Vijana wa Ukraine wakimbia usajili katika jeshi na hawakamitiki tena

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,194
10,929
Kama ilivyotabiriwa hapo mwanzo kuwa Ukraine haitoweza kuendeleza vita na Urusi baada ya muda si mrefu.
Hali hiyo sasa imefika wakati wake ambapo vijana waliotarajiwa kujiunga na jeshi sasa wanakimbia kwa mbinu zote kuelekea mataifa ya nje.hasa Moldova, Poland na Hungary.

Baada kuona wakipita mipakani huwa wanazuiliwa kuendelea na safari.sasa wamebadili mbinu ambapo wengine wanatumia kiza cha usiku kukata mbuga.wengine huamua kuogolea kuvuka mto.

Swimming rivers and faking illness to escape Ukraine’s draft

1700421174274.png
 
Zelensiky kabla ya kuingia Vitani ilibidi aende Google atazame uwezo wa Jeshi la Urusi Duniani.
Kwanza Marekani yenyewe haimuwezi na ndio maana akaunda Nato lakini bado hawawezi.
Siku Urusi akitangaza Vita na Waungaji Mkono wote watamkimbia president Zelensiky aka Mr Hamnazo.
 
Mi ningekimbia mapema sana maana haya yote yalikuwa yanatokea ningekuja kuish hata kwa mtogole
 
Kama ilivyotabiriwa hapo mwanzo kuwa Ukraine haitoweza kuendeleza vita na Urusi baada ya muda si mrefu.
Hali hiyo sasa imefika wakati wake ambapo vijana waliotarajiwa kujiunga na jeshi sasa wanakimbia kwa mbinu zote kuelekea mataifa ya nje.hasa Moldova,Poland na Hungary.
Baada kuona wakipita mipakani huwa wanazuiliwa kuendelea na safari.sasa wamebadili mbinu ambapo wengine wanatumia kiza cha usiku kukata mbuga.wengine huamua kuogolea kuvuka mto

Swimming rivers and faking illness to escape Ukraine’s draft

View attachment 2819134
Urusi sio Somalia
 
Zelensiky kabla ya kuingia Vitani ilibidi aende Google atazame uwezo wa Jeshi la Urusi Duniani.
Kwanza Marekani yenyewe haimuwezi na ndio maana akaunda Nato lakini bado hawawezi.
Siku Urusi akitangaza Vita na Waungaji Mkono wote watamkimbia president Zelensiky aka Mr Hamnazo.
Oya we Mzee wa "so soon" karibu staftah
JamiiForums-661793165.jpg
 
Back
Top Bottom