vitabu

  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tanzania Institute Of Education (TIE) does the textbooks business in a "cocaine style". Is that the core job of the institute?

    Here you get Kiswahili version to start with followed by English version KISWAHILI VERSION TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TET) INAFANYA BIASHARA YA ELIMU NA VITABU KWA MTINDO WA DAWA YA KULEVYA. BIASHARA YA VITABU (TEXTBOOKS) NDIYO KAZI YAO KWA KISHERIA YA TAASISI HII? Kwanza kabisa TET...
  2. JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2022 na wengine tuvisome?

    Habarini. Mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini usomaji wetu na kuhabarishana juu ya vitabu tulivyosoma. Hii ni njia nzuri ya kujua vitabu vizuri vya kusoma. Binafsi nimesoma vitabu vifuatavyo, wewe umesoma vitabu gani? 1. The storm before the storm: Kitabu kizuri sana hiki, kinazungumzia...
  3. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Vitabu nilivyosoma Mwaka 2022

    Mwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za vitabu kutoka kwa marafiki zangu na ndugu zangu. Nitaanza mwaka 2023, Mungu akijaalia kuvuka salama...
  4. JamiiForums Tanzania Orodha ya vitabu nilivyosoma 2022

    Nanyaro EJ Kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa na utamaduni wa kushirikisha kwenye majukwaa mbalimbali orodha ya vitabu nilivosoma kwa mwaka husika Lengo kuu ni kuhamasisha usomaji wa vitabu kwa jamii ya Watanzania na Afrika kwa ujumla,ili kuondoa ile dhana potofu kuwa ukitaka kumshinda Mwafrika...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri atoa wito kwa jamii kuongeza juhudi katika kusoma vitabu ili kukuza maarifa

    Naibu Waziri wa Wizara ya Miundombinu na Uchukuzi, Atupele Mwakibete ameihamasisha jamii kuongeza juhudi katika kusoma vitabu ili kukuza maarifa yao. Sambasamba na hilo Mwakibete amesema usomaji wa vitabu unaisaidia jamii kupata mbinu mbalimbali za uongozi katika ngazi zote. Mwakibete...
  6. JamiiForums Tanzania Does the Torah Pentateuch or Monoteuch (Je Torati ni vitabu vitano au kitabu kimoja?)

    Pengine wengine wanaweza kujiuliza nini maana ya Pentateuch. Pentateuch au "Πεντάτευχος" limetokana na lugha ya kiyunani yaani kigiriki linalomaanisha "penta" (πεντά au πεντά) yaani tano na "teuch" (τευχος) mafundisho au vitabu ama kwa lugha iliyozoeleka ni vitabu vitano vyaTorah au torati.. na...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Mungu alikosa njia nyingine ya kufikisha ujumbe tofauti na Vitabu?

    Venezuela! Mungu anatumia vitabu/maandishi kufikisha ujumbe wake, iwe kupitia biblia au Quran. Tatizo la hii njia ni kuwa inategemea utafsiri/enterpretation ya binadamu. Tatizo la binadamu ni kuwa tunatofautiana uelewa na uwezo wa kutafsiri. Unaweza kuchukua wanazuoni wawili wote wenye elimu...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya mifugo ya ngurue

    Karibu ujipatie kitabu chenye toleo la kwanza na la pili kwa pamoja kinachotoa mwongozo wa ufugaji wa ngurue kuanzia ujenzi wa mabanda, vipimo vyake mbegu sahihi ya kuanza nayo na hata uzalishaji wake... Utajipatia kitabu hiki kwa elfu kumi na saba tuh 17k. Mawasiliano 0718982463
  9. JamiiForums Tanzania Kwa anayeifahamu kampuni nzuri ya kuchapa vitabu kwa ubora wa hali ya juu!

    Natafuta kampuni hapa Dar inayojishughulisha na uchapaji wa vitabu vyenye ubora kama utaweza kunisaidia pia mawasiliano yao itakuwa njema zaidi ! Asanten
  10. E

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya mifugo ya ngurue wenye tija

    Karibu ujipatie vitabu vya ufundishaji wa mifugo ya ngurue yenye tija kutoka kwa wafugaji na wakulima waliobobea. Pia utajipatia kitabu hiki kwa elfu 17. Kitabu kikiwa na muunganiko wa toleo la kwanza na la pili. Mawasiliano 0718982463
  11. T

    JamiiForums Tanzania Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

    Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo. Tuanze na Biblia. 1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu. Tukiamini hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Prof. James Mdoe: Serikali itafanya jitihada za uhamasishaji wa usomaji wa vitabu nchini

    Serikali imesema itafanya jitihada za uhamasishaji wa usomaji wa vitabu nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe wakati akifunga tamasha la 31 la vitabu lililomalizika leo katika viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam...
  13. JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Baba wa Taifa katika vitabu

  14. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo lolote kupenda vitabu 'vinavyohubiri' mafanikio?

    Kwa sasa kumekuwa na mlipuko mkubwa wa kusoma vitabu hivi vya mafanikio na miongozo binafsi(self-help books). Usomaji wowote ule ni mzuri kuliko kutosoma kabisa. Hivyo usomaji wa vitabu hivi ni jambo zuri. Lakini ni kama mlipuko hivi, kila kona kila site kila sehemu watu wanazungumzia vitabu...
  15. JamiiForums Tanzania Vitabu bora sana vinavyoweza kubadilisha maisha yako

    Wakuu habari...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Asili yetu waafrika ni nini? Mbona ni watu wa ajabu na hatuonyeshi ikiwa tunauwezo wa kuwakomboa watu wetu?

    Tuko tayari kupandishwa kwenye bas na wazungu tukienda kwao, Ila sisi hatuko tayari kupunguza na kuacha uagizaji wa magari ya kifahari yanayokula kodi nyingi za watu wetu Ukiacha wazungu na wenye asili ya Kiyahudi, tuliobaki ni binadamu tuliotokana na nini? Mbona siamini nikionacho baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Vitabu vya Joram Kiango

    Habari wana jamvi... Kama kichwa kinavyosema hapo juu... Nilikuwa naomba mwenye PDF ya Kitabu cha JORAM KIANGO LAZIMA UJE au kwa jina lingine lolote... Kuna movie moja nakumbuka niliiona ya JORAM KIANGO LAZIMA UFE... NAWEZA IPATA WAPI... NIMETAFUTA YOUTUBE WEE... HAIPATIKANI. HATA...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Usomaji vitabu ni tunu, usipuuzwe

    Maana ya Vitabu. Neno kitabu/vitabu huweza kumaanisha maandishi yaliyoandikwa kwa mkono au mashine au kupigwa chapa katika kitu chochote na yakafunganishwa au kuwekwa kwa taratibu Fulani. Kitabu kina uwezo wa kuwa katika ukubwa wowote kutoka kurasa kumi hadi maelefu.(Mbena : 1972,1).ikumbukwe...
  19. JamiiForums Tanzania Julius Nyerere, Julius Caesar, Sahib na vitabu vya Sheikh Ponda

    JULIUS NYERERE, JULIUS CAESAR, SAHIB NA VITABU VIJAVYO VYA SHEIKH PONDA Kuna rafiki yangu kaniambia kuwa wakati alipokuwa anafanyakazi katika shirika moja kubwa la kimataifa linaloshughulika na Afrika ndipo alipomjua Mwalimu Nyerere vizuri sana. Anasema hakuna kilichokuwa kinampita...
  20. JamiiForums Tanzania Nimeaza kuandika vitabu, Nahitaji msaada zaidi

    Salamu wapendwa Katika kitu ambacho nilikuwa natamani basi ni kuwa na kitabu changu (Ni passion yangu). Nime-plan kuandika vitabu kadhaa Kama reference kwa wanafunzi. Basi Kwenye hii likizo nilianza kuandika kitabu kimoja, ni ngumu lakini naona inawezekana. Nimepanga kuandika vitabu sita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…