Ni mashine inatengeneza peasa au ni pesa inatengeneza mashine?

Mchimwachimego

JF-Expert Member
Jun 15, 2020
358
271
Tumuombe mungu atujalie uzima maana katika kipindi hiki tutaona mengi ya kuthibitisha kwamba mwafrika ni Tabaka la mwisho kabisa kifikla,katika kipindi hiki cha kampeni kuna mgombea amejizolea kundi dogo la wanaomsapoti kwa hapa Tanzania tunawaita "MAKANJANJA" kutokana na tabia walizokuwa wamezoeshwa kula vya kunyonga badala ya vyakuchinja

Waafrika walio wengi wanaamini nchi zilizoendelea kiviwanda,miundo mbinu NK: vitu hivyo vilijileta na ipo mifano ya waafrika waliozaliwa ulaya na wanaozamia ulaya wao Tabia zao ni kama waliopo Africa wanaishi bila kuangalia kesho yao,wengi ni wauza madawa ya kulevya,wanamuziki na wachache sana wenye kampuni na waliojiajili ila 90% ni waajiliwa.Tabia hii ya kutoufikilisha ubongo ilituponza,inatuponza na kama hatutobadilika itaendelea kutuponza.

Ni vigumu mwafrika akakubali kumsapoti mwenzake ata kama anajua wazi kuwa anafanya jambo la manufaa kwa wote atatafuta kila namna kumdhorotesha ili sifa apate yeye.Tundulisu amejidhihilisha tabia hiyo ya kiafrika yenye uelekeo wa kichawi kuanzia tu pale rais magufuli alipoingia madarakani licha ya kwamba mambo mengi anayoyatekeleza ni kwa faida yetu lakini chuki zake ziko wazi,kuanzia kumtishia rais kuhusu mikataba ya madini, kumchongea kwa nchi washirika, kukamatisha ndege zetu, kutetea waalifu dhidi ya nchi na anawaaminisha watanzania wajinga wajinga kuwa yeye ni mbora kuliko magufuli eti kisa tu ni wakili

kwani akiwa rais sheria za nchi zitafutwa au yeye ataendelea kuwatetea waalifu au ataitetea katiba ya nchi na sheria zake.watanzania tujifunze kupitia wagunduzi wa vitu walitumia akilizao kugundua vitu alafu wakaamishia kwenye vitabu na si kweli kwamba walikalili kwenye vitabu na kuamishia kwenye akili zao siku zote tunapaswa kuelewa kwamba uongozi ni " MATENDO" si maneno

Mwisho mchagueni JONH JOSEPH MAGUFULI kwa maendeleo yenye Uhuru wa kweli, asanteni.
 
Back
Top Bottom