vitabu

  1. mgendege

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitu vinapanda bei sana siku hizi?

    Pole na majukumu wa Tanzania wenzangu kwa kulijenga taifa letu. Jamani huku kwetu mkoa wa Songwe sasa ndoo ya mafuta ya kupikia elfu themanini nayo ni Toka nchi jirani ya kwetu ni elfu themanini na tatu na hayapatikani .sukari ya Tanzania Hamna kabisa napo ukibahatika ni tsh 3,500kg. Cement...
  2. benny gilbert

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya PCM (A-Level)

    Habari wana elimu, kama title inavyojieleza hapo juu. Nauza softcopy ya vitabu vya maswali na majibu kwa combination ya PCM. Kuna vitabu vya topics kama 1. Organic Chemistry Questions & Answers 2. Inorganic Chemistry Questions and Answers 3. Mechanics Questions and Answers 4. Mathematics...
  3. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinachozingatiwa na Wizara ya Elimu kwenye kubadili mitaala ya vitabu?

    Kwa mfano vitabu vilivyobeba hizi hadithi vilikuwa na mapungufu gani mpaka mkaviondoa? Sadiki na Chitemo Bwana Sikuelewi Muwa uliozamisha meli Hawafu mwenye nguvu Muwa uliozamisha meli KAMA UNATAKA MALI UTAYAPATA SHAMBANI Na vitabu hivyo ni darasa la 3 na 4 lakini hadi leo TUNAVIKUMBUKA...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani isitumike kutengua maandiko ya vitabu vitakatifu

    Kuna hii kitu yetu inaitwa siku ya wanawake, kuna hii kitu inaitwa super woman na kuna hii kitu tumeanzisha inasema mwanamke ni kichwa cha familia. Wanawake kuna sehemu tumetumbukizwa shimoni na wapigania haki za wanawake na bila kujijua tumejaa viburi na sasa tunajitokeza hadharani kudai sisi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya software application development

    Habari za mda huu wadau, ningependa kujua ni wapi naweza kununua au kupata vitabu vya programming language kama javascript na java kwa Dar es Salaam, Nimejaribu kutafuta maduka mbalimbali ya vitabu bila mafanikio. Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Soma vitabu vya kiswahili kwenye hii app

    Humu kuna vitabu mbalimbali vya kiswahili. Tumebadili namna ya ulipaji. Sasa unaweza kusubscribe kwa Tsh 6000 na kusoma vitabu vyote mwaka mzima. Kila mwezi tunaongeza vitabu kadhaa. https://play.google.com/store/apps/details?id=app.b.maktaba
  7. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Vitabu 31 vya kusoma mwaka 2021 ili maisha yako yawe bora zaidi

    Inapokuja kwenye mafanikio, kila mtu ana maana yake. Lakini kwa ujumla, mafanikio ni pale mtu anapokuwa bora zaidi ya alivyokuwa huko nyuma. Kifedha kama ulikuwa na kipato kidogo na kikaongezeka, umefanikiwa. Kimahusiano kama ulikuwa na hali ya kutokuelewana na wale wa karibu na ukaitatua...
  8. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Unawakumbuka waandishi gani na vitabu vyao waliovuma Sana hapa Tanzania?

    Kama umesahau Basi nakukumbusha wachache. Alistabrus Elvis Musiba - Kufa na kupona, Njama, Kikomo Faraj Hassan Hussein Katarambula - Simu ya Kifo, Pili Pilipili. Hawa waandishi vitabu vyao vilitingisha Sana East Afrika. Musiba alikua na Mhusika katika vitabu vyake aliekua Jasusi Mbobevu...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2020?

    Habari wakuu? Ni mwisho wa mwaka. Tutafakari usomaji wetu wa mwaka huu. Vitabu vingi nimevijua kupitia michango ya members humu. Mi nimesoma vitabu vichache tu, sikuwa na usomaji mzuri. 1. Screw business as usual cha Richard Branson. Anaeleza jinsi biashara zinaweza kubadilika na kuweka...
  10. Manthom

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye link ya vitabu vizuri vya English medium

    Mwenye link ya vitabu vya English medium vizuri please naomba link
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ni vitabu vip vizuri kwa combination ya ECA (Economics, Commerce and Accounting)?

    Habari za Leo wakuu, Ni vitabu vipi vizuri wa combination ya ECA (Economics, Commerce and Accounting). Au kama una vitabu vya hii combination nijuze hapahapa.
  12. abeli tz

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu maarufu inayoprint vitabu kwa bei ndogo

    Kwa majina naitwa abeli kikimba, napatikana mkoa wa Iringa, mimi ni mwandishi na napenda kuandika sana na nimeandika vitabu saba ila bado ni soft copy, naomba mnijuze kama kuna sehemu iringa hapa,mbeya morogoro au dar wanapoprint vitabu kwa bei nafuu itakayompa urahisi msomaji kununua. Pia...
  13. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwalimu wa kunifundisha kuuza vitabu Amazon and the like

    Habari zenu. Nina vitabu kadhaa,nimeuza kwa online nchini,ninapenda Sasa niuze Amazon na sites zingine. Hivyo naomba mwenye uzoefu, anipe darasa full kwa malipo Simu: 0713039875
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tujitahidi kuwa na matumizi mazuri ya Ndimi zetu kama ambavyo hata Vitabu vya Mungu vimetuelekeza hivyo

    Mkoa wa Kipolisi Kinondoni wanamshikilia Mfanyakazi za Ndani , Happiness Sela (24) kwa tuhuma za kumchoma kisu Ezekiel Nyamuko (24) kwa kile kinachodaiwa kuwa alipatwa na hasira baada ya kuambiwa na mtu huyo kuwa ana roho mbaya kama sura yake ndio maana haolewi. Chanzo: HabariLeo Sasa...
  15. askofu rashid

    JamiiForums Tanzania Nataka nikae mbali na Social Media kuepuka siasa,nataka nianze utaratibu wa kusoma vitabu

    Asee nimekua rafiki sana wa mitandao ya kijamii tangu mwaka 2009 lakini naona hakuna kitu nimegain zaidi ya concentration yangu kuwa katika vitu visivyokuwa na maana. Kama niliweza kushinda jaribu la kupiga punyeto na kuangalia porn nadhani nitashinda. Nilichogundua mambo mengi tuyaonayo...
  16. Superpower

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusoma maandishi na vitabu vya lugha yoyote ile

    Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu, ni kwamba kutokana na maendeleo ya kiteknolojia swala la kujua lugha limekuwa sio tatizo tena kwa wewe kujipatia maarifa. Sasa mm Leo ningependa kushare na nyinyi habari hizi. Kwa kuwatumia video mbili ambazo ni part 1 inahusu kutafsiri hardcopy...
  17. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nini mkakati wa CHADEMA na ACT-Wazalendo kulinda ushindi katika vituo vya kupigia kura?

    CCM wako "so desperate" kuhakikisha kuwa mgombea Urais wao John Pombe Magufuli anatetea kiti chake. CCM wanatambua fika kuwa, kupitia sanduku la kura (Ballot Box), Magufuli hawezi kushinda iwe mvua ama jua. Wanataka ashinde kwa "njia zingine haramu" ambazo Mimi na wewe msomaji tunazijua na...
  18. Deadbody

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mwandishi bora wa vitabu kuwahi kutokea

    Anaitwa Dale Carnegie Na hivi ndio vitabu bora zaidi kuandikwa na huyu
  19. ADAM SMITH

    JamiiForums Tanzania Msaada wa soft copy ya vitabu, pamhets, kwa masomo ya uchumi na accounts A level na professional studies

    Wakuu naomba msaada kwa mwenye soft copy ya vitabu, pamhets kwa masomo ya uchumi na accounts A level na professional studies
  20. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Ni Vitabu vya aina gani vinavyosomwa na Watanzania na Kuandikwa na Watanzania?

    Habari za wakati huu; Kuna mtu ameniomba ushauri kwamba anataka kuwa mwandishi wa vitabu.Kwa kweli nilifurahi ila nilimuuliza analenga kuandika vitabu kwa ajili ya kina nani?Alisema Watanzania wa Rika Lolote lile? Basi baada ya mjadala mrefu na mipango mingi nikasema nirudi hapa niwaulizeni...
Back
Top Bottom