viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Perry

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa walinzi wa viongozi huwa wakoje kwenye mahusiano?

    Kuna siku kiongozi mkubwa wa nchi alikuja eneo letu, sasa wale mabodigadi wanaovaa miwani Black wanaokaa nyuma ya viongozi nikakutana nae wakati wa chakula, akanielewa tukapeana number. Ila since then kila siku ana number mpya, nashindwa kumuelewa kama yuko really au ndio kupotezeana muda?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wapewe mamlaka kamili ya kuwashtaki viongozi wanaoingilia majukumu yasiyo yao

    Tume ya maboresho ya mfumo wa haki jinai ikiwa imemaliza kazi yake na ripoti yake kuwasilishwa Kwa Mhe. Rais Kwa hakika mapendekezo yake kama yakifanyiwa kazi, mfumo wa upatikanaji wa haki Tanzania utaboreka na kuimarika. Na niseme kwamba maboresho hayo ni sawa na kuifumua katiba iliyopo na...
  3. polokwane

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kwa sasa inakosa viongozi wenye maono na tunakoelekea hali itakuwa mbaya zaidi

    Kwa sasa tuna uhaba mkubwa sana wa watu wenye maono na fikra, wengi waliopo kwa sasa kizazi hiki ni wale ambao hawaijui kuwaza ya kesho na hawana maono ya kesho. Wao wanaiwaza leo tu na mawazo yanaishia hapo na ndio maana hakuna kitu kipo katika mpangilio mzuri wa baadae kila jambo linafanyika...
  4. gango2

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba tulieni, mnakurupuka sana

    Habari wakuu! Nimesikia leo toka viongozi wa Simba kuwa wanaenda kuzindua Jessey zao Mlima kilimanjaro! Well, mpaka sasa sijaona logic behind hii decision zaidi ya kuona ni kukurupuka baada ya kuona Yanga wamezindua Jezi zao Ikulu. Hakuna haja ya kufanya kitu kama hicho kuonyesha mnazindua...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi walioshiriki kupokea ripoti ya haki Jinai hakuna aliyekuwa anatake note isipokuwa President peke yake?

    Ni sahihi kwa viongozi kuingia kwenye kikao cha Mhe. Rais bila diary wala note book? Au protokali ndio inataka hivyo? Na kama ni protokali mbona Mhe. Rais alikuwa busy kusikiliza na kuandika? Baadhi ya viongozi wanaonekana kwenye TV wamelala kabisa. Enzi ya utawala wa Mwalimu na hata utawala...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Robertinho ajiondoa simba, arudi kwao Brazil kisa na mkasa ni viongozi kutompa: thank you Chama

    Kocha aliwaambia viongozi wa simba hataki kumuona CCC msimu ujao, viongozi nao wakamwambia Chama haendi popote, kama vipi bora wampe thank you yeye Kocha. Kocha kaona isiwe tabu, jana kaamua kurudi kwao Brazil. Gadiola mnene muda si muda anachukua tena timu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wameanza kuhamasisha watanzania kumiliki nyumba Dubai?

    Ajira zilizopo bandari katika ngazi zote nyeti ni watoto wa wakubwa; wanaofanya kazi wote forodha ni watoto wa wakubwa; wanaosimamia miundombinu ni watoto wa wakubwa. Wanapataje huu mchongo? Fedha wanazopiga wanazipeleka wapi mboni hawana business tofauti na kumiliki maghorofa? Au ndio...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi tunalumbana kuhusu Bandari, wenzetu wanatumia fursa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule Ikulu jijini Dar es Es Salaam leo tarehe 14 Julai, 2023 RAIS SAMIA: SISI TUNALUMBANA KUHUSU BANDARI, WENZETU WANATUMIA FURSA Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati wa kuwaapisha viongozi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanahabari tambueni kwamba sheria ya uwekezaji wowote wa maliasili kujadiliwa bungeni ni kwa mujibu wa sheria ya 2017, si fadhila za viongozi

    Ni upuuzi Kibanda na wenzake kuwaambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa mijadala hii miaka mitano iliyopita isingekuwepo. Hivi hiyo Sheria ya mikataba ya Maliasili kujadiliwa si ni kwa mujibu wa Sheria na aliyefanikisha hayo Si JPM Kwa Sababu ya uzalendo wake kwa nchi ndio hiyo Sheria...
  10. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya watanzania tumeshagundua kwamba hawa viongozi wamehongwa kwa ajili ya bandari

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu,,, hapa nchini kwetu ukiwa mtu makini, mwenyekujitambua, mwenye uwezo wa kudhibiti mihemko, mwenye mawazo na akili iliyohuru bila kukontroliwa na mtu mungine ambae ataitumia akili yako kwa faida yake na familia yake huku akikuacha wewe ukidhalilika...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Wakoshwa na Bwawa la Nyerere

    Wakati mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ukifikia asilimia 90 ya ujenzi wake, viongozi wa dini wamesema watakwenda kuwaelezea waumini wao umuhimu wa kutunza mazingira ili mradi huo uwe endelevu. Viongozi hao kutoka Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Ikiwa mtu atadhurika au kuuliwa sababu ya kutoa maoni kuhusu bandari serikali na viongozi waliotoa vitisho watawajibika

    Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake. Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania imewakosea nini viongozi wake?

    Tanzania ni mojawapo ya nchi nzuri na ya kuvutia duniani. Inazo raslimali za aina mbalimbali na zingine ambazo huwezi kuzikuta sehemu nyingine duniani. Kwa ufupi, Tanzania ni moja kati ya nchi tajiri sana duniani, japo watu wake wengi ni maskini wa kutupwa. Umaskini wa Watanzania umechagizwa...
  14. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Hii nchi sio viongozi pekee ndio waovu, bali ni wananchi wengi ni waovu pia

    Hawa viongozi hawa ni alama tu inayoonesha jinsi wananchi wote walivyo, kila mwananchi mahali alipo wengi wao akipewa nafasi lazima ajifanye ujanja kuiba... Ndio maana mtu mchamungu akistaafu hali ya kuwa amepata tu kile alichostahili...wananchi wenzio hawatokusifia kwa wema wako, ila...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

    Ameyasema hayo katika Club House. Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika. Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili. Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
  16. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Hiki ndiyo kipimo kidogo cha viongozi wa nchi husika kama wana upeo mkubwa

    Ukienda kwenye nchi yeyote kipimo cha haraka haraka ili ujue viongozi wao wana akili ya kuona mbali angalia mipango miji Mfano kama umeenda western countries, china, japan, au gulf countries kwa mara ya kwanza kabisa kitu ambacho kitavutia macho yako ni jinsi miji yao ilivyopangiliwa na kila...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali Wana nia ya kulitoa nchi kwenye umaskini?

    Wakati mwingine nahisi kukasirika! Hivi ni kweli viongozi wetu wanachukizwa na umaskini uliopo nchini? Angalia posho wanazolipana! Zinaendana na hali ya kiuchumi ya nchi? Angalia magari ya anasa wanayoyanunua kwa ajili ya matumizi ya watumishi wa Serikali! Wangeyanunuua kama wangetakiwa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Waafrica mara nyingi ndo wanaosababisha viongozi wao kuwa madictator bila kupenda kwao.

    Hiki kinachoendelea hapa kwetu Tanzania siyo ukosoaji Bali matusi tena ya nguoni. Hakuna demokrasia ya hivi hata ulaya au marekani haipo. Kinachofangika Tanzania kwa Sasa ni kumlazimisha Samia kuwa dictator kama jpm tu. Ndo mana kumbe jpm alichagua kuwa dictator na kuwapoteza au kuwaua watu...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mmoja mkoani Mara awapuuuza viongozi wa Mwenge na itifaki yake

    Kiburi cha shibe ya madaraka ni kibaya mno. DED wa Halmashauri fulani mkoani Mara amemjibu hovyohovyo kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Abdalah Shaibu. Hakutaka kutoa taarifa sahihi za miradi na alimjibu hovyo hadi watu waliona aibu. Bwana Shaibu amesema Mwenge ni wa Rais wa JMT na amefikisha...
  20. frankkilulya

    JamiiForums Tanzania Kwanini hela mpya zinazotoka bado zina sain za viongozi waliotolewa kwenye nafasi zao

    Ukiangalia Hela/Pesa mpya zinazotoka za noti Bado kuna sain ya waziri wa fedha Na gavana ambao kwa sasa hawapo kwenye nafsi zao. Prof. Philip mpango alikua waziri wa fedha lakini kwa sasa ni Makamu wa rais prof. Florens luoga Alikua gavana wa bank kuu Kwa sasa kuna waziri mpya wa fedha na...
Back
Top Bottom