viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la mkataba wa bandari: Kuna kila dalili (kuna asilimia kubwa) kuwa Viongozi wetu wamekuwa "Blackmailed"

    Maana si kwa kukomaa huko! Hivi mtu ukiwa blackmailed unafanyaje kujinasua? Tufanyeje tuweze kuwanasua? Maana kwa kweli naanza kuwaonea huruma na inabidi tuwaombee sana!!
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa mkoa wa Dar, wadhibiti wanaotaka kujigawia soko la Mbagala Zakhiem kinyume na utaratibu uliopangwa na Manispaa

    Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea hivi sasa ni wamejitokeza viongozi wanaotaka kuvuruga utaratibu wa kuwarejesha wahusika ili wajigawie...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kuling'ang'ania suala DP World kuchukua Bandari ni dhahiri kuna Viongozi wamelipwa Fedha

    Licha ya makelele yote haya kwa Wananchi, Mashinikizo ya Wanasiasa na sasa Matamko ya Viongozi wa Dini kupinga suala la Dubai kuwekeza kwenye Bandari zetu inaonesha kabisa Kuna watu wamelipwa fedha nyingi wameahidiwa mgawo mkubwa sana endapo jambo hili litaanza utekelezaji nchini including namba...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge watasema hata viongozi wao wa kiroho wameongwa? Watasema ni CHADEMA? Watasusa kuabudu kwa waliwaoongwa?Zakuambiwa!

    Wapo viongozi wengi wa dini wamepinga adharani kwa sauti na maandishi mkataba wa bandari. Wabunge wetu ni waumini wa viongozi hawa wa dini; lakini pia kielimu hata hawa viongozi wa dini wameenda shule tena kubwa kuliko wabunge walio wengi. Hoja za viongozi wa dini zinafanya watu wajiulize...
  5. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Mkao wa Vita: Viongozi wa Kijeshi wa Niger wajiandaa kikamilifu kwa vita

    Katika kuonyesha kwamba uongozi wa kijeshi nchini Niger umedhamiria kupambana na yeyote atakayeishambulia nchi hiyo. Viongozi hao wameanza kuhamishia familia zao Dubai, Bukina Faso na kwingineko. --- There are strong indications that members of the Niger junta have begun to evacuate their...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa ya viongozi wa serikali yakamilika; yatawagusa pia viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama

    Serikali inategemea kufanya mabadiliko makubwa kiutendaji hivi karibuni; mabadiliko hayo yataenda sambamba na kuwafuta kazi baadhi ya viongozi waliokwama kufanya kwa ueledi na viongozi wa vyombo vya dola. Lengo ni kuleta sura mpya za vijana watakaozitafsiri kwa vitendo 4R za Mhe.Rais Sambamba...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wajifunze kutoka kwa Uhuru Kenyatta

    Ni muhimu viongozi wetu wajifunze kuwa na busara wanaposhughulika na watu wanaotofautiana nao. NItaeleza. Mnamo mwaka 2018 huko Kenya, mwaka mmoja baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2017 ambapo Uhuru Kenyatta alitangazwa kushinda kiti cha urais akimshinda mpinzani wake mkuu Raila Odinga...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wataka Vijana wasitumike kuchafua amani ya Nchi

    Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Kawambwa, amewasihi vijana wasikubali kutumika na baadhi ya watu wakiwemo wanasiasa au viongozi wa dini ambao wanakusudia kuharibu amani na utulivu uliopo nchini. Sheikh Kawambwa alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza a...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti hivyo matamko yao yako engineered na idara

    Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti na wamewekwa makusudi ili kuituliza jamii kipindi cha hamkani si shwari. Jiulize kwani mara nyingi hutoa matamko ambayo ukiyaweka kwenye mizania unayaona kabisa yako kinyume na jamii na hayana upako wa kimungu bali wa kisiasa? Bosi wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yanayofanywa na Viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi, ni mfano kwa askari walio chini yao hivyo tujiandae

    Habari ndio hio ndugu zangu na uzuri karibu kila mtu anajua nini kinachoendelea kwa sasa. Hivyo, wewe mwananchi wa kawaida huku mitaani, utarajie mambo kama hayo unayoyasikia kutoka kwa askari tunaoishi nao huku mitaani in case uko katika mazingira hayo. Issue ni kwamba, kama madai...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Urusi yaituhumu idara ya Ujasusi ya Uingereza MI6 kuunda kikundi cha mauaji kutoka Ukraine dhidi ya viongozi wa Afrika wanaoshirikiana na Russia

    Russia imeituhumu idara ya ujasusi wa nje ya Uingereza ya MI6 kuhusika na mpango wa kuunda kundi la wauaji au "Assassination Squad" ambalo kazi yake kuu itakuwa ni kuharibu miundombinu na kufanya mauaji ya viongozi wa nchi za Afrika ambao watakuwa wakishirikiana na Russia kiuchumi na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kiafrika na Akili za Ki-Esau Esau

    Asalaam Aleykum, Mwanzo 27:1-46, Biblia inaelezea kisa cha mzaliwa wa kwanza wa Mzee Isaka (Isihaka) ambaye aliitwa Esau pamoja na mdogo wake Yakobo (Yakub). Kulingana na mila na tamaduni za kipindi hicho, Esau alikuwa ni kiongozi automatically kwa maana ndiye alikuwa mzaliwa wa kwanza. Kwa...
  13. Alexander Lukashenko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi Simba mnatuonaje?

    Viongozi wa Simba mnatuonaje? Mnadhani mashabiki wote ni maamuma? Mnatengeneza Zogo la makusudi ili mumtupie lawama Kocha? Awamu hii tumewashika pabaya ama zenu ama Zetu. Robertinho ni Kocha mzuri ila atafeli kwakuwa anafanya kazi na Viongozi wapumbavu, kama kuna mtu aliona namna Simba...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kamata kamata inayoendelea ni maazimio ya Kina Kinana na viongozi wa CCM baada ya kushindwa siasa za majukwaani; ogopa kukataliwa

    Viongozi wote wa CCM wameamua kurudi na kukaa ofisini baada ya kuona kila wanapopita kutetea DP world mambo yanavurugika. Soon after kusarenda wameshauri turudi kwenye mfumo wa Magufuli; lakini pia pressure ya kisiasa iliyopo Afrika kaskazini na Magharibi inatoa piacha kwamba siasa za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Watanganyika tuwaombee viongozi wanaofisadi na kuuza bandari za Tanganyika! Haya ni majaribu

    Tuwaombee ili wazidi kuiba na kuuza rasilimali za Tanganyika?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nchi inaweza kuendelea kwa viongozi kuzunguka Duniani kuomba fedha?

    Mjadala mkubwa ulipo mtaani sasa hivi ni kuhusu viongozi wetu kutamka kwenye majukwaa kwamba wanazunguka Duniani kutafuta pesa kwaajili yetu; wengi wanajiuliza hizo pesa tunazopewa huko nje zinatokana na nini? Kwamba wenzetu wafanyakazi kwa bidii kwa ajili ya kutupa fedha sisi? Je tunapopewa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Afrika ni Bara lililobarikiwa utajiri wa raslimali za kila aina, likalaaniwa viongozi wake

    Afrika ni bara tajiri sana duniani. Lina rasilimali za kila aina kuanzia ardhi nzuri inayofaa kulima mazao ya kila aina, maji, hali nzuri ya hewa, uoto wa asili ikiwemo misitu, madini, mafuta, gesi n.k. Viwanda vingi duniani vinaendeshwa na raw-materials toka Afrika. Cha kustaajabisha, nchi...
  18. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi hawana sifa za kuongoza

    Serikali yetu inapitia Changamoto pia ya Kuwa na Viongozi ambao hawajui dhamana yao, kazi zao, wajibu wao, lengo la kuwa eneo hilo. Hawajui namna ya kuishi na Raia ambao 2025 utarudi tena kwao kuomba kura🤔🤔🤔 Nape Nnauye ndio namba moja wao kati ya viongozi wajinga.
  19. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi iliyojaa viongozi (wanasiasa) wasio wazalendo

    Tanzania imejaa na viongozi wafuatao.... 1. Viongozi Wabinafsi wasiowakumbuka wananchi ambao ndio waliwapeleka huko bungeni na kupata vyeo vingine. 2. Viongozi ambao hawapendi kusema ukweli, na raia wakiomba kuambiwa ukweli wanaonekana kama wakosaji na wavunja amani. 3. Viongozi ambao wana...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kama wananchi na viongozi walifundishwa binadamu alikuwa SOKWE na hawajawahi kulaani huu ushetani wataweza kulinda rasilimali zetu Afrika?

    Kama viongozi wameshindwa kuondoa somo la Historia linalopotosha ukweli wa asili ya binadamu wanaweza kutetea rasilimali zetu? Kama viongozi wetu wanaamini Afrika haiwezi kuendelea bila wazungu na kwao mzungu yoyote ni tajiri na mtu mwema; wataweza kulinda rasilimali zetu mbele ya wazungu...
Back
Top Bottom