Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.
Ndugu zangu tunazidi kuumbuka kuhusu janga la Corona.
Hadi niandikapo uzi huu, msimamo wa Serikali ya Rais Magufuli (si ya wananchi wa Tanzania) ni kwamba hakuna COVID-19 isipokuwa "changamoto ya upumuaji" hivyo basi ni dhambi ya mauti kutamka kuwa kuna "korona" Tanzania hata kama tunapukutika...
SOMALIA YAOKOA UGANDA NA TANZANIA KUTOKA KWENYE VITA
KWA UFUPI
Kukomesha mvutano. Kufuatia mvutano kati ya Uganda na Tanzania 1972, katibu mkuu wa OAU aliwasiliana na Kenya kupatanisha. Hata hivyo serikali ya Jomo Kenyatta ilikataa. Huku Kenya ikikataa kupatanisha, wakuu wengine wa nchi...
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki hii imezindua mfumo wa Makombora yenye kuhamishika (mobile) ya Ulinzi yaliyopewa jina Bavar-373. Makombora haya yanetengenezwa Tekinolojia ya ndani ya Taifa hilo na kwaa mikono ya raia wazalendo wa Iran bila kushirikisha Taifa lolote la nje.
Uwezo wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.