vitabu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kuchapisha vitabu vikubwa kwa bei rahisi?

    Habari wadau nina kitabu kina page 4000 Huku posta sehemu ya bei rahisi kuprint 200 4000 x 200 = 800000 laki nane Heeeh si ni balaa hili naombeni msaada
  2. benny gilbert

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwandishi wa vitabu pitia hapa...

    Habari mwandishi wa vitabu! Nimepigiwa simu na waandishi wengi sana wakitaka kujua zaidi namna ya kuuza vitabu vyao online especially amazon, mara nyingi uwaga nawajibu kwa amazoni ni kazi sana kuuza vitabu labda uwe unaandika vitabu vya kingeleza mayb unaweza ukauza kinyume na hapo ni jau...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Ushirikina kwa mujibu wa vitabu vitakatifu?

    Ahlan wa sahla Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu Torati, Zaburi, injili na Quran , Mungu amekemea sana kuhusu hii dhambi ya ushirikina. Ama kwa hakika ndio amri ya kwanza aliyopewa Musa ktk zile amri kumi ili awaongoze wana wa izraeli. Kwenye kitabu kitakatifu cha Quran vivyo hivyo imekemewa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kununua vitabu vya Taasisi za Serikali?

    Habari wadau, Naomba kuuliza wapi naweza pata vitabu hard copy vya serikali sio PDF soft copu ivo vipo online naweza kuvipata all time mm nataka hard copy mfano TPA tarrifs nk. Shukrani.
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni pm ukihitaji softcopies za vitabu vya Alfu lela ulela, Hekaya za Abunuwasi na vingine vingi.

    Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies za vitabu hivi. Tunakutumia kwa whatsapp. Tucheki 0715278384 Pia kuna bonasi ya vitabu kama saba. Hardcopy kipo kitabu kimoja cha Tajiri wa Babeli(12,000). List ya vitabu vyote. ORODHA YA VITABU NA BEI 1.Tajiri wa Babeli(Tafsiri ya kitabu The richest...
  6. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Vitabu 14 viliondolewa kwenye biblia, Vatican imeficha nini, ilikusudia Dunia isijie nini?

    Niende kwenye hoja. Historian ya Vatican inafahamika wajuzi wanajua yakiyomo lkn ama wanajua au hawajui kwamba Vatican iliviondoa vitabu 14 kwenye biblia maafuru "the hidden books". Ingawa Bible secret inaonesha Kuna vitabu Zaid ya 70 havimo niwaletee majina ya vitabu 14 vilivyoondolewa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lissu anaandika Vitabu kwa ajili ya UN na EU basi uwezo wake Kiakili ni mkubwa sana. Nimewaona Waandishi wa Ulaya walivyo Akili Kubwa!

    Nimwkuwa nikifuatilia Press conferences za viongozi mbalimbali wa dunia baada ya Russia kuivamia Ukraine na kugundua Tanzania hatuna kabisa Waandishi wa habari wenye uwezo wa Kuelewa na Kuhoji. Nikajiuliza imekuwaje Tundu Lissu akapata kazi UN na EU? Au ni mchongo? Kama ni kweli yuko UN/EU na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Nakala za Vitabu Cha Historia alivyo andaa Magufuli na Ndalichako!

    Waungwana niwatakie jumapiki njema! Mimi ni mojawapo ya waliokuwa wanasubiri Kwa shaukukubwa Vitabu vioya vya Historian alivyoekeza Mh.MAgufuli viandikwe...! Najua vilikuwa kwenye hatua ya mwishi! Naomba mwenye nacho hata kimoja yuone hiyo Historia moya ilikuwaje!
  9. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kusoma sana vitabu

    Angalia sana haya mambo. Utajifunza mengi juu ya Ulimwengu na uulize ukweli wake. Ukijua hakuna ukweli. Utakuwa muongeaji sana kwenye karamu maandishi na hulali. Mpenzi wako ataondoka kitandani kwa sababu mazungumzo ya wapenzi yamekuwa jukwaa la mjadala wa kifalsafa. Yaani unakera. Utakuwa...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Msaada vitabu vya Mathias E. Mnyampala, tutalipana namna hii

    Mnyampala ni moja ya waandishi wa mwanzo mwanzo kabisa Tanzania. Nisaidie vitabu vyake vitatu. Kama unavyo viscan halafu nitumie. Kila kitabu 10,000. 1. Diwani ya Mnyampala 2. Kisa cha mrina asali na wenzake wawili. 3. Historia, mila na desturi za wagogo wa Tanganyika.
  11. GokuOne

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kupata Hizi African Storybooks/Novels?

    Habarini wanaJF Natumai nyote mko bombastic au sio. Naomba kuuliza kama kuna softcopy au hardcopy ya hivi vitabu viwili mtu anaweza akashea nami AGORO ANDURU - TEMPTETATION AND OTHER STORIES LAWI JOEL - YOUR ROOTS GRANDSON AND OTHER STORIES pia kama unavyo vingine vya waandishi hawa wawili...
  12. GokuOne

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kuvipata hivi vitabu aidha softcopy au hardcopy?

    Habarini wanaJF, Moja kwa moja kwenye hoja. Je, kuna uwezekano wa kuvipata hivi vitabu aidha softcopy au hardcopy kwa majina vinaitwa: "TEMPTETATION AND OTHER STORIES" mwandishi anaitwa AGORO ANDURU "YOUR ROOTS GRANDSON AND OTHER STORIES" mwandishi ni LAWI JOEL. Ni vizuri sana yaani sana...
  13. Jbst

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vitabu vya zamani vina maudhui ya kitoto sana?

    Nirudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimesoma baadhi ya vitabu vya Kiswahili vya kizamani kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Bunuasi, Safari ya Bulicheka na Mkewe, Alibaba na Wezi 40, Kusadikika na vingine vingi lakini kiukweli nimeshindwa kuvielewa naona kama maudhui yake si ya...
  14. Investaa

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kufeli kwa waandishi wa Tanzania

    Habari wa JF! Leo nitaongelea muendelezo wa biashara ya uandishi wa vitabu, makala nyingi nilielezea biashara ya ebook ambayo mwandishi hawezi kupata hasara kama wanayopata sasa kwa wale wanaouza whatsapp na facebook. Leo kwenye kupitapita youtube nimeona tangazo la nguli wa ushauri wa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Vitabu vya Kiimani (Dini) vimepinga Mwanamke kuwa Kiongozi / Mtawala?

    Na je, Mwenyezi Mungu aliona nini mpaka Kulisemea hili mpaka Kusisitiza kabisa kuwa Mwanaume ndiyo awe Kiongozi na kuainisha Majukumu ya Mwanamke na Ukomo wake? Kwenye Kitabu cha Quran (cha Waislamu) hiyo Aya nimeiona na imesisitizwa kweli kweli na naomba kama kuna anayejua Aya inayosema hivi...
  16. Investaa

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Vitabu pitia hapa

    Habari wana JF, Ni kitambo kidogo sijaonekana humu JF, leo nimeona nitoe ushauri kwa waandishi wa vitabu; nimepokea simu nyingi kutoka kwa waandishi wakitaka kujua namna ya kuuza vitabu vyao online(e-book) na namna ya kupata jukwaa nzuri la kuuza vitabu vyao bila kutapeliwa na wajuaji online...
  17. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mzoefu wa kuuza vitabu Amazon au site yoyote

    Habari. Nitalipia tuition. Piga au chat 0713-039875
  18. The king mswati

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Binadamu wa kwanza duniani alikuwa mweusi, lakini vitabu vya Dini vinachanganya. Je, ukweli ni upi hasa?

    Wanajamvi habarini na asubuhi. Naomba niandike uzi wangu wa mwisho kwa mwaka huu, lakini uzi wenyewe unanichanganya sana kwamba BINADAMU WA KWANZA KUWEPO DUNIANI ALIKUWA MWEUPE (MZUNGU) AU ALIKUWA MWEUSI TII (MWAFRICA). Juzi kati hapa niliandika uzi kumhusu mtu mweusi, lakini watu kadhaa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Godfrey Mwakikagile nani anamfahamu huyu jamaa anaonekana ameandika vitabu vingi sana na Mtanzania

    Mwakikagile's books are used in various academic disciplines up to the post-graduate level including doctoral studies. He has also been invited to give lectures at different colleges and universities. And as a public intellectual, he has also been sought for interviews by BBC, PBS and Voice of...
  20. Superfly

    JamiiForums Tanzania Kudownload Vitabu mtandaoni for free (Bila kulipia)

    Habari za mda huu? I hope ni wazima. Kuna kitabu nakisaka mtandaoni leo siku ya tatu hv, lakin kila site nnapokikuta ni lazima ununue.. sasa nlikua naomba wajuzi wanisaidie kama kuna njia yoyote ya Kudownload hv vitabu bila kulipia. Ahsanteni
Back
Top Bottom