Hivi Baba Askofu Dkt. Bagonza na Askofu Niyemugizi wameshawahi kuandika vitabu? Natamani kuvisoma

jmushi1

Platinum Member
Nov 2, 2007
24,967
22,476
Wanajamvi, kama heading inavyojieleza, nimejaribu ku google sijaona. Nimeamua niulize humu ndani endapo kuna yeyote anayefahamu kama niliowataja hapo juu, wameshawahi kuandika vitabu au hata kitabu na vikawa published? Ningependa kufahamu. Na kama hawana, napenda kuchukuwa nafasi hii kuwaomba waandike vitabu kwasababu maisha yenyewe haya ni ya kupita, lakini knowledge will survive!

Nafahamu wengine labda wanaona kuwa makala zao mbali mbali zinatosha kutokana na falsafa za hali ya juu. Lakini kama wana uwezo na nafasi ya kuandika
 
Mkuu kwa njia hizi waweza mpata askofu niwemugizi nimuelewa unaweza mshauri huko
Address:

Bishop`s Office:

P.O. Box 135, Ngara, Kagera.

Tel/Fax: +255 – 28 – 2226155

Mobile: +255 – 784 – 390900

+255 – 754 - 831390

Email: niwemugizi97@yahoo.com /

rulengengara@yahoo.com
 
Navyojua huwa wanaandika vitabu vingi ila vinakuwa vya kiimani zaidina vinagusa taaluma waliyonayo, haya masuala ya kawaida mfano matukio ya nchi mara nyingi ni makala tu katika gazeti na sehemu nyinginezo anyway ngoja waje wenye data kamili
 
navyojua huwa wanaandika vitabu vingi ila vinakuwa vya kiimani zaidina vinagusa taaluma waliyonayo, haya masuala ya kawaida mfano matukio ya nchi mara nyingi ni makala tu katika gazeti na sehemu nyinginezo anyway ngoja waje wenye data kamili
Thank you for your intake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom