vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Gharama ya vita ya Israel ni US dollar 260 milioni kila siku

    Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku (sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo. Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali. Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel iko hoi kiuchumi baada ya kujiingiza Gaza. Ikiwa ni mwezi wa pili tu. Hamas wamelipandisha deni lake mpaka 8 bn Dollar

    Vita kati ya taifa kubwa la Israel na wanamgambo wa Hamas vikiingia mwezi wa pili tayari serikali ya taifa hilo imeshaingia hasara kwa kuongezeka deni lake kwa dola bilioni 8.sawa na shekel bilioni 30. Waziri wa fedha wa taifa hilo amesema deni hilo limetokana na serikali kugharamia shughuli...
  3. mangiTz

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni adui wa kupiga vita

    Habari za muda huu wana jF Katika tukio la kusikitisha na la majonzi ,huko mkoani Tanga , mwanamke mmoja amefariki wakati wa kujifungua kwa kukosa huduma ya matibabu ambayo alitakiwa kulipa TSH 150,000 kwa ajili ya operation kwa mujibu wa taarifa ya chanzo cha habari kilivyoeleza. Inaelezwa...
  4. bjhjhj

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukisoma tu, umetangaza vita na Serikali

    Tanzania ya sasa ukisoma tu,hasa ukifika level ya degree na kuendelea utakiona cha mtema kuni.ni bora uishie darasa la pili kama doto magari infolensa.
  5. badison

    JamiiForums Tanzania Kumbe vita vyote Palestina tatizo ni kugunduliwa kwa gas hapo Gaza

    Imefahamika Kwamba Gaza kumefanyika ugunduzi wa gesi. Kwasababu gas imegunduliwa kuwa na thamani ya USD Billion 500 lazima wazungu waingilie kati na kuwadhulumu wapalestina gesi yao. Popote kwenye mali hapakosi wazungu kuleta demokrasia. Popote kwenye mali asilia lazima wazungu waingilie kwa...
  6. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Israel na Hamasi juu ya ardhi ya Palestina inanikumbusha marehemu Hamza

    Ikiwa sasa imepita takribani masiku zaidi ya thelathini ya kushindana kumwaga damu za wasio na hatia kwa pande zote, basi nimekua nikifatilia na kutafakari jinsi haki inavyotafutwa hasa kwa hii style ya jeshi la HAMASI kupambana na ISRAEL. Mawazo yamenifanya nimkumbuke kamanda jasiri marehemu...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu na viongozi wa kiislamu wakutana Saudi Arabia na kutoka na tamko moja la kuitaka Israel isitishe vita

    Pamoja na upungufu wa matamko hata hivyo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamesifu namna mkutano huo wa leo ulivyoonesha umoja dhidi ya Israel Katikati ya mkutano huo katibu mkuu wa umoja wa nchi za kiislamu amelaumiwa na wachambuzi hao kwa kutumia sana maneno yenye kuonesha kuna maatumaini kwa...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

    Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea. Baada ya hapo hospitali hizo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Serikali kuruhusu usafiri saa 24, wapo wafanyabiashara na watendaji wa serikali wanapanga kukwamisha utaratibu huu; tuwapige vita

    Serikali imefanya jambo jema sana kuruhusu safari masaa 24, matumizi ya gari ndogo na Costa kupakia abiria usiku, matumizi ya magari ya magazeti na IT kutumika kubeba abiria yamepungua na sasa watu wanasafiri salama na mabasi yaliyoruhusiwa Kutokana na ubora wa mabasi yanayotumika sasa huko...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Burkina Faso wadaiwa kulazimisha wakosoaji kujiunga kwenye vita dhidi ya Wanamgambo

    Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso inatumia vibaya sheria ya dharura kuandikisha wanaodhaniwa kuwa wapinzani na wakosoaji wake kuijiunga kwenye vita hatari dhidi ya wanamgambo. Watu hao wanasemekana kulazimishwa kupambana na watu wanaohusishwa na makundi ya kigaidi ya Al Qaida na Islamic State...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hezbollah yaonya vita vya kikanda ikiwa mashambulizi Gaza yataendelea

    Maelezo ya picha, Naibu Mkuu wa Hezbollah, Sheikh Naim Qassem, ameiambia BBC hatari ya mzozo wa kikanda ni ya kweli wakati huu vita vya Israel-Hamas vikiendelea Saa 2 zilizopita Kamanda wa pili wa Hezbollah - wanamgambo wenye nguvu wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon - amesema mauaji ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uongo juu ya historia ya vita vya Majimaji?

    Kuna haja ya kurudi pale kwenye kaburi la Shujaa Nduna Songea Mbano na kumuomba wapi alipo ficha siri ya vijana wake kukaa miaka miwili wakiwa wanapigana kwa kutumia silaha za jadi wakipambana na wajeruman waliokua wanatumia silaha za moto. Au kuna uongo wa mtu mmoja akaona amzalilishe mzee...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lavrov: Magharibi inaitumbukiza Asia Magharibi kwenye vita vikubwa

    Nov 07, 2023 08:12 UTC Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kwamba serikali za nchi za Magharibi zimeliweka eneo zima la Magharibi mwa Asia kwenye ukingo wa vita vikubwa kwa hatua zao katika nchi kama Iraq, Syria na Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Kwa mujibu wa shirika la habari la...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hamas kuwaachia mateka iwapo Israel watasitisha vita

    Kiongozi wa Hamas, Mousa Abu Marzouk amesema amesema kuwa ilikuwa ni vigumu kuachiliwa mateka wanaowashikiria wakati Israel ikiishambulia Gaza kwa mabomu. Kiongozi huyo wa Hamas ameyasema hayo wakati wa mahojiano maalumu na Shirika la Habari la Uingereza (BBC), huku akiahidi kwamba kundi lake...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya misaada 18 yaiangukia Israel. Waiambia basi inatosha. Wenyewe wamekataa kusimamisha vita

    Jumla ya mashirika ya misaada 18 yakiwemo ya UN leo yametoa tamko la pamoja kuibembeleza Israel isimamishe vita kutokana na kihoro cha maangamizi walichokiona. Mashirika hayo yameweka pembeni kila aina ya hisia na imani walizonazo na kubakiwa na ubinadamu tu na kuona inatosha adhabu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania HAMAS: Tuna uhakika taifa la Palestna litashinda vita na wavamizi Wazayuni

    Nov 05, 2023 06:46 UTC Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, harakati hiyo ina uhakika wa kuushinda utawala wa Kizayuni katika vita vinavyoendelea Ghaza hivi sasa. Televisheni ya Al Jazeera imemnukuu, Osama Hamdan, mmoja wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Obama aikosoa vikali Israel; aiambiia: Wewe ndiye sababu ya vita vya Ghaza na maafa ya Wapalestina

    Nov 05, 2023 06:50 UTC Katika matamshi yake mapya kuhusu vita vya Ghaza, Barack Obama, rais wa zamani wa Marekani ameulaumu vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa ndio unaobeba lawama za kutokea mashambulizi ya HAMAS na maafa yanayowatesa Wapalestina hasa wa Ghaza hivi sasa. Kwa...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kauli za Zelensky na Zaluzhny kuonesha wameshindwa vita

    Kauli za raisi wa Ukraine na kamanda wake wa majeshi hazitii shaka kuwa vita vya Ukraine karibu vitaisha kwa kushindwa Ukraine. Hayo yamepaikana katika machapisho ya CNN tarehe 3 Novemba baada ya kuhojiana na viongozi hao wakuu katika kuongoza vita vyao na Urusi. Kwa mtazamo wa muandishi wa...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Hezbollah ilisubiriwa kuingia kwenye vita, kiongozi wao kabwatuka mikwara kisha kaenda kulala zake

    Itakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi zikaanzishwa humu, mzee wa watu alipopewa mic atangaze vita, akabwatuka mikwara kisha muda wa kulala ulipofika...
  20. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Sayari ziliwahi kuwa Tisa; zimebaki 8. Kiroho vita inayoendelea Israel ina uhusiano na upungufu huu

    Sources: https://www.youtube.com/watch?v=a4aboTbQZ5Y&pp=ygUSbWNodW5nYWppIG1hZ2hlbWJl https://www.space.com/pluto-atmosphere-may-be-disappearing Pluto's atmosphere is starting to disappear, scientists find By Chelsea Gohd published October 08, 2021 A new study shows how Pluto's atmosphere...
Back
Top Bottom