viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. olimpio

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Viongozi waandamizi wajipanga kuhamia ACT

    Nina mwamini sana Warioba na nilidhani angefikiria kuhamia Chadema , lakini kupanga mipango ya kuhamia ACT naona atakua anapoteza muda. Siwaelewi chadame lakini kwa significance ya kuhamia upinzani nilidhani angehamia chadema. Kwa wasiofahamu , kuna kundi la wazee CCM wanafinalize mazungumzo ya...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TLS kwisha Habari yake, viongozi wake waanza kuhongwa vyeo

    Hivi ndivyo ilivyo , je kuna haja yoyote ya kuendelea kuamini Sungusia na wenzake ? Mbona wakati wa viongozi waliopita mambo hayakuwa hivi ?
  3. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa viongozi wa waamini wa dini zote!

    Naomba kutumia jukwaa hili kuwaomba viongozi wa dini zote kuacha kabisa kulumbana kwasababu za mambo ya kisiasa. Badala yake viongozi hawa waungane kwa pamoja na kutoa tamko la kuliombea TAIFA. Yawepo maombi ya siku kadhaa ya kuliombea taifa. Tunakoelekea sio kuzuri, hali ya uchumi inazidi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aunde tume ya kitaalamu Waichunguze AMCOS

    Nani yupo nyuma Ya VIONGOZI WA AMCOS Wakulima wa Mji mdogo wa Matui Wilayani Kiteto Tunashanga. Nguvu na uhalali wa Viongozi wa AMCOS Matui, Chama hichi Cha ushirika Matui, hakijawahi kuitisha Mkutano wa wanachama Wala kusoma Mapato na Matumizi, Kikubwa Zaidi hata Bodi ya Uongozi haipo ...
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania "Temperament" ya viongozi wa Tanzania

    Sijui Kiswahili chake fasaha kama ni haiba au hulka, au silka, n.k, ila waliotuletea vitabu wanaiita TEMPERAMENT. Kuna faida kujifahamu na kuwafahamu wengine. Kutakusaidia kuweza kushirikiana na wenye "temperament" tofauti na yako, na hata wakati mwingine, kujua aina ya mtu unayehitaji...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni muda gani viongozi wetu wanakaa na kutulia kufikiria uelekeo wa Taifa

    Ukiwa Kiongozi wa Nchi pamoja na mambo mengine ni kuwa mtulivu , kuwa na muda mrefu wa kutafakari kwa fikra tunduivu uelekeo wa Taifa. Kwa kufanya hivyo unatoa uongozi na majawabu pale vyombo na taasisi zilizopo kisheria zinapokushauri. Meditation inahitaji muda na utulivu . Nachoshangaa ni...
  7. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

    Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji. ----- Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu...
  8. mambo_safi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Spika wa Bunge la Gabon akamatwa Agosti 31, 2023 akitoroka nchi hiyo na Mabegi ya fedha

    Huyu ni Spika wa Bunge la Gabon alipokuwa anataka kutoroka leo hii asubuhi, Agosti 31, 2023. Ukiona viongozi tuliowaamini wanasaini mkataba mbovu kama DPW ujue nyuma yake kuna mambo kama haya! Video inayodaiwa kumuonesha Spika wa Bunge akiwa amekamatwa na Mabegi ya fedha akitoroka
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aapisha Viongozi wateule Ikulu Ndogo, Tunguu, Zanzibar, leo Septemba 1, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu dogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=H04h3n8tXyA === Rais Samia amewakumbusha viongozi walioapa kuishi kiapo chao pia. Kwa wateule wapya, amewataka...
  10. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Viongozi waliokuwa wamepachikwa na Urusi mji wa Tokmak, waanza kuondoka huku Ukraine wakijongea

    Hali tete, wazalendo wanakuja kwa kishindo, wanafumua kila kitu, Urusi waliteka mji na kupachika viongozi, hali imebadilika, ngome zote walizokua wamewekeza zinafumuliwa, walifukia mabomu kote ila yanalipuliwa yote, Ukraine wanakuja kama vichaa, wana mzuka wa balaa, wanasimika bendera zao kote...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mnashindwa badilisha hadi stickers za basi la timu? Au hamuoni zimepauka?

    Yani hadi wekundu umefubaa imekuwa kama orange
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilimponza Mkuu wa Wilaya Mtwara, Msabaha. Viongozi acheni dharau, cheo ni dhamana

    Msabaha sijamuonea huruma. Alikataa kuwapa hela Wanakijiji wa Lyowa na akataka Shule ijengwe Muungano huko Mtwara kwa hela alizoleta Samia Suluhu. Kwanza aliwapa masharti Wananchi wajenge wenyewe Madara matano ili kuwapima kama wanahitaji kweli shule. Wananchi wakachangishana wakajenga...
  14. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika hawana budi kujali maslahi ya watu wao kuliko yao binafsi, mabeberu wa nchi za Magharibi na wengineo

    Watanzania wengi ni maskini,hakuna shaka yeyote kuhusu jambo hilo.Kwa nini Watanzania ni maskini ndilo jambo ambalo limeonekana kusumbua watu wengi. Kikwete yeye alisema hajui kwa nini Watanzania ni maskini. Sasa inashangaza kwa kuwa kama ni hivyoo, kwanini alitamani kuwa Rais kwa vile jukumu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye Tanzania atokane na mmojawapo wa viongozi wafuatao

    Hii ndio orodha ya wanasiasa na viongozi ambao ninaamini kama akampokea mikoba Rais Samia basi nchi itasonga mbele Kwa Kasi sana: 1. Mzee.Abdulrahman Kinana 2. Prof. Palamagamba Kabudi 3. Dkt Bashiru Ali Kakurwa 4. Dkt. Hussein Mwinyi 5. PM Kassim Majaliwa Nitarudi Kwa ajili ya Part 2...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Naona aibu kuwachukulia hatua viongozi Walionizidi Umri

    Asalam, Msiopenda utaratibu wa mimi kufuatilia na kusoma kwa makini hotuba za Rais wangu Mpendwa mtanisamehe. Mwaka 2021 Fatma Karume (Shangazi wa Taifa ) aliandika andiko moja muhimu sana juu ya namna ya kumfahamu vema Rais wetu, naomba kumnukuu "Ukitaka kumwelewa Rais Samia na Hotuba Zake...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wanapenda kuongozwa na viongozi bora ila wao wenyewe hawataki kushiriki siasa huku wakijidai wao ndio bora kuliko viongozi waliowachagua wao wenyewe

    Kuhusu swala la bandari wewe mwananchi ndiye ulaumiwe kwanini hupendi kuwa kiongozi na hupendi kushiriki siasa Wapo watu wanajidai wanaweza kuongoza nchi lakini ni waoga balaa hata kugombea umonitor wa darasa wanaogopa. Wengine ni wasomi wakubwa lakini wanaogopa kuingia kwenye siasa wengi wao...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kidini wanaondoa dhambi?

    Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hakuna ondoleo la dhambi linalotokana na kiongozi wa dini; vitabu vitakatifu vyote vimekabidhi mamlaka yakuondoa dhambi kwa Mungu siyo kwa wanadamu. Kwanini watanzania tumekuwa wepesi kuamini maaskofu na masheikh wanaweza kutuondolea dhambi? Hawa ni viongozi wa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi kuweni makini na Watanzania, wengi wao ni Wanafiki

    Asalaam Aleykum. Bila shaka wote mko vizuri na mnaendelea na kazi za ujenzi wa Taifa letu. Leo ninao wosia kwa viongozi wa nchi yetu kuwa makini na raia wao, maana ni ukweli usiopingika kwamba Watanzania wengi ni wanafiki. Mnafiki ni mtu anayejifanya vile asivyo. Kwa maneno mengine, mnafiki ni...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU Tanzania hatuna viongozi

    Huu uzi wangu simple&clear Hauna maneno mengi ila ni kuwajulisha wale wote wenye imani na viongozi walio hapa nchini. Kiukweli kama taifa hapa Tanzania hatuna kabisa viongozi wa kuipeleka hii nchi kwenye mafanikio ya kimaendeleo makubwa. UKWELI MCHUNGU: Tanzania tuna viongozi ambao hawawezi...
Back
Top Bottom