Mshindi wa vita vya mashariki ya kati ni yule mwenye kumiliki jiji la Daudi au Jerusalem

Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
2,128
1,225
Madai ya Hamas, Hisbollah na Iran ni kumnyang'anya Muisrael jiji lake zuri la Jerusalem. Sasa mnaopinga kama Israel siyo mshindi na mbabe wa mashariki ya kati basi mmpeni Hamasi jiji la Daudi au Jerusalem. Haya yote yanayojili migogoro ya mashariki ya kati ni kushindwa kumchukulia kinguvu jiji lake kipenzi mwana wa Isaka na yakobo jijin lake la Jerusalem.

Israel alibonga tangia tangia 1967: nakufa nakufa lakini ilikuwa vita takatifu, nani kaliona jiji la jerusalem? nani anataka kubusu ardhi ya jiji takatifu matunda ya kubusu kwake ni kupoteza shamba la babake(east jerusalem, sinai , Al Aqsa na Golan height) hakuna aliyejibu kubonga kwa muisrael. leo una[posema ni hamas au hisbollah unachekesha dunia!

HAMAS NA HISBOLLAH WANADANGANYWA KUWA MSHAHALA WA DHAMBI NI SODA YA MILINDA!
 
Israel walihamisha mji wao makuu toka Tel aviv kwenda Jerusalem. Palestine wanadai Westbank yote yao, na Jerusalem Iko humo. Ngoja wamalize tahajjud waje.
 
Wakristo kuungana na Israel ambayo ni mpinga Kristo ina maana gani?
 
Kwamba kila anayehoji swali hili ni Muislam?
Uislamu huwezi kuenea kama
1. Haujaua wakristo
2. Kuchafua ukristo. Mahubiri ya uislamu hayajitoshelezi. Ingia kwenye website au blog za waislamu lazima ukute wamezungumzia ukristo
3. Kuweka sharia ili kuwadhibiti wanaohama uislamu. Mtu aliyehama uislamu anakatwa kichwa.
 
Back
Top Bottom