vitabu

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), kuanza kuandika Vitabu vya Kiada kwa Masomo ya Ufundi Kidato cha Kwanza hadi cha nne

    Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa makubaliano hayo jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Juni 17, 2021 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo amesema ni wazi kuwa wataalamu wa masomo ya ufundi wapo kwenye vyuo vya ufundi na hana shaka na wataalamu...
  2. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Hivi vitabu wanavyotumia watoto wetu ni tatizo sana

    Nilikuwa namfundisha mtoto wa sister mara nikafika kwenye jedwali hilo hapo chini, Sasa kila nikitafuta majibu naona chenga,dah sijui ni mimi kilaza au kitabu ndio kina shida? Kama kitabu ndio kina shida kwanini hivi vitabu vipo mashuleni?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nashare nanyi vitabu viwili vya Majasusi wa Israel

    Vinasisimua sana, kimoja kinahusu Red sea resort hadi kuna movie yake imechezwa, kingine kuhusu Sylia Raphael bado nakimalizia hiki. Attachments hizi hapa, kwa enquiries nicheki PM
  4. Alevet

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vitabu vya combination ya PCM Form 5 na 6

    Wadau nina mtoto anaenda form five PCM, mimi mzazi natakiwa kumnunulia vitabu, ninachojua ni Nelkon kwa physics. Je, vingine vizuri ni vya aina gani wakuu?
  5. Baba ilumba

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mwenye PDF files za vitabu hivi

    Jamani yeyote mwenye link ya kuvipata vitabu mbalimbali ya Physics kwa class 12/ form six na vinginevyo atusaidie mana kuna link niliona humu mwezi uliopita ka sijakosea Ila saivi sioni. TAFADHALI JAMANI NI MUHIMU SANA LINK HIZO NAOMBENI HATA MWENYE FILES TU YA HIZO VITABU AWEKE HUMU.
  6. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya vichekesho.

    Tuachane na comics, ni kitabu gani ulisoma ukacheka sana. Mi nilisoma kitabu kinaitwa Haifai. Hiki kinazungumzia jinsi ya kujiendesha kwa adabu katika mazingira mbalimbali. Muandishi anaitwa Abdu Baka, ni cha zamani, miaka ya 60 huko. Hiki kitabu kinafurahisha sana. Kingine nilichocheka sana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wa Tanzania huandika vitabu wakishastaafu na marais wa Marekani huandika wakiwa madarakani?

    Kwanini Marais wa Tanzania [emoji1241] huandika vitabu mara tu baada ya kustaafu, tofauti na Maraisi wa Marekani ambao huandika Vitabu kabla ya kuukwaa Uraisi. Hii picha inakufundisha nini?
  8. MSEZA MKULU

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile. Hapa...
  9. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Vitabu bora kwa ajili ya Finance

    Habari wanaJF, ni tumaini langu humu kumejaa watalaamu wa Finance and Accounting. Mie ninahitaji kujifunza na kusoma Finance personally.. kwa hivyo nahitaji recommendations ya vitabu Bora equivalent kwa Dip au Degree ya Finance. Kama utaniwekea na PDF itakuwa poa zaidi. Asanteni.
  10. Maria Nyedetse

    JamiiForums Tanzania Msaada wa vitabu

    Habari za asubuhi wanajamvi, Samahani naomba mwenye vitabu hivi PDF anisaidie tafadhali 1. Rich Dad Poor Dad 2. Why A students Work for C students 3. Cash Flow Quadrant Vitabu vyote hivi vimeandikwa na mwandishi Robert Kiyosaki. Kama kuna vitabu vingine mfano wake pia itakuwa vizuri
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hili ni juma zima la vitabu duniani

    HILI NI JUMA ZIMA LA VITABU DUNIANI 5 ''Rajabu Ibrahim Kirama Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam'' Mwandishi: Mohamed Said Mchapaji: Readit Books Ltd Dar-es-Salaam Ukoo wa Rajabu Ibrahim Kirama wa Machame Nkuu umehifadhi kwanza kichwani historia ya wazee wao kwa simulizi kutoka kizazi...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania JUMA LA VITABU ULIMWENGUNI

    LEO SIKU YA VITABU DUNIANI 1 "The School Trip to Zanzibar" Mwandishi Mohamed Said Mchapaji: Africa Proper Education Network, Dar es Salaam Hiki kitabu kimechapwa mwaka jana 2020 na kinawafaa sana watoto wa shule za msingi kwa kujifunza Kiingereza na historia ya Zanzibar. Kupitia kitabu hiki...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya vitabu ulimwenguni

    LEO SIKU YA VITABU DUNIANI 1 "The School Trip to Zanzibar" Mwandishi Mohamed Said Hiki kitabu kitabu kimechapwa mwaka jana 2020 na kinawafaa sana watoto wa shule za msingi kwa kujifunza Kiingereza na historia ya Zanzibar. Kupitia kitabu hiki mwanafunzi atajifunza mengi katika maisha ya kila...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waandishi maarufu wa vitabu Tanzania wengi wao bado uchumi haujakaa sawa?

    Nadhani ni wengi hapa tumewahi kununua vitabu katika safari zetu za elimu. Unakuta kuna kitabu flani karibu kila mwanafunzi alikuwa nacho. Ila sasa ukija kuangalia hali za maisha za hao waandishi unakuja kugundua vitabu hivyo haviwasaidii sana kiuchumi. WHAT IS THE PROBLEM?
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kufanya masters/PhD vs kusoma vitabu kipi Bora?

    Mimi nasema Bora kusoma vitabu. Kufanya masters/PhD waachie ma academicians au watu ambao bado Wana mindset za kuajiriwa ( kuongeza elimu ili daraja la mshahara lipande) but kama una taka ku acquire the real and true knowledge u must go for reading books. A lot of books... Mtu anae Soma vitabu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta duka linalouza vitabu vya risiti

    Wakuu Habari, Wapi naweza pata duka linalouza vile vitabu vikubwa vya kuandikia Risiti za mkono kwa hapa Dar?. Nataka kuanza biashara ndogo nahitaji hivi vitabu kwa ajili ya Risiti na kumbukumbu msaada anayejua upatikanaji.
  17. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Laptop Zimewasili Na Ofa Ya Vitabu

    UPDATE LEO JULY 2 2021 LAPTOP ZIMEWASILI NA OFA YA VITABU Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia...
  18. mgendege

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitu vinapanda bei sana siku hizi?

    Pole na majukumu wa Tanzania wenzangu kwa kulijenga taifa letu. Jamani huku kwetu mkoa wa Songwe sasa ndoo ya mafuta ya kupikia elfu themanini nayo ni Toka nchi jirani ya kwetu ni elfu themanini na tatu na hayapatikani .sukari ya Tanzania Hamna kabisa napo ukibahatika ni tsh 3,500kg. Cement...
  19. benny gilbert

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya PCM (A-Level)

    Habari wana elimu, kama title inavyojieleza hapo juu. Nauza softcopy ya vitabu vya maswali na majibu kwa combination ya PCM. Kuna vitabu vya topics kama 1. Organic Chemistry Questions & Answers 2. Inorganic Chemistry Questions and Answers 3. Mechanics Questions and Answers 4. Mathematics...
  20. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinachozingatiwa na Wizara ya Elimu kwenye kubadili mitaala ya vitabu?

    Kwa mfano vitabu vilivyobeba hizi hadithi vilikuwa na mapungufu gani mpaka mkaviondoa? Sadiki na Chitemo Bwana Sikuelewi Muwa uliozamisha meli Hawafu mwenye nguvu Muwa uliozamisha meli KAMA UNATAKA MALI UTAYAPATA SHAMBANI Na vitabu hivyo ni darasa la 3 na 4 lakini hadi leo TUNAVIKUMBUKA...
Back
Top Bottom