Hayati Magufuli alikuwa na Maono, Viongozi wote aliokataa kufanya nao kazi hawafai kwa taifa letu

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Sitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake.

Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa.

January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa Mahindra Group huku hakuna alichoboresha.

Nape ndio bogus kabisa, maana yeye anadhania kila mahala ni propaganda na porojo tu. Kisa tu mburula ambaye anaishi kwa kuropoka majukwaani na kutembelea jina la baba yake.

Leo mnashuhudia kwa macho yenu.
 
Na Samia je, au umesahau kuwa ndiye aliyekuwa msaidizi wa karibu zaidi ya hao wote uliowataja?

Kama alikuwa na maono, kwa Samia maono yake hayakumsaidia chochote.

Tena ni Samia huyo huyo, ndiye kawarudisha hao wote unaodai Magufuli aliwakataa; sasa haya maono yalikuwa na maana gani?
 
..angekuwa na maono asingefuja fedha zetu kujenga mji mkuu Dodoma, na kununua midege inayotutia hasara.

..badala yake angeelekeza fedha hizo kwenye miradi ya kimkakati kama bandari, na kukuza kilimo.
Kwa kujenga Dodoma ni kufuja mali? Kununua midege je?
 
Kwa kujinga Dodoma ni kufuja mali? Kununua midege je?

..Dodoma tumetumia matrilioni kujenga maofisi na majumba ya VIONGOZI.

..Je, kulikuwa na ulazima? Je, ilikuwa ni kipaumbele? Je, viongozi walikuwa hawana maofisi na mahali pa kukaa?

..Kati ya Dodoma na bandari ya Dsm kipi kinaongeza MAPATO kwa nchi?

..Vilevile kati ya midege ya ATCL na bandari kipi kinatuingizia mapato makubwa zaidi?
 
Sitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake.

Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa.

January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa Mahindra Group huku hakuna alichoboresha.

Nape ndio bogus kabisa, maana yeye anadhania kila mahala ni propaganda na porojo tu. Kisa tu mburula ambaye anaishi kwa kuropoka majukwaani na kutembelea jina la baba yake.

Leo mnashuhudia kwa macho yenu.
alikuwa na maono ya kuigawa hii nchi km nyie mazuzu mnavyowaza kuigawa Tanzania jambo ambalo haliwezekana mpaka mnaenda kujiunga na mzee wenu wa legacy
 
..Dodoma tumetumia matrilioni kujenga maofisi na majumba ya VIONGOZI.

..Je, kulikuwa na ulazima? Je, ilikuwa ni kipaumbele? Je, viongozi walikuwa hawana maofisi na mahali pa kukaa?

..Kati ya Dodoma na bandari ya Dsm kipi kinaongeza MAPATO kwa nchi?

..Vilevile kati ya midege ya ATCL na bandari kipi kinatuingizia mapato makubwa zaidi?
kulikuwa hakuna haja ya kuteketeza matrilioni yote yale kujenga makao makuu ya nchi wakati watanzania wengi hawana ajira na ni maskini wa kutupwa. Ule ulikuwa uamuzi wa kishamba usio kifani. Ujenzi wa Chato airport, ile hospitali kubwa ya rufaa ni ufisadi mkubwa na ubaguzi wa kuigawa nchi.
 
Sitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake.

Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa.

January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa Mahindra Group huku hakuna alichoboresha.

Nape ndio bogus kabisa, maana yeye anadhania kila mahala ni propaganda na porojo tu. Kisa tu mburula ambaye anaishi kwa kuropoka majukwaani na kutembelea jina la baba yake.

Leo mnashuhudia kwa macho yenu.
Unataka kusema hata SSH hafai pia
 
Nape amekuwa na tumbo kama pipa kwa sasa ,kwa sabubu ya rushwa za hapa na pel kutokea kwa makumpuni ya cm
 
Sitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake.

Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa.

January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa Mahindra Group huku hakuna alichoboresha.

Nape ndio bogus kabisa, maana yeye anadhania kila mahala ni propaganda na porojo tu. Kisa tu mburula ambaye anaishi kwa kuropoka majukwaani na kutembelea jina la baba yake.

Leo mnashuhudia kwa macho yenu.
Kwani yeye mungu, mwenyewe hakuwa mkamilifu
 
Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".

Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.

Chanzo: TBC1
 
Magufuli alikuwa akili kubwa. Alikuwa hadanganyiki na vi speech vya majukwaani vya akina JM na akina nape

Na wote aliowatengua kwa kuwaonea alikuwa anawarudisha baada ya kujiridhisha kuwa hayakuwa makosa yao.

Waliotumbuliwa moja kwa moja walikuwa wameoza kweli.
 
..angekuwa na maono asingefuja fedha zetu kujenga mji mkuu Dodoma, na kununua midege inayotutia hasara.

..badala yake angeelekeza fedha hizo kwenye miradi ya kimkakati kama bandari, na kukuza kilimo.
Aina hii kama mleta mada ndio wanaomfanya JPM achukiwe na baadhi ya watu walioupenda uongozi wake miaka ile akiwa hai.
 
Back
Top Bottom