Asili yetu waafrika ni nini? Mbona ni watu wa ajabu na hatuonyeshi ikiwa tunauwezo wa kuwakomboa watu wetu?

Paulsylvester

JF-Expert Member
Oct 15, 2021
1,467
3,381
Tuko tayari kupandishwa kwenye bas na wazungu tukienda kwao, Ila sisi hatuko tayari kupunguza na kuacha uagizaji wa magari ya kifahari yanayokula kodi nyingi za watu wetu

Ukiacha wazungu na wenye asili ya Kiyahudi, tuliobaki ni binadamu tuliotokana na nini?

Mbona siamini nikionacho baada ya kufumbua macho na kuona tofauti kubwa iliyopo kati yetu Waafrica na watu weupe hasa wazungu na wayahudi na wanye asili ya Kitahudi huku Africa

Mahali palipo wazungu na wayahudi, hata kusipokuwepo Rasilimali, pataendelea na maisha yatakuwa mazuri!

Mahali palipo waarabu, hata kama patakuwa na rasilimali nyingi, ila hawataacha kujilipua na kuuwa wengine,

Mahali palipo mwafrica, hata kama patakuwa na rasilimali za kutosha, umasikini hautakwisha, watauza rasilimali zote Kwa wazungu na kuanza kuombaomba Kwa haohao wazungu kama watoto wa Kariakoo

Embu, tuchimbueni historia ili tujue sisi ni watu wa asili gani ili tukijua tukamwombe samahani huyu mzazi wetu wa kwanza!

Waafrica, hawaingii madarakani ili kwenda kujibu haja na umasikini wa watu, ispokuwa wanataka wawe viongozi ili wao waondokane na umasikini! Kinyume kabisa na wenzetu wenye ngozi nyeupe!

Tunamatatizo gani sisi?

Tukienda Kwa wazungu, tuko tayari watufanyie watakavyo na tutatii bila shida, lakini ole wake tukirudi kwenye nchi zetu, hatuko tayari kusikiliza na kuzifanyia kazi kero za watu tunaowaongoza
 
Unaelewa hata ulicho andika ?
 
Duh!..swali gumu Sana hili..

Huenda bado tupo kwenye 'ujima' wa kale, miaka ijayo labda tutakuwa binadamu wa kisasa.
 
Kiukweli mkuu ukifikiria ngozi nyeusi unaweza pata presha, just imagine tangu uhuru tunasomesha mainjinia for more than 45 years lakini hatuna kampuni inayoaminika na serikali na kuanza kupewa miradi mikubwa kuitekeleza Kama mainjinia.

Yani hata wataalaam wetu wenyewe hatuwapendi Wala kuwahitaji kuwatumia, uzalendo ni tatizo kuu na sugu Sana kwa nchi zetu, umetoa mfano mzuri wa magari ya pesa nyingi lakini Shule hazina vitabu Wala vyoo.

Tunakopa mabilioni ya fedha kwaajili ya kutengeneza madawati na miti ipo mingi Sana Iringa na njombe, Africa my Africa ni nani aliyekuroga...ukiingia upande wa taaluma malecture ni miungu watu hivyo Elimu kufanywa kuwa ngumu Sana then tutegemee kutoboa kweli?

Mfumo wa upatikanaji wa viongozi upo kimichongo yaani mfano...mkulima au Mwalimu then nikafanya biashara nikapata pesa nikawahonga wajumbe nikapata ubunge Kisha nateuliwa kuwa Waziri wa nishati do you think kwamba nitaleta mageuzi ya nishati nchini?

Yani inshort tunakila wanataaluma Africa lakini hakuna matumizi yao katika kupiga hatua, imagine Dr anafundisha chuo mwaka wa 1O ila anatumia kitabu Cha India kufundisha . Kiukweli tumewahi Sana kupata Uhuru. Wizi wa rasilimali za umma unafanywa na viongozi wazi wazi na hakuna hatua yoyote, refer Richmond yani inajulikana kabisa wapi zilienda lakini people wapo kitaa wanavimba yani Africa siku tukiingia mbinguni tutapita njia yetu ili kula fimbo kwanza maana Kila kitu tunacho lakini umaskini ni mkubwa mnooo.

Daaa ngoja niishie hapa maaana
 
Vya ajabu kivipi?
1. Maisha gani mazuri pale mashariki ya kati wanayo ishi wayahudi pale na wapalestina ?

2. Unafahamau uwezo wa kiakili na kimaendeleo walio nayo jamii za mashariki mwa asia ya mbali ?

3. Maisha gani mazuri ya utulivu wanaishi Ukraine na Russia kwa sasa ?

4. Unafahamu maendeleo ya hizi jamii za kiarabu za Kuwait, Qatar, Saudia Arabia , Oman n.k
 
sijui ni haya machanjo wanayo dunga watoto wa kiafrika na nchi zinazoendelea ndio pengine yanapelekea kuwa na uelewa duni katika kupambanua na kufanya mambo kiustadi mtu huyu huyu ambaye analalamika kuhusu serikali na viongozi walioko madarakani akipewa mpini yeye anafanya yale yale Tena pengine akapitiliza. Mwenyezi Mungu tunaomba utujalie sisi kama wa Africa tuondokane na giza katika fikra zetu na tuwe na nuru katika bongo zetu
 
Kama akina Ali hapi na enzake akina Sabaya
 
Mfumo wa upatikanaji wa viongozi upo kimichongo yaani mfano...mkulima au Mwalimu then nikafanya biashara nikapata pesa nikawahonga wajumbe
emoji23.png
nikapata ubunge Kisha nateuliwa kuwa Waziri wa nishati do you think kwamba nitaleta mageuzi ya nishati nchini?
Naona umefufuka sasa akili zimekurudi. Haya yote sisi tumekuwa pioneers kuyakataa lakini wewe umekuwa mpinzani siku zote.

Baada ya kukosa asali unalialia.
 
Tuko tayari kupandishwa kwenye bas na wazungu tukienda kwao, Ila sisi hatuko tayari kupunguza na kuacha uagizaji wa magari ya kifahari yanayokula kodi nyingi za watu wetu

Ukiacha wazungu na wenye asili ya Kiyahudi, tuliobaki ni binadamu tuliotokana na nini?

Mbona siamini nikionacho baada ya kufumbua macho na kuona tofauti kubwa iliyopo kati yetu Waafrica na watu weupe hasa wazungu na wayahudi na wanye asili ya Kitahudi huku Africa

Mahali palipo wazungu na wayahudi, hata kusipokuwepo Rasilimali, pataendelea na maisha yatakuwa mazuri!

Mahali palipo waarabu, hata kama patakuwa na rasilimali nyingi, ila hawataacha kujilipua na kuuwa wengine,

Mahali palipo mwafrica, hata kama patakuwa na rasilimali za kutosha, umasikini hautakwisha, watauza rasilimali zote Kwa wazungu na kuanza kuombaomba Kwa haohao wazungu kama watoto wa Kariakoo

Embu, tuchimbueni historia ili tujue sisi ni watu wa asili gani ili tukijua tukamwombe samahani huyu mzazi wetu wa kwanza!

Waafrica, hawaingii madarakani ili kwenda kujibu haja na umasikini wa watu, ispokuwa wanataka wawe viongozi ili wao waondokane na umasikini! Kinyume kabisa na wenzetu wenye ngozi nyeupe!

Tunamatatizo gani sisi?

Tukienda Kwa wazungu, tuko tayari watufanyie watakavyo na tutatii bila shida, lakini ole wake tukirudi kwenye nchi zetu, hatuko tayari kusikiliza na kuzifanyia kazi kero za watu tunaowaongoza
Umeongea kwa uchungu sana
 
Umelirudia sana neno "wayahudi" kwa kujua au bila kujua?

Ninaomba ufafanuzi wako, Wayahudi ni madhehebu, kabila ama Taifa?

Hoja zako zingine zimenyooka 'hivi', ziko poa.
 
Back
Top Bottom