vitabu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Vitabu vya Kiimani (Dini) vimepinga Mwanamke kuwa Kiongozi / Mtawala?

    Na je, Mwenyezi Mungu aliona nini mpaka Kulisemea hili mpaka Kusisitiza kabisa kuwa Mwanaume ndiyo awe Kiongozi na kuainisha Majukumu ya Mwanamke na Ukomo wake? Kwenye Kitabu cha Quran (cha Waislamu) hiyo Aya nimeiona na imesisitizwa kweli kweli na naomba kama kuna anayejua Aya inayosema hivi...
  2. Investaa

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Vitabu pitia hapa

    Habari wana JF, Ni kitambo kidogo sijaonekana humu JF, leo nimeona nitoe ushauri kwa waandishi wa vitabu; nimepokea simu nyingi kutoka kwa waandishi wakitaka kujua namna ya kuuza vitabu vyao online(e-book) na namna ya kupata jukwaa nzuri la kuuza vitabu vyao bila kutapeliwa na wajuaji online...
  3. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mzoefu wa kuuza vitabu Amazon au site yoyote

    Habari. Nitalipia tuition. Piga au chat 0713-039875
  4. The king mswati

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Binadamu wa kwanza duniani alikuwa mweusi, lakini vitabu vya Dini vinachanganya. Je, ukweli ni upi hasa?

    Wanajamvi habarini na asubuhi. Naomba niandike uzi wangu wa mwisho kwa mwaka huu, lakini uzi wenyewe unanichanganya sana kwamba BINADAMU WA KWANZA KUWEPO DUNIANI ALIKUWA MWEUPE (MZUNGU) AU ALIKUWA MWEUSI TII (MWAFRICA). Juzi kati hapa niliandika uzi kumhusu mtu mweusi, lakini watu kadhaa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Godfrey Mwakikagile nani anamfahamu huyu jamaa anaonekana ameandika vitabu vingi sana na Mtanzania

    Mwakikagile's books are used in various academic disciplines up to the post-graduate level including doctoral studies. He has also been invited to give lectures at different colleges and universities. And as a public intellectual, he has also been sought for interviews by BBC, PBS and Voice of...
  6. Superfly

    JamiiForums Tanzania Kudownload Vitabu mtandaoni for free (Bila kulipia)

    Habari za mda huu? I hope ni wazima. Kuna kitabu nakisaka mtandaoni leo siku ya tatu hv, lakin kila site nnapokikuta ni lazima ununue.. sasa nlikua naomba wajuzi wanisaidie kama kuna njia yoyote ya Kudownload hv vitabu bila kulipia. Ahsanteni
  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2021?

    Ni mwisho wa mwaka. Kama kawaida tushirikishane vitabu tulivyosoma mwaka huu. Inasaidia kujua vitabu vizuri na kushirikishana maarifa. Mi nimesoma vitabu vifuatavyo, baadhi vilipendekezwa na members humu JF. 1. Bad Samaritans. Kitabu hiki kinaelezea jinsi ambavyo mataifa tajiri yanavyoshauri...
  8. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya sheria vilivyoandikwa na Watz

    kakangu anaye mtoto anasoma sheria katika chuo fulani hapa bongo, ameniomba list ya vitabu vilivyoandikwa Kitanzania vya sheria vinavyoweza kumsaidia dogo chuo amnunulie. Naamini Maprofesa wetu watakuwa wameandika andika, navikumbuka vya ?fimbo na Dr Tenga, nimemrushia ile ya land. kwa...
  9. OLS

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuhitaji vijana wajiajiri, vitabu vya masomo ya biashara na uchumi ni vichache kwa shule za Advance level

    Kwa takwimu zilizopo katika tovuti ya TAMISEMI, vitabu vya masomo ya biashara kwa wanafunzi wa Advanced Level ambayo ni Accountancy, Commerce na Economics ni vichache ukilinganisha na vitabu vya masomo mengine Kwa mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 vya Commerce na 4,057 vya...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Soma vitabu ongeza maarifa

    Nauza vitabu ya course ya udaktari Kwa wale wanafunzi wa medical doctor Vitabu hivi vitawapa sana madini Niko dar es salaam Contact 0657710078 Bei maelewano
  11. K

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya kuaile Hanyu vinapatikana wapi?

    Natafuta vitabu vya KUAILE HANYU vinavyotumika sekondari kufundishia lugha ya Kichina.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu

    Wanajamvi habari kuna vitabu hapa vya wanafunzi wa masomo ya science naviuza kama ifuatavyo 1. Understanding biology for Advanced level 20000 Tsh 2. Pure mathematics 1st edition@ 10000 Tsh 3. A. level Chemistry Ramsden fourth edition 20000 Tsh 4. Advanced chemistry Cambridge low price @...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Viongozi wa dini wazuie Quran na Biblia kutumika mahakamani kwa mashahidi kula viapo

    Wakuu, nimekuwa nikifuatilia mashahidi wengi mahakamani Wanakula kihapo kwa hivi vitabu, na kudai watasema ukweli mtupu. Na kumalizia Mungu awasaidie. Lakin mwishowe kwenye ushahidi wanasema uongo live live. Kitendo hicho mm naona nikuvinajisi vitabu vitakatifu. Kwa mfano tu mzuri, hivi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Asanteni Simba kufata ushauri wangu, chizi vitabu mwenye akili nyingi

    Huku ndani namwaga madini mengi sana nilitoa habari ya menina kudai mamiilioni ikapostiwa instagram copy and paste yangu yangu kuna ya biashara kudaiwa kuuza mechi hadi kitenge kapost ingawa kapost pia ila source ni nuhu adams wa ghana natishiwa inbox eti nitafungwa harakisheni fastaa...
  15. vanilla

    JamiiForums Tanzania Uandishi wa vitabu

    Habari zenu wapendwa; kwa wapenzi wa kusoma vitabu je ni kitabu gani unatamani kukisoma lakini hakijawahi kuandikwa? Au ni topic gani ungependa kuisoma kwenye kitabu? Je ni kujifunza kazi za mikono? Mapishi? Hadithi? Ni nini unatamani kusoma?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vitabu vya ujasiriamali au uchumi

    Kama kichwa kinavyojieleza napenda sana kisoma vitabu vya ujasiliamali au uchumi mwenye navyo anisaidie
  17. colin_morgan

    JamiiForums Tanzania Mwenye vitabu vya C- Programming basic

    Natumai mko poa sana wakuu Kama kichwa cha habari hapo juu Ninaomba yeyote mwenye softcopy za C- Programming books aniseidie nizipate, nitashkuru sana Ahsanteni in advance.
  18. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wengi wanapowekwa rumande/gerezani au kuitwa kwenye kamati ya masdili hupenda kubeba vitabu?

    Hivi huko gerezani au mahabusu kuna V.I.P? Ili mtu aweze kusoma kitabu ni lazima akae sehemu ambayo ni comfortable, Kwanini viongozi wetu wanapopata majanga hupenda kubeba vitabu mfano wanapoelekea mahakamani au kwenye kamati ya maadili , Mwenye majibu atusaidie
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Soma vitabu hivi ujue historia ya tanu na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    SOMA VITABU HIVI UJUE HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Unajua kwa nini kadi ya TANU No. 3 ni ya Abdul Sykes, No. 2 ni ya Ally Sykes na No. 1 ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Unaijua azma ya Hamza Mwapachu (1913 - 1962) katika kuwakusanya vijana wasomi ndani ya TAA...
  20. ALPHA2012

    JamiiForums Tanzania Soko la Vitabu vya General Studies

    Wadau, nimeandika Kitabu cha somo la General Studies kinachoitwa " EXCEL in General Studies". Ni Kitabu cha maswali na majibu. Kuna jumla ya maswali 108 pamoja na majibu yake. Somo hili hufundishwa wanafunzi wa Kidato cha 5 na 6 hapa nchini. Nimeshauza kwa baadhi ya wanafunzi waliopo Dar es...
Back
Top Bottom