Ujumbe wa nchi za Afrika ulioongozwa na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ulifanya ziara nchini Ukraine na Russia, na kukutana na viongozi wa pande hizo mbili ukitafuta njia za kutatua mgogoro huo ambao umekuwa na madhara kwa nchi mbalimbali za Afrika. Ujumbe huo ni moja ya juhudi za jumuiya...
Natamani tujikumbushe baadhi ya matukio yenye ukakasi yaliowahi kutikisa umma wa watanzania na kupelekea serikali kutikisika huko nyumba..
Tanzania ingeweza kuwa mbali sana kiuchumi ikiwa uzalendo wa dhati ungetamalaki ktk michakato ya mambo muhimu Kwa maendeleo ya nchi yetu..
EPA-Uchotwaji wa...
Heko Watanzania kwa mwamko mnaoonesha wa kufuatilia masuala nyeti ya nchi yetu. Laiti tungekuwa hivi miaka 30 iliyopita tungekuwa mbali sana kimaendeleo..
Mnajua ukweli huu?: HAKUNA NCHI YA WAJINGA NA WAOGA ILIYOWAHI KUENDELEA! Ukiona ujinga na woga vinatoweka basi ujue maendeleo yapo karibu...
Utangulizi
Ilikuwa ni majira ya saa 12 za asubuhi, baada ya kutoka zangu msalani, niliamua kusikiliza taarifa ya habari kutoka shirika la Utangaazaji la Ujerumani (DW Swahili) kama ilivyokuwa kawaida yangu. Sababu ya kupenda kwangu kusikiliza habari ni kutokana na shauku yangu ya kutaka...
Viongozi wetu wametuambia muarabu wa Dubai aliyeuziwa bandari zetu zote za Tanganyika atahakikisha anaongeza mapato ya kutosha, ajira za kudumu maradufu na mapato shazi hivyo tumuunge mkono.
Sasa kwa kuwa CCM imekuwa chama cha kudumu hapa Tanzania na kwa zaidi ya miaka 60 ya umiliki na...
Utangulizi:
Tanzania ni nchi iliyojaaliwa rasilimali nyingi sana zinazofanya ionekane ni nchi yenye fursa nyingi za uwekezaji, masoko ya ndani na nje, na nguvu kazi yenye uwezo. Kwa kutumia rasilimali hizi, kuunganisha nguvu na kuchukua hatua madhubuti, Tanzania inaweza kurejesha hadhi yake...
Nimesikitishwa na hili jambo kwa kweli viongozi wa Yanga mnaonyesha madhaifu makubwa hili deni linaelekea kutupa adhabu kutoka FIFA.
Adhabu ambayo itatuondoa kwenye dira yetu na kutufanya kupoteza muelekeo.
Fanyeni hima mumlipe pesa zake aliekua kucha wetu Luc Eymael.
Au ndio mmeshapoteza...
Kuna viongozi wa Afrika wakiongozwa na Ramaphosa wako Ukraine na Urusi kuwaambia waache kupigana, je, ni sawa kufanya hivyo? wataweza? au walipaswa kuanzia na Sudan, Somalia, DR Congo na Ethiopia kabla ya kwenda Ulaya?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mabadiliko ndani ya Serikali (Aliyoyaita kucheza draft) yataendelea hadi pale mstari "laini" iliyokaa sawasawa itakapopatikana kwenye kila sekta nchini.
Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Juni 16 2023, wakati akiwaapisha...
Siwafahamu kiundani,.lakini nina uhakika vyombo vya dola vinawafahamu vizuri zaidi na ndio maana vikapeleka majina yao kwa Mh. Rais kwa nafasi za Ukuu wa Wilaya.
Sasa kinachoonekana kwa sasa ni kwamba, hawa viongozi wa walimu, wanaandamwa kwa sababu ya kugomea uteuzi wa Mh. Rais!
Kama kweli...
Nawashangaa wanaopiga kelele; viongozi wetu wabadhirifu, wala rushwa, wanaingia mikataba isiyo ya maana kama enzi za ukoloni za kubadilisha dhahabu na vipande vya jiwe na kadhalika, tunawalaumu bure tu, kuwatwisha msalaba usiowahusu. Hivyo ndivyo walivyokuwa toka wakiwa wanaomba ridhaa ya...
Viongozi sita wakiwemo Mashekh wawili wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Wilaya za Meatu na Bariadi mkoani Simiyu, wanadaiwa kusimamishwa uongozi wao kwa muda usiojulikana kutokana na tuhuma mbalimbali wanazodaiwa kutuhumiwa.
Imedaiwa kuwa viongozi hao walisimamishwa na Mkutano Mkuu...
Dkt. Slaa amesema wabunge wa CCM baadhi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu, yaani uchaguzi wa kupita bila kupingwa, moja ya madhara ya kuwepo kwa jambo hilo ni kuzalisha idadi kubwa ya wabunge ambao ni wa chama kimoja (CCM).
Kuwepo kwa wabunge wengi wa chama kimoja bungeni...
Sitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake.
Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa.
January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa...
Hii Ngoma bado mbichi kabisaa Maana viongozi wa Dini wamesema wameiskilza Serikali ila Wao watatoa matamko Yao baadae.
Lakini hoja zao zimeonekana zenye akili na uelewa wa Juu wa mambo haya tofauti na wabunge wetu..
wanasema wabunge walio wengi hawategemei Kura, wanaamini iwe jua au mvua...
Wasalaam Wakuu.
Baada ya Bunge kuunga Mkono azimio la Serikali kuingia Mkataba na Kampuni ya DP World, mengi yamekuwa yakisemwa.
Leo tar 12 Juni 2023, Waziri Prof Mbarawa alikutana na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu juu ya mkataba wenyewe. Na kuondoa sintofahamu na hofu...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) leo 12 Juni 2023 wameendesha Kongamano la Kitaifa la Kujengewa uelewa kwa viongozi wa Dini na Kimila juu ya Athari za Sauti zilizozidi Viwango Katika Nyumba za Ibada...
Hivi kwanini viongozi wetu wa kitaifa wanakionea aibu Kiswahili? Tumeshuhudia viongozi wetu wakienda uko nje na wakati mwingine tukipata wageni kutoka nje kuja Tanzania, viongozi wetu wanakisaliti Kiswahili na kutukuza lugha ya mkoloni! Hii sio sawa na inatuuma sana sisi wazalendo wa Kiswahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.