Orodha ya vitabu nilivyosoma 2022

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Nanyaro EJ

Kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa na utamaduni wa kushirikisha kwenye majukwaa mbalimbali orodha ya vitabu nilivosoma kwa mwaka husika

Lengo kuu ni kuhamasisha usomaji wa vitabu kwa jamii ya Watanzania na Afrika kwa ujumla,ili kuondoa ile dhana potofu kuwa ukitaka kumshinda Mwafrika basi weka jambo kwenye maandishi.

Namshukuru Mwenyenzi Mungu kwa wingi wa neema na rehema zake,mwaka huu 2022 nimesoma jumla ya vitabu 60, mwaka huu nilijikita zaidi kwenye usomaji kuliko uchambuzi

How Biblia Takatifu naisoma karibia kila siku!


1. Spiritual Solutions by Deepak Chopra
2. ENCYCLOPEDIA OF Espionage, Intelligence, and Security by LEE LERNER AND BRENDA WILMOTH LERNER,
3. THE LIFE AND TRAGIC DEATH OF BRUCE LEE by
Linda Lee
4. Perfect Health by Cheepak Chopra
5. Perfect Weight by Cheepak Chopra
6. Perfect Digestion
7. The Way of the Wizard
8. Overcoming Addictions
9. The Seven Spiritual Laws for Parents
10. How to Know God
11. The Soul of Leadership
12. How companies win by Rick Kash
13. The six days war by Guy Laron
14. Does the State Spying make us safer? by Michael Hyden & Alan Dershowitz
15. Pilgrims way-By Abdulrazak Gurnah
16. Paradiso by Abdulrazak Gurnah
17. Gravel Heart by Abdulrazak Gurnah
18. The Slave trade and culture in the Bight of Biafra
19. Dear Mama President by Jeniffer Palmieri
20. The theory of everthing by Stephen Hawking
21. Business Adventures by John Brooks
22. Rise & Kill first by Ronen Bergman
23. Healing a soul of a woman by Joyce Meyer
24. Last Gift by Abdulrazak Gurnah
25. Silence Would be a treason
26. Mind Control
27. Promise me Dad by Joe Biden
28. Idea of history by R G Coolingwood
29. Revolution in Zanzibar by Don Petterson
30. Dottie by Abdulrazak Gurnah
31. Vaccine nation poisoning the population by Adreas Mortiz
32. Imperial Reckoning by Caroline Elking
33. How to stop Spies,hacker,terrorists among us by Ira Winkler
34. Bull shits jobs by David Graeber
35. I did not do it for you by Michela Wrong
36. Mastering Bitcoin by Andreas Antonopolous
37. Pedagogy of the opressed by Paulo Freire
38. Do More great works by Michael Stainer
39. Money and finance after the crisis by Wiley Blackwell
40. The radical theorist by Huey Newton
41. The Emperors of Rome by David Potter
42. Social media made me rich by Mathew Loop
43. Just a Matter of time by James Chase
44. The new confession of economic hitman(a must read book)
45. Highly paid expert by Debbie Alen
46. The secret war in Iran by Ronen Bergman
47. This is the one
48. Admiring Silence by Abdurazak Gurnah
49. The decisive battles of the world
50. Roots of language
51. Accused
52. The Abduction
53. I will teach you to be rich by Ramit Sethi
54. It is dangerous to be right when the government is wrong by Andrew Napolitano
55. The great Escape
56. Zonal Marking by Michael Cox
58. The Idolatry of God by Rollins Petter
59. The Secret by Rhonda Byne
60. Who moved my cheese? by Johnson Spencer

Kama umependa kitabu mojawapo ninaweza kukupa soft copy so wasiliana na mimi kwa njia ya whatsap tu 0754834152


A reader lives a thousand lives before he dies . .by George Martin

By Nanyaro EJ
 
Hongera mkuu umeongeza uelewa maana ni chakula cha ubongo,Mimi mwaka huu nimefanya mazoezi Kwa wiki siku 4 ,kucheza mpira , jogging, volleyball Kwa hiyo utapiga hesabu Kwa mwaka
 
Umesoma kuwa tajiri
Uwe tajiri sasa sio longolongo
Hiyo ni mojawapo ya title books zako ulizosoma
 
Vimekusaidia nn? Unasoma mawazo ya watu ambayo hayakupi hela wa ujuzi wa kupata hela. Tafuta hela ndugu usiumize macho yako bure!
Umesoma kuwa tajiri
Uwe tajiri sasa sio longolongo
Hiyo ni mojawapo ya title books zako ulizosoma
 
Kama husomi vitabu utaendelea kuwa mtu wa mawazo madogo na finyu daima.
Vimekusaidia nn? Unasoma mawazo ya watu ambayo hayakupi hela wa unuzi wa kupata hela. Tafuta hela ndugu usiumize macho yako bure!
 
Nanyaro EJ

Kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa na utamaduni wa kushirikisha kwenye majukwaa mbalimbali orodha ya vitabu nilivosoma kwa mwaka husika
Lengo kuu ni kuhamasisha usomaji wa vitabu kwa jamii ya Watanzania na Afrika kwa ujumla,ili kuondoa ile dhana potofu kuwa ukitaka kumshinda Mwafrika basi weka jambo kwenye maandishi.
Namshukuru Mwenyenzi Mungu kwa wingi wa neema na rehema zake,mwaka huu 2022 nimesoma jumla ya vitabu 60,mwaka huu nilijikita zaidi kwenye usomaji kuliko uchambuzi

How Biblia Takatifu naisoma karibia kila siku!


1.Spiritual Solutions by Deepak Chopra
2.ENCYCLOPEDIA OF Espionage, Intelligence, and Security by LEE LERNER AND BRENDA WILMOTH LERNER,
3.THE LIFE AND TRAGIC DEATH OF BRUCE LEE by
Linda Lee
4.Perfect Health by Cheepak Chopra
5.Perfect Weight by Cheepak Chopra
6.Perfect Digestion
7.The Way of the Wizard
8.Overcoming Addictions
9.The Seven Spiritual Laws for Parents
10.How to Know God
11.The Soul of Leadership
12.How companies win by Rick Kash
13.The six days war by Guy Laron
14.Does the State Spying make us safer? by Michael Hyden & Alan Dershowitz
15.Pilgrims way-By Abdulrazak Gurnah
16.Paradiso by Abdulrazak Gurnah
17.Gravel Heart by Abdulrazak Gurnah
18.The Slave trade and culture in the Bight of Biafra
19.Dear Mama President by Jeniffer Palmieri
20.The theory of everthing by Stephen Hawking
21.Business Adventures by John Brooks
22.Rise & Kill first by Ronen Bergman
23.Healing a soul of a woman by Joyce Meyer
24.Last Gift by Abdulrazak Gurnah
25.Silence Would be a treason
26.Mind Control
27.Promise me Dad by Joe Biden
28.Idea of history by R G Coolingwood
29.Revolution in Zanzibar by Don Petterson
30.Dottie by Abdulrazak Gurnah
31.Vaccine nation poisoning the population by Adreas Mortiz
32.Imperial Reckoning by Caroline Elking
33.How to stop Spies,hacker,terrorists among us by Ira Winkler
34.Bull shits jobs by David Graeber
35.I did not do it for you by Michela Wrong
36.Mastering Bitcoin by Andreas Antonopolous
37.Pedagogy of the opressed by Paulo Freire
38.Do More great works by Michael Stainer
39.Money and finance after the crisis by Wiley Blackwell
40.The radical theorist by Huey Newton
41.The Emperors of Rome by David Potter
42.Social media made me rich by Mathew Loop
43.Just a Matter of time by James Chase
44.The new confession of economic hitman(a must read book)
45.Highy paid expert by Debbie Alen
46.The secret war in Iran by Ronen Bergman
47.This is the one
48.Admiring Silence by Abdurazak Gurnah
49.The decisive battles of the world
50.Roots of language
51.Accused
52.The Abduction
53.I will teach you to be rich by Ramit Sethi
54.It is dangerous to be right when the government is wrong by Andrew Napolitano
55.The great Escape
56.Zonal Marking by Michael Cox
58.The Idolatry of God by Rollins Petter
59.The Secret by Rhonda Byne
60.Who moved my cheese? by Johnson Spencer

Kama umependa kitabu mojawapo ninaweza kukupa soft copy so wasiliana na mimi kwa njia ya whatsap tu 0754834152


A reader lives a thousand lives before he dies . .by George Martin

By Nanyaro EJ
Mkuu unalipwa Kwa kusoma vitabu ? Si Kwa utitiri huo wa vitabu , au kazi yako ni leisure Sana kiasi cha kupata mda ili kuconcetrate na mawazo ya watu yaliyopo kwenye vitabu
 
Mkuu unalipwa Kwa kusoma vitabu ? Si Kwa utitiri huo wa vitabu , au kazi yako ni leisure Sana kiasi cha kupata mda ili kuconcetrate na mawazo ya watu yaliyopo kwenye vitabu
Nimecheka sana kwa sauti kama vile ni mazuri.Maarifa yapo kwenye vitabu bosi,kazi yangu sio ya leisure wala silipwi ila vitabu vimenipa maarifa mengi ambayo yananipa pesa.Yes kuna tofauti ya matumizi ya muda ndio maana wengine ni matajiri na wana saa 24 kwa siku! kama wewe
 
Mkuu unalipwa Kwa kusoma vitabu ? Si Kwa utitiri huo wa vitabu , au kazi yako ni leisure Sana kiasi cha kupata mda ili kuconcetrate na mawazo ya watu yaliyopo kwenye vitabu
Kuna mtu mmoja alikuja na kuniuliza, Kaka unapata wapi muda wa kusoma vitabu vyote hivyo? Mimi nikamuangalia usoni na kumjibu, "SIPATI MUDA ILA NACHUKUA"
 
Back
Top Bottom