyoibiwa sana na watu wako wa karibu kabisa ni vitabu, kama una shelf ya vitabu kaa mwaka mwaka mmoja halafu ukaikague shelf yako lazima utakuta robo tatu ya vitabu vyako vimeibiwa. sababu kubwa ya wizi huo ni raha iliyomo katika hivyo vitabu. Kwa masikitiko makubwa...
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza vitabu vya Chemistry na Biology advanced S. Chand

    Habari wakuu! Nauza vitabu vifuatavyo: 1. Conceptual Chemistry Class XII Volume 1 Bei= 2. Cell Biology, Genetics, Molecular Biology, Evolution and ecology Bei 28,000/= 3. Advanced Physical Chemistry S.Chand Bei 18,000/= 4. Practical Chemistry S.Chand 15,000/= Vitabu vinapatikana Arusha Mount...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Baba Askofu Dkt. Bagonza na Askofu Niyemugizi wameshawahi kuandika vitabu? Natamani kuvisoma

    Wanajamvi, kama heading inavyojieleza, nimejaribu ku google sijaona. Nimeamua niulize humu ndani endapo kuna yeyote anayefahamu kama niliowataja hapo juu, wameshawahi kuandika vitabu au hata kitabu na vikawa published? Ningependa kufahamu. Na kama hawana, napenda kuchukuwa nafasi hii kuwaomba...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Hizi hapa salamu za Jumapili kwa walioiba vitabu vya Shule

    Ni vema ukatumia muda huu kuvirejesha hata kama una mvi kichwani
  15. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Advance (Science) chukuwa vitabu hivi kwa bei nafuu

    Mwanafunzi wa advance chukua vitabu hivi kwa bei karibia na bure vikusaidie kipindi hicki cha mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, kaka yenu nimestaafu kufundisha. CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XI(S.CHAND ) CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XII (S.CHAND) A-LEVEL CHEMISTRY fouth edition (E.N. Ramsden) Vyote...
  16. JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Habari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma. Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kujadili mambo mbali mbali yanahusu fedha, uwekezaji na uchumi. Mbali na hilo napendelea pia mijadala inayohusu maswala ya kijinsia na pia ni mpenzi wa kusoma vitabu. Napendelea mijadala inayolenga kufunzana. Asanteni...
  17. JamiiForums Tanzania Sisi Tunaokula Mboga, Tusiwalaumu wale wanakula nyama" Vitabu Vitakatifu vimeandika"

    Kumekuwa na kashfa za hapa na pale kati ya nchi hii na nchi zile kwamba wengine wanachukua juhudi na wengine wana wemejachia kama hakua corona. Nimesoma leo asubuhi Watanzania tumeanza kushutumu nchi zingine kama kejeli kwamba wapambane , mara wajibebe nk. Sisi tuliochagua kula Mboga...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni vitabu gani vya utundu wa mapenzi umesoma vimekusaidia mpaka leo?

    Katika kupitia uzi pendwa mzee Jason Bourne na Mkuu Kiga wametuonesha kuwa kusoma vitabu vilisaidia wao kujua jinsi ya kupata nywila za wenzi/wapenzi wao. Wanadau naombeni vitabu mlivyosoma ili tusaidiane kwenye libeneke, maana sio wote wameenda jando
  19. JamiiForums Tanzania Vitabu vya lugha ya Kiswahili

    Ni vitabu gani vya lugha ya Kiswahili ulivyovisoma vilivyobadilisha namna yako ya kufikiri na kubadili maisha yako kiujumla?
  20. JamiiForums Tanzania Wakati dunia inafungwa, wewe fungua vitabu (vitabu 12 vya kusoma wakati unajikinga na virusi vya Corona)

    Kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa mafua makali unaoendelea kwa sasa duniani, dunia imefungwa. Karibu kila nchi duniani imesitisha safari kati ya nchi moja na nyingine, hivyo watu wanaofanya kazi kwenye sekta za usafirishaji, malazi na utalii kwa sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…