viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Je, uzalendo ni kwa walalahoi tu mbona viongozi wetu hawaoneshi kwa vitendo?

    Je wajua ?? 1. Raisi halipi kodi 2. Makamu wa raisi halipi kodi 3. Waziri mkuu halipi kodi 4. Mawaziri hawalipi kodi 5. Manaibu mawaziri hawalipi kodi 6. Wakuu wa mikoa hawalipi kodi 7. Wakuu wa wilaya hawalipi kodi 8. Wabunge hawalipi kodi Hawa wote hakuna hata Senti Moja...
  2. Mabula marko

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tuwakumbuke Viongozi wa halmashauri za vijiji, Vitongoji na mitaa katika kuumega mkate

    utangulizi Utawala wa vijiji ,vitongoji na mitaa ni miongoni mwa tawala katika serikali za mitaa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni utawala wa chini kabisa kimuundo ukitanguliwa na utawala wa Kitongoji. Kuwa utawala wa chini haimaanishi kuwa na umuhimu mdogo; isipokuwa ni kupitia...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio NEMC, uchafu wa Mazingira ni ugonjwa wa akili unaotakiwa utibike Kisaikolojia. Hata baadhi ya Viongozi wanaumwa

    Chimbuko la kelele lipo kiimani na kisaikolojia. Nashauri NEMC Pelekeni hoja Wizara ya Elimu ili watakapoboresha mitaala yao, somo la Sayansi kimu lifundishe kwa kina madhara ya uchafuzi wa mazingira ikiwemo kelele. Tukumbuke kwamba baadhi ya viongozi wanaumwa huu ugonjwa wa kisaikolojia na...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Orodha ya viongozi walioteuliwa na Rais Samia na kuonyesha uwezo mdogo kiutendaji na kiuongozi ni hawa hapa

    Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma. 1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa 2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe 3. RPC Geita 4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake 4. Waziri wa Afya-Chanjo...
  5. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio viongozi wa CCM tunaotarajia wajadili katiba mpya.

    CCM wanajimilikisha mpaka polisi na kuona ni utovu wa nidhamu kwa polisi kupinga kuwa CCM.
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali ianzishe utaratibu wa kuwashughulikia viongozi wa dini wanaohatarisha maisha ya watu

    Kutokana na madhara yanayoendelea kuwapata watu kutokana na mafundisho au maelekezo ya baadhi ya Viongozi wa Dini kwa ajili ya kutimiza haja zao au kutimiza mahitaji yao na matamanio ya mioyo yao, imepelekea kuathiri maisha ya watu kwa namna moja au nyingine. Kutokana na athari hizo zinazo...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dunstan Kitandula: Hekima za Viongozi Wetu Zilitumika Dhidi ya Migogoro

    MBUNGE DUNSTAN KITANDULA - HEKIMA ZA VIONGOZI WETU ZILITUMIKA DHIDI YA MGOGORO "Naiomba serikali yangu itusikie, walisaini document ya makubaliano lakini baada ya makubaliano hayo Bado kumekuwa na chokochoko za jeshi la ulinzi la Kenya kuingia kwenye maeneo yetu lakini wananchi wetu walipoingia...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ndoto ya asubuhi ya Watanzania ya kuwa na Tanzania ya uchumi wa gesi na madini imo mikononi mwa viongozi wa Taifa hili

    UTANGULIZI Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za gesi asilia na madini katika bara la Afrika na duniani. Hili linathibitishwa na mifano mingi ya madini yenye thamani kubwa yanayopatikana katika mikoa mingi nchini, kama vile dhahabu, Tanzanite, almasi, chuma, nikeli, makaa ya...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Viongozi sita wa Afrika kusuluhisha mgogoro wa Ukraine na Urusi

    Ujumbe wa viongozi hao wa Nchi 6 za Afrika unatarajiwa kufanya mazungumzo na pande mbili wenye lengo la "kuanzisha mchakato wa amani." Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy wote wamekubali kuwa wenyeji wa ujumbe huo kutoka Afrika Kusini, Senegal, Misri, Jamhuri...
  10. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wenye watoto wanaosoma kwenye shule yenye madarasa kama haya?

  11. M

    JamiiForums Tanzania Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

    Viongozi wa G7 naona wameamua kujibatiza kama viongozi wa dunia!! Vyombo vya habari vya magharibi viko mstari wa mbele kuwatangaza kama viongozi wa dunia. Watu husema kuwa uongo ukisemwa sana, na watu wakaumezea hubadilika pole pole kuwa ukweli. Dunia lazima ikatae sasa kuwa marais wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mahubiri yamezidi kuwa holela sana. Tatizo ni Viongozi wa jiji

    Asubuhi ninapokwenda Kariakoo kwenye mishemishe zangu lazima niwahi kupanda Mwendo kasi pale Mbezi mwisho. pale ninaposubiria gari kuna wale jamaa walioweka Spika zao na kakikapu ka sadaka huku wakihubiri, huwa nashindwa kuongea na Simu sababu ya sauti za spika. Afadhali ingekuwa ni mara moja...
  13. system hacker

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa viongozi wa umma: Watanzania ni waoga? Nani kakudanganya. Wape platform wakuonyeshe

    Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi. Nasikia sikiaga watu wakisema watanzania ni waoga, tena sana. Kwamba, Kenya ndio watu sio waoga...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Urambo kuna viongozi kweli?

    Jamani viongoz i wa Urambo kuanzía Mkuu wa Wilaya, mkurugenzi na Baraza la madiwani mnaruhusu gereji za pikipki kuzagaa kila mahali kwenye ka mji kenu yaaani mmekosa eneo moja la kufunguà gereji kila anaehitaji huduma aifate mahali rasmi. Kamji kachafu kamejaa oil chafu za pikipik mara ya...
  15. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kauli tatu za ajabu sana Tanzania kuhusu vifo vya viongozi

    1. Mungu kaamua ugomvi 2. Watu wazuri hawafi 3. Keshaanza kuoza. Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
  16. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Viongozi waliokufa vifo tata

    1. Dr. Omary Ali Juma Huyu alikuwa ni Makamu wa Rais katika Serikali ya Rais Benjamin Mkapa. Alienda kufungua maonyeshi ya sabasaba akiwa na Rais Kabila wa Kongo, kesho yake tukapata tanzia. 2. Benjamin Mkapa Rais wa awamu ya tatu, jioni moja ya mwezi july mwaka 2020 ikiwa imebaki miezi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, maagizo ya viongozi waandamizi yanafanywa kuwa rasmi na kusambazwa kwa ajili ya marejeo?

    Mfumo wa serikali unaenda kwa maandishi, nadhani kinachotokea nikutokuwa active kwa wasaidizi wa viongozi waandamizi. Ofisi ya katibu mkuu kiongozi ikitoa forma directive kuhusu tamko la kisera la Mhe. Rais sidhani kama kuna mtu atapuuza. The same applies to Makamu wa Rais na Waziri Mkuu...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo. Alaani walioshiriki kumchafua kupitia magazeti

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameonyesha kutoridhishwa na wasifu wa Bernard Kamillius Membe (69) kutogusia uwepo wake ndani ya chama hicho cha siasa. Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa alijiunga na ACT-Wazalendo Julai 15, 2020 akitokea chama tawala-...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mliopo Karimjee, yatafakarini matendo katika kuwatumikia wananchi mkiendelea kumuaga Bernard Membe

    Ninafuatilia kwenye runinga tukio la kuuaga mwili wa aliyekuwa mtumishi wa serikali na mwanadiplomasia mbobezi ndg Bernard Membe. Ninawiwa kuwaasa viongozi wetu wa serikali, bunge na mahakama mliopewa dhamana ya kulitumikia taifa letu, kulitazama jeneza la aliyekuwa kiongozi kama ninyi mlivyo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Tanzania. Mkuu wa nchi anazindua minara ya bil 270+ huku wananchi vijijini hawana maji wala huduma za afya za uhakika

    Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika. Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
Back
Top Bottom