viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi leo tarehe 18.12.2023

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi kama ifuatavyo: A: Uteuzi na Utenguzi i) Amemteua Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini...
  2. JamiiForums Tanzania VAR haina msaada Tanzania; unazi unaanzia kwa viongozi

    Yaani nasikiliza. Tv moja ati tunaletewa VAR Hii VAR inaongozwa na wanadamu na hawa hawa ndio wengine marefa wanaofanya mambo machafu na ya kijinga Sasa shida sio var shidda inaanzia unazi wa viongozi wanaongoza michezo na.Timu.Kubwa Kutoka hapo unazi wa marefa na timuzao kubwa jkumbuke refa...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aelezea sababu za Viongozi wa EAC kutoshiriki Jamhuri Day

    We Did Not Invite Suluhu, Kagame, Museveni...' Ruto On Why Presidents Stayed Away On Jamhuri Day President William Ruto dismissed claims of deteriorating diplomatic relations between Kenya and its East African Community (EAC) neighbours on Sunday. Kenya's relations with Uganda and Tanzania are...
  4. JamiiForums Tanzania IDF wavamia makazi ya viongozi wa HAMAS na kugundua mahandaki kadhaa

    Kweli haya mapanya buku ya HAMAS yalijiandaa kwa muda mrefu na sidhani kama kuna taifa lolote dunia hii limekumbana na changamoto ya aina hii, yaani tangu umbwaaji wa dunia haijatokea binadamu wakajiandaa kama namna haya mazombi yalikua yamejipanga, hata mahandaki ya Vietnam hayakua hivi...
  5. JamiiForums Tanzania Kinana: Nakemea viongozi wa chama wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani

    Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani. Kinana amesema badala yake wanatakiwa kutumia vikao halali vya chama kufikisha ujumbe wao. Jiwe hili limerushwa.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya Uteuzi na Uhamisho wa viongozi mbalimbali leo tarehe 14.12.2023

    UTEUZI: Rais wa Tanzania, Dtk. Samia Suluhu Hassan amemteua Michael Kachoma kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega akichukua nafasi nafasi ya Veronica Vicent Sayore ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Rais Samia pia amemteua Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Wanging’ombe Maryam...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Viongozi 9 kutoka Afrika waliotawala kwa muda mrefu zaidi na bado wapo madarakani

    1. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo - Miaka 44 Huyu anashikilia rekodi ya kuwa Mtawala aliyekaa muda mrefu zaidi madarakani. Ni Rais wa Equatorial Guinea ambaye ameshika madaraka tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua Mjomba wake Francisco Macías Nguema. Mbali na Afrika, Mbasogo anashikilia rekodi...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa HAMAS waliokuwa wanaishi Qatar waenda kusikojulikana. Netanyahu awataka Mossad kuchukua hatua

    Viongozi kadhaa wa Hamas wameondoka Qatar kuelekea kusikojulikana, na wamezima simu zao. Kulingana na idhaa ya lugha ya Kiarabu ya KAN, Saleh al-Arouri, mwanachama mkuu wa Hamas, pia aliondoka katika makazi yake ya kawaida huko Beirut kuelekea Uturuki. Netanyahu amewambia Mossad kuchukua hatua...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu ni picha halisi ya jamii yetu

    Ndio inaweza onekana kauli ya kushangaza lakini ndio ukweli halisia kwa asilimia nyingi tu. "Viongozi wetu ndio picha halisi ya jamii yetu" Kwa asilimia kubwa viongozi wetu wanawakilisha tamaduni,malezi,tabia na fikra za watu wa jamii yetu kwa kiwango kikubwa. Vile wafikiriavyo viongozi wetu...
  10. JamiiForums Tanzania CHAKUHAWATA wajibu tuhuma za viongozi wao kugawana Tsh. Milioni 400 za michango ya Wanachama

    Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) kimejibu tuhuma kuwa kuna baadhi ya viongozi wa juu wa chama hicho wanafuja fedha za michango ya Wanachama kwa kugawana zaidi ya Tsh. Milioni 400. Kufahamu zaidi kilichosemwa kuhusu tuhuma hizo, soma hapa - CHAKUHAWATA wawageuza...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa serikali ya Israel toka kuanzishwa kwa taifa hilo ni makomando sisi tunataka machawa

    Wakati Israel viongozi wa kuu ni makomandoo wa jeshi IDF au wakuu wa TISS kama Shinbet Mossad Shayetet 13 nk sisi tunalea machawa. TISS MJITAFAKARI.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi stendi ya mabasi Bukoba ina ukubwa gani hadi viongozi wa chama na Serikali watumie mabilioni kwenda kukagua ujenzi wake?

    Stendi ya Bukoba ni moja miradi ninayo amini ni midogo sana kwa mkoa kama Kagera ila ni kati ya miradi ambayo imetembelewa na watu wengi kwa mwaka huu. Amekwenda Waziri Mkuu kuikagua, wameenda wabunge wote wa Kagera kupiga picha eneo husika,ameenda mara kadhaa Waziri Bashungwa, amekwenda...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wasiamrishe waumini kuombea Wanasiasa. Ifahamike wanasiasa hawahitaji Dua

    Wakati shujaa wa Tanganyika, Chuma Cha Mjerumani akiwa Hoi Bin Taaban[POMBE] 2015-21 watanganyika waliohoji walitishiwa kufunguliwa kesi, kipindi kilikuwa zama za giza, watu waliogpa hata watsup calls. Walihoji na wengine walisema pace maker imekata moto, walijitokeza akina Waziri namba moja na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango, Watanzania wana haki ya kujua viongozi wao walipo na wanachofanya

    Habari wanajamvi. Moja kwa moja kwenye mada. Hivi karibuni kumezuka taharuki ambayo haikuwa na sababu ya msingi, juu ya wapi alipo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango. Makamu huyu alikuwa hajaonekana hadharani kwa takribani mwezi mzima kwa mujibu ya vyanzo vya habari ikiwamo...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbe hivi sasa Wanaotudai Waafrika hawakamati tena Ndege zetu, bali wanakamata Viongozi hadi Madeni yalipwe?

    Na ili Kutuzuga zaidi Waafrika anatafutwa Mtu kisha anazusha Jambo fulani la taharuki hasa la Ugonjwa au Kifo ili Waafrika tuweke huko Akili zetu na tusijue kuwa kutokana na nchi za Afrika kudaiwa mno na Wazungu Wanaotudai sasa hata Viongozi wetu Waandamizi nao wakienda Ulaya Wanakamatwa mpaka...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa Serikali za Kiafrika wanaabudu ni wafuasi wa shetani ndio maana hawana utu na ubinadamu

    Ujumbe wangu ni huo fanyeni utafiti, wachawi na wafuasi wa mashetani hawana utu na ubinadamu na mioyo yao haina huruma. Mbele ya mchawi binadamu yeyote ni chakula chao. Wenye macho ya rohoni na utambuzi mtaongezea mengine. Ni hayo tu
  17. JamiiForums Tanzania Wajue viongozi wenye ulinzi mkali zaidi, mkubwa na wa masala 24 duniani

    (Kwa hisani ya Shirika la Utangaji la Uingereza - BBC) Viongozi wote walio madarakani kuongoza nchi zao,taasisi na mashirika mbali mbali ya kiserikali hupewa ulinzi . Hata hivyo inafahamika kwamba marais na wakuu wa serikali ndio kitengo cha watu wanaopewa ulinzi wa juu kabisa kuliko wote ...
  18. JamiiForums Tanzania Tazama picha hii vizuri ugundue viongozi wetu walivyo waoga

  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi nchi za kiislamu wazungumzia vita vya Gaza kwa hamasa lakini bora wangenyamaza

    Hamasa miongoni mwa nchi za kiislamu kuhusu vita vinavyoendelea Gaza zimepanda zaidi. Viongozi watatu ndio waliozungumza kwa hasira kwenye mkutano wa mazingira unaoendelea huko Dubai. Raisi Erdogan amesema vita vikimalizika Benjamin Netanyahu itabidi ashtakiwe kwenye mahakama ya uhalifu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…