Kumekucha: Israel yatangaza ipo tayari kwa vita na yeyote Middle East na mbaya wake yeyote. Mbwai Mbwai tu

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,395
9,762
FORCE OF IRON

1700154608980.png

Major General Tomer Bar made the chilling warning in an TV address today
Pichani :Meja Generali Tomer Bar ametoa Onyo kwenye Televisheni leo

Israel vows they are ready to bomb across ‘entire Middle East’ in major warning to Iran and Hezbollah
Israel wanajivunia kuwa wapo Tayari kulipua 'eneo lolote la mmashariki ya kati' ikiwa ni onyo kali kwa Nchi Wapiga mikwara mingi bila vitendo Iran na Wanamgambo hovyo wa Hezbollah.

In a TV address today, Major General Tomer Bar, said: “We are hitting Hamas on the ground and below the ground.

Alipokuwa akielezea kwenye runinga leo hii Meja Tomer Bar, alisema 'tunawapiga Hamas ardhini na chini ya ardhi.

"We have hit thousands of terrorists, and we will reach all of them."
Tumewaua maelfu ya magaidi, and tutawafikia woteeeee.

He added: “The Air Force as the strategic arm of the State of Israel is prepared and operates all over the Middle East, in every required arena, anywhere."

Aliongezea, ''Jeshi la Anga la Israel limejipanga kwa mipango kabambe na imejiandaa haswa kutoa dozi Mashariki ya kati yote, kwa kila mjengo, popote pale Dozi tu.

Since Israel declared war on Hamas following their bloody October 7 cross-border killing spree, Iran-backed terror groups in Lebanon and Yemen have repeatedly threatened to open up new fronts in the conflict.
Tokea Israel ilipotangaza vita na Mgambo wa Hamas kufuatia umwagaji damu Tarehe 7 mwezi oktoba kuvamiwa ndani ya mpaka wake na kuuliwa kwa raia wake, Magaidi wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon na Yemen walianza kuitishia kuingia nao vitani mstari wa mbele kwenye huo mgogolo wa kivita.

Lebanon's Hezbollah and Yemen's Houthi rebels are part of Iran's self-styled "Axis of Resistance" against Israel and have been striking both Israeli and US targets in "solidarity" with Hamas.

Hezbollah wa Lebanon na Mgambo Wahouthi wa Yemen wamo kwenye mipango binafsi wa ushirikiano ulioundwa na nchi ya Irani unaioitwa Axis of Resistance ' Uzuizi dhidi ya Israel and wamesha tuma makombora ya vilipukizi nchini Israel na Makambi ya jeshi la Marekani huko Iraq, ili kuonesha dhana yaa kuwa wapo pamoja kwa Hamas.

Hezbollah in particular has been pounding Israeli military positions in the country's north with mortar fire and suicide drones, while Israel has retaliated with warplanes, helicopters and missiles.

Kwa upande wa Hezbollah wao washaishambulia maeneo ya kijeshi yaliyopo kaskazini mwa Isreal kwa kutumia maroketi na ndege zisizo na rubani, pia Israel amekuwa akijibu maipo kwa ndege, Helikopta na maroketi pia yenye Shabaha.

The border skirmishes have further fuelled fears that the conflict may spiral into an all-out war across the Middle East.

Mapambano ya Mipakani yameendelea sana hadi kuna wasiwasi kuwa yanaweza yakaongezeka na kuja kuwa vita kamili mashariki ya kati yote ambako Meja huyo ameshasema Israel ipo tayari Nia ipo na uwezo wanao. alioongezea kuwa amesikia kuwa kuna Shekh Tanzania anajiita Ponda nae watakuja kumponda sababu nia za watu wanaopinga ni kutaka Taifa la Israel lipotee na hii ni vita kwa uhai wao na watashinda tu kwani washamuomba Mungu wao Aliye hai na sio Jiwe jeusi kwa majirani zao. Bwai mbwai tu

On November 3, Iran's leader Hassan Nasrallah broke his silence to warn Israel that against attacking Lebanon.
Tarehe 3 Mwezi Novemba, Mgambo mkuu anayeungwa mkono na Iran Hassan Nasrallah alivunja ukimya na kuionya Israel kama itaishambulia nchi yao ya Lebanon. kisha akapotea hewani maana anaongea akiwa kwenye Handaki akiogopa kuuliwa na Israel.
 
... na ifahamike major general kwa mfumo wa IDF is the second from top - Lieutenant General ambaye ndiye Chief of Defence Forces. Haya!
Israel majenerali wake wala huwa hawavai nishani kibao kama majenerali wa North Korea na wa Urusi. Wa NK wale Jenerali anaweza vaa nishani za kuzidi kilo moja, zimejaa kifuani hadi tumboni na hawajawahi pigana vita. Israel almost kila kizazi cha mwanajeshi kabla hajastaafu kuna vita Israel itaingia. Hata 2030s si ajabu Israel ikaingia vita au operation nyingine.
 
Israel majenerali wake wala huwa hawavai nishati kibao kama majenerali wa North Korea na wa Urusi. Wa NK wale Jenerali anaweza vaa nishani za kuzidi kilo moja, zimejaa kifuani hadi tumboni na hawajawahi pigana vita. Israel almost kila kizazi cha mwanajeshi kabla hajastaafu kuna vita Israel itaingia. Hata 2030s si ajabu Israel ikaingia vita au operation nyingine.
Ha ha ha! Eti kg nzima ya medali! Na walivyokondeana huko NK sasa! Medali zenyewe zinawadondosha similar kwa wale walevi wa kirusi!
 
Israel majenerali wake wala huwa hawavai nishati kibao kama majenerali wa North Korea na wa Urusi. Wa NK wale Jenerali anaweza vaa nishani za kuzidi kilo moja, zimejaa kifuani hadi tumboni na hawajawahi pigana vita. Israel almost kila kizazi cha mwanajeshi kabla hajastaafu kuna vita Israel itaingia. Hata 2030s si ajabu Israel ikaingia vita au operation nyingine.
Huko North Korea mbona umeenda mbali umesahau Hawa majenerali wa Burundi ambao MP's wao walitoa kichapo kwa raia juzi Juzi tu hapa, yaani mtu anaingia jeshini mpaka anastaafu hajawahi enda operation yyte yy ni pombe na mademu tu, operation yake kubwa aliyoshiriki ni kupiga raia tu
 
FORCE OF IRON

View attachment 2815823

Major General Tomer Bar made the chilling warning in an TV address today​

Pichani :Meja Generali Tomer Bar ametoa Onyo kwenye Televisheni leo

Israel vows they are ready to bomb across ‘entire Middle East’ in major warning to Iran and Hezbollah​

Israel wanajivunia kuwa wapo Tayari kulipua 'eneo lolote la mmashariki ya kati' ikiwa ni onyo kali kwa Nchi Wapiga mikwara mingi bila vitendo Iran na Wanamgambo hovyo wa Hezbollah.​

In a TV address today, Major General Tomer Bar, said: “We are hitting Hamas on the ground and below the ground.
Alipokuwa akielezea kwenye runinga leo hii Meja Tomer Bar, alisema 'tunawapiga Hamas ardhini na chini ya ardhi.

"We have hit thousands of terrorists, and we will reach all of them."
Tumewaua maelfu ya magaidi, and tutawafikia woteeeee.

He added: “The Air Force as the strategic arm of the State of Israel is prepared and operates all over the Middle East, in every required arena, anywhere."
Aliongezea, ''Jeshi la Anga la Israel limejipanga kwa mipango kabambe na imejiandaa haswa kutoa dozi Mashariki ya kati yote, kwa kila mjengo, popote pale Dozi tu.

Since Israel declared war on Hamas following their bloody October 7 cross-border killing spree, Iran-backed terror groups in Lebanon and Yemen have repeatedly threatened to open up new fronts in the conflict.
Tokea Israel ilipotangaza vita na Mgambo wa Hamas kufuatia umwagaji damu Tarehe 7 mwezi oktoba kuvamiwa ndani ya mpaka wake na kuuliwa kwa raia wake, Magaidi wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon na Yemen walianza kuitishia kuingia nao vitani mstari wa mbele kwenye huo mgogolo wa kivita.

Lebanon's Hezbollah and Yemen's Houthi rebels are part of Iran's self-styled "Axis of Resistance" against Israel and have been striking both Israeli and US targets in "solidarity" with Hamas.
Hezbollah wa Lebanon na Mgambo Wahouthi wa Yemen wamo kwenye mipango binafsi wa ushirikiano ulioundwa na nchi ya Irani unaioitwa Axis of Resistance ' Uzuizi dhidi ya Israel and wamesha tuma makombora ya vilipukizi nchini Israel na Makambi ya jeshi la Marekani huko Iraq, ili kuonesha dhana yaa kuwa wapo pamoja kwa Hamas.

Hezbollah in particular has been pounding Israeli military positions in the country's north with mortar fire and suicide drones, while Israel has retaliated with warplanes, helicopters and missiles.

Kwa upande wa Hezbollah wao washaishambulia maeneo ya kijeshi yaliyopo kaskazini mwa Isreal kwa kutumia maroketi na ndege zisizo na rubani, pia Israel amekuwa akijibu maipo kwa ndege, Helikopta na maroketi pia yenye Shabaha.

The border skirmishes have further fuelled fears that the conflict may spiral into an all-out war across the Middle East.
Mapambano ya Mipakani yameendelea sana hadi kuna wasiwasi kuwa yanaweza yakaongezeka na kuja kuwa vita kamili mashariki ya kati yote ambako Meja huyo ameshasema Israel ipo tayari Nia ipo na uwezo wanao. alioongezea kuwa amesikia kuwa kuna Shekh Tanzania anajiita Ponda nae watakuja kumponda sababu nia za watu wanaopinga ni kutaka Taifa la Israel lipotee na hii ni vita kwa uhai wao na watashinda tu kwani washamuomba Mungu wao Aliye hai na sio Jiwe jeusi kwa majirani zao. Bwai mbwai tu

On November 3, Iran's leader Hassan Nasrallah broke his silence to warn Israel that against attacking Lebanon.
Tarehe 3 Mwezi Novemba, Mgambo mkuu anayeungwa mkono na Iran Hassan Nasrallah alivunja ukimya na kuionya Israel kama itaishambulia nchi yao ya Lebanon. kisha akapotea hewani maana anaongea akiwa kwenye Handaki akiogopa kuuliwa na Israel.
Naona amevimbiwa kupambana na migambo, Akarushe basi hayo mabomu iran kama kweli yeye ni mwamba
 
Jamaa wana mikwara balaa wakati hamas wanatumia rocket za kienyeji kutengeneza uwani wanahangaika nao mwezi huu unaenda wa pili eneo lao hata dsm kubwa halafu wanaongea hvyo ,waangalie na hao pichani zinapgwa rocket watu wanajinyeaView attachment 2815939
Ebwana kweli naona huyo afande aliyebinuka kama kapigwa kiraka matakooni
 
Back
Top Bottom