Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,183
- 10,921
Mmoja ya wanasiasa machachari wa Marekani na aliyekuwa mshauri wa mambo ya ulinzi wa raisi Donald Trump, John Bolton amesema katika vita vinavyoendelea Israel imeshindwa na Hamas.
Katika makala yake iliyochapishwa juzi kwenye gazeti la Telegraph, Bolton amesema usitishwaji wa vita wa siku nne utatumiwa vyema na Hamas kuweza kujipanga na kubadili mpangilio wake wa matumizi ya mahandaki ili kuweza kuingia vitani kwa kasi kwa mara nyengine na Israel.
Japo Bolton amekuwa muwazi kwa kutoa maoni yake yanayoendana na baadhi ya viongozi wa Kiyahudi, hata hvyo imeelezwa kuwa hajafahamu kuwa Benjamin Netanyahu amelazimika kufanya makubaliano hayo kutokana na hasara kubwa jeshi la IDF iliyopata katika uwanja wa mapigano huko Gaza.