viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa CCM inatosha sasa, TEC hawatatuelewa hadi tueleweke!

    Lazima niseme. Nguvu kubwa inafanywa na viongozi wetu wa CCM Taifa ambao pia ni viongozi serikalini kupata 'uungwaji mkono' na Maaskofu wa Kanisa Katoliki. Ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kuanzia Mwenyekiti/Rais hadi viongozi wengine waandamizi wamekuwa 'busy' na kutafuta...
  2. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kujadili uwezo wa viongozi Tanzania

    Leo siweki Maneno Mengi.Nawaletea tu Skeli ya Kupima IQ ya Viongozi wetu.Skeli itakuwa Vipimo Vitano ambavyo ni hivi hapa Chini: Anaelewa Nafasi na Wajibu wake na anaitumia nafasi yake vizuri kutimiza wajibu Anaelewa Nafasi na Wajibu wake lakini Hatumii nafasi yake kutimiza wajibu wake Haelewi...
  3. Totozee

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali mjitafakari

    Siku hizi mjini Kuna kasumba ya viongozi wetu wanasiasa, kazi Yao ni kukera wananchi. Nasikitiswa na hivyo vitendo wanavyovifanya. Kuna serikali ya awamu ya Nne, Tano na Sita. Asilimia 98 ya watendaji ni wale wale, yaani ndio waliotenda hizo awamu zote. Lakini kinachosikitishwa ni kuwa madudu...
  4. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Kuweni serious na vijana, msiongee tu

    Kila ninapopita nakutana na sakata la vijana, jinsi viongozi wanavyowazungumzia ni watu wasiojituma, wasiopenda kufanya kazi, yaani vijana wa Kitanzania wanaonekana hawapendi kazi kuliko vijana wengine duniani. Viongozi walioajiriwa wanatuambia sisi tujiajiri. Mtu unaweza vipi kujiajiri pasipo...
  5. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Leo nimekumbuka sana maisah ya chuo,kinachozunguka kichwani mwangu viongozi wa wanafunzi(CCM wings) wapo kwenye hali gani?

    Maisha ya chuo yanaraha na karaha zake bhana yani ni sawa pepo na dunia unaishi muda mchache maisha magumu then unaambiwa bata lipo peponi unaishi katika uzima wa milele,naamini kabisa kwa mliosoma DODOMA UNIVERSIT -UDOSO sio kitu kigeni yaani mashauzi mengi na hasa mawaziri wa fedha(wanajiona...
  6. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Hili agizo la Serikali kugharamia misiba na maziko ya viongozi wa CCM ni dhuluma kwa kodi zetu

    Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Pwani: Viongozi 24 wasakwa kwa kuuza Shamba la Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ametoa siku 14 wasakwe na kukamatwa viongozi 24 wanaotuhumiwa kujihusisha kuwatapeli watu na kuwauzia eneo la shamba la mitamba mali ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Viongozi wanaotafutwa ni pamoja na mabalozi, wenyeviti wa mitaa, watendaji walioshirikiana...
  8. econonist

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wajifunze dhima za mikutano

    Nimeshangazwa na Viongozi wetu kutojua dhima ya mkutano au kusudio la mkutano wanaoshiriki. Mfano mzuri ni mkutano wa Leo pale Manyara Babati kwenye uwanja wa Tanzanite. Dhima kubwa ya mkutano ule au tuseme sherehe ile ilikuwa kumuenzi baba wa taifa, ila Viongozi wetu walikuwa tofauti na dhima...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Saudia na Iran wajadili vita na kusema wako pamoja na Palestina

    Mwana mfalame wa Saudia Mohammed Salman na raisi wa Iran Brahimi RAaisi wamezungumza kwa simu kwa mara ya mwanzo hapo juzi na kukubaiana kuiunga mkono Palestina katika madai yao. Mohammad Jamshidi amabaye ni naibu wa masuala ya mambo ya nje aliandika kwenye akaunti yake ya X kuwa mazungumzo...
  10. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kitanzania wanahimiza maadili ya kitanzania. Je wao wanayaishi maadili hayo ya kitanzania?

    Imefikia wakati viongozi wetu wawe wakweli tu.Wanasisitiza maadili ya kitanzania wakati wao hawaishi katika maadili ya kitanzania. Je viongozi wetu mnaishi kwa maadili hayo mnayoyaita ya kitanzania ambayo mnasisitiza vijana wetu wayafuate. Viongozi ni binadamu kama sisi na tuko nao kila siku...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiufundi nakataa huu Upuuzi unaotaka kufanywa na benchi la Ufundi la Simba SC kwa Kulazimishwa na baadhi ya Viongozi wa Simba SC

    GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC na ndiyo maana hata akiharibu analindwa nao kwa nguvu Kubwa. GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Waandishi wa Habari wa Michezo na hata Wachambuzi wa Michezo ili Wampambe /...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Korogwe tunakereka kusimamishwa muda mrefu barabarani ili kupisha misafara ya viongozi wa Siasa, hii sio sawa

    Hapa Korogwe Mkoani Tanga tuna changamoto ambayo naomba leo tuiweke wazi kwa sababu imetufika hapa (shingoni). Naomba kuripoti kero juu ya misafara ya viongozi wanaopita hapa Korogwe Mjini yaani tunasimamishwa muda mrefu sana kisa msafara wa viongozi au kiongozi. Mara nyingi tu shughuli...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PhD za heshima kwa viongozi wetu Tanzania: Je, wana sifa za kimataifa?

    Sifa za kupata degree hizo za heshina (Honorary PhD) zinaweza kutofautiana, lakini katika viwango vya kimataifa/dunia lazima kuna na minimum qualification ili mtu yeyote aweze kupata tuzo hiyo. Baadhi yake ni hizi kwa msaada wa kutoka website mbalimbali. Ingawa hizi siyo exaustive, lakini kwa...
  14. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ianze kutumia (inunue) minibuses kwa ajili ya kusafirishia viongozi kwenye ziara kama wafanyavyo China

    Ili kuepukana na gharama za ununuzi wa magari ya ghali kila mwaka kwa ajili tu ya kusafirishia viongozi mbalimbali ni vyema sasa serikali ikaja na utaratibu mpya. Nina shauri serikali kuanza kununua minbuses maalumu kwa ajili ya kubebea viongozi katika safari kama ziara mbalimbali ili kuepuka...
  15. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Nimetabasamu kuona Manura na Inonga wamerejea ila ushauri wangu VIONGOZI na MAKOCHA msiupuuze.....

    WAKATI mashabiki wa Simba baadhi wakiwa hawana imani na kipa Ayoub Lakred kutokana na kuruhusu mabao katika mechi mbili za kimataifa, tabasamu limeanza kuonekana baada ya Aishi Manula kuanza mazoezi ya uwanjani. Manula ambaye ni kipa namba moja wa Simba, amerejea kwenye uwanja cha mazoezi mara...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike wananchi waanze kutokeza kwenye mikutano ya viongozi wa CCM na serikali wakiwemo mawaziri?

    Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa. Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya lakini wananchi wamegoma kujitokeza kwenye mikutano waliyofanya. Katibu mkuu mdogo wetu Chongoro...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Betting hadi katika mabadiliko ya nafasi za viongozi, Wizara, Mkoa na Wilaya.

    Nimeshuhudia jamaa waki-bet kuwa ndani ya siku 100 kutoka Mosi Oktoba, yatafanyika mabadiliko ya viongozi kutoka Wizara moja kwenda nyingine, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya. Endapo atafanya mabadiliko kwenye Wizara atatoa fungu lake, na kama atabadilisha mkuu wa mkoa kuna fungu lake, pia...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

    Hili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki. Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na...
  19. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Tanzania wana sheria zao wenyewe zilizo tofauti na sie wengine?

    Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza. Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani? Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Uteuzi na Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala na Kaimu Kamishna (TANAPA)

    Rais Samia ameteua na kufanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala na Kaimu Kamishna (TANAPA). Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemhamisha kituo cha kazi Sixtus Raphael Mapunda kutoka Wilaya ya Sumbawanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke akichukua...
Back
Top Bottom