viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwaapisha Viongozi Wateule - Ikulu, Dar es Salaam, Machi 13, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=gB61__EG4Uo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 13 Machi, 2024 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha...
  2. JamiiForums Tanzania Wakristo huyu msanii wa injili ayeimba yesu ninyandue mbona anaachwa? Na wala hatujasikia kauli kutoka kwa viongozi

    Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi Young Africans Wavunja Katiba

    Mkurugenzi mpya wa masoko, wanachama na mashabiki wa klabu ya Young Africans ndugu Ibrahimu Samweli anatoa wapi mamlaka na uhalali wa kuvunja uongozi wa kuratibu shughuli za matawi ya yanga mkoani Morogoro..!!!? Ikiwa yeye mwenyewe ni mwajiriwa tu pale klabuni. Kitendo cha kumtoa Mratibu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo Viongozi na Wanasiasa wanatufanyia

    They do nothing 😁!
  5. JamiiForums Tanzania Dube: Viongozi wa Azam wanashabikia timu mnayocheza nayo

    Akihojiwa Dube ameeleza kwamba ndani ya timu wapo viongozi wanaoshabikia timu zingine mnaocheza nao nje ya Azam Anaeleza kwamba mnapocheza viongozi wanasupport timu mnayocheza nayo, anasema bora aende sehemu ambayo watu wote ndani ya timu wanafikiria na kuwaza kitu kimoja. NB: Azam kwa mtindo...
  6. JamiiForums Tanzania Wilson Oruma: Viongozi Simba wafanye maamuzi magumu kwa Chama

    Mchambuzi wa soka Wilson John Oruma amesema umefika wakati wa Simba SC kuachana na kiungo wao mshambuliaji, Clotous Chama kwani hakuna cha ziada atakachowapa. Oruma amezungumza hayo ikiwa ni siku chache baada ya Chama kuubeba mchezo wao dhidi ya Jwaneng Galaxy na kuibuka na ushindi wa 6-0...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Makaburi ya Viongozi: Jeneza hugusana na udongo au ndani huwa kunakuwa na uwazi uliofunikwa na zege kwa juu?

    Mwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k. Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yawawekea Vikwazo Viongozi wakuu wa serikali ya Zimbabwe

    Waliowekewa vikwazo hivyo ni pamoja na Rais wa Nchi hiyo, Makamu wa Rais , Waziri wa Ulinzi na Katibu Mkuu wa chama cha ZANU PF . Viongozi hao wanakabiliwa na tuhuma za ufisadi , kukomba mali ya umma , ukiukwaji mkubwa wa Haki za binadamu, unyanyasaji uliopitiliza , utekaji na Mauaji ...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa,dini, ndugu zetu na watu maarufu wanaotumia Facebuku akaunti zao zinatumika kama link ya picha za ngono

    Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka changamoto ya akaunti nyingi za Facebuku kutumika kama platfom ya picha za ngono. Utafiti mdogo unaonyesha ukitaka kutambua mtazamaji wa picha chafu kagua akaunti zao kwani wamewekewa ads za Facebuku akaunti kurahisisha watu wengi kuvutiwa na kujiunga. Kama...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi nyingine ambayo inawajengea/inawapa nyumba viongozi wake wakuu wakitoka madarakani?

    Ningependa kujua kama kuna nchi nyingine ambayo inawajengea/inawapa nyumba viongozi wake wakuu wakitoka madarakani? Na inawapa magari mapya ambayo kila baada ya miaka mitano wanapewa mengine mapya ( sijui tamati ya yale ya awali). Uhuru amepewa nyumba? Amandla...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kinachoendelea NHIF ni reflection ya Incompetence za Viongozi, Wivu na Ushauri Mbovu kwa Waziri wa Afya

    Nimemsikiliza Waziri wa Afya leo tarehe 1Machi 2024 katika kutetea kuanza kwa kutumika kwa kitita kipya ambaco kimelalamikiwa na watoa huduma kutoka vituo binafsi. Katika maelezo ya waziri, amesema NHIF ni muhimili mkubwa wa kugharamia huduma za afya hapa nchini na kuwa takribani asilimia...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara zenye matatizo ambazo ninahitaji mabadiliko au kuondoa viongozi wake wa juu

    Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka: 1. Waziri wa afya na Naibu wake. 2. Waziri wa fedha 3. Waziri wa Tamisemi 4. Waziri wa Nishati (Doto) 5. Waziri wa Maliasili na utalii 6. Waziri Madini 7. Kassim Majaliwa (waziri Mkuu) 8. Waziri wa uchukuzi
  13. JamiiForums Tanzania Mamlaka hali ya hewa, husikeni zaidi kwenye Ziara ya Viongozi wa Juu!!!

    Naona viongozi wanajifanyia fanyia tu Ziara , matokeo yake ,Mikutano mingi ya Viongozi imeenda Kombo kisa MVUA. Au hatuna hakika na tabiri zetu ?
  14. JamiiForums Tanzania Utafanya nini kuleta uwajibikaji ikiwa jimboni kwako kuna mwanasiasa kama huyu?

    Utafanya nini kuleta uwajibikaji ikiwa jimboni kwako kuna mwanasiasa kama huyu?
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba kwa jinsi wanavyowadhara Mashabiki zao tegemeeni kutengenezwa kwa jambo la kuwapumbaza kama issue ya Msimu ulopita Saidoo

    Viongozi wa Simba hua hawawheshimu Mashabiki zao..Ndio maana kila wakiona Yanga wana trend wao wanawaza kuzima trend yao kwa kitu cha Mda mfupi. Si mnakumbuka Msimu uliopita aimba ilikosa FA ikatolewa CAF kama siku zote Robo na Ligi wakakosa pia walichokifanya wakaanza kununua games na SAIDOO...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi wangu wa chama na Serikali kuhusu ahadi za umeme

    Sasa ni dhahiri kuwa suala la umeme linakitweza na kukiaibisha chama tawala-CCM. Pia, umeme unaitweza na kuiaibisha Serikali iliyopo madarakani. Umeme unakatikakatika. Umeme haueleweki. Umeme hauaminiki. Umeme hauzoeleki. Umeme unagawiwa. Unaleta athari kubwa kwa wananchi na kwa nchi. Mimi...
  17. JamiiForums Tanzania Simbachawene aelekeza kusimamisha mishahara ya viongozi walioshindwa kusimamia Watumishi kutekeleza zoezi la PEPMIS

    #HABARI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Juma Mkomi kusimamisha mishahara ya viongozi walioshindwa kuwasimamia watumishi wao kujisajili na kujaza mipango kazi yao katika Mfumo...
  18. JamiiForums Tanzania Vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika ni matokeo ya viongozi waliokosa utu na hekima

    Mmeshindaje wanaJF wenzangu? Tukiangalia kona nyingi ama nchi nyingi za Afrika zipo ndani ya vita vya ndani ambapo wahanga wakuu ni wananchi ambao kila anayepigana anataka kuwwtawala. Riek Machari na Salva Kiir ni mfano wa kuangalia namna ambavyo kiongozi na aliyekuwa makamu wake wanavyoiona...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Kama tumekata tamaa kiasi hiki kwenye suala la kupiga kura, kuna matumaini ya kupata viongozi bora?

    Wakuu, Haya ni baadhi ya majibu kutoka kwenye uzi huu; Kwanini hupigi kura licha ya kuwa una sifa zinazokuruhusu kufanya hivyo? Majibu haya yanaakisi majibu ya wengi juu ya zoezi la kupiga kura na kuwachagua viongozi bora kwa maendeleo ya nchi. Kama haya ndio majibu ya wengi wetu, ina...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kuu wa ulimwengu huwa vichwa vyao vigumu. Wangewambia HAMAS kuwaachia mateka wa Israel ,kungekuwepo na ahuweni kwa watu wa GAZA

    Ukiondoa taifa la America na baadhi ya mataifa ya ulaya, wengi wa viongozi wakuu wa taifa mbali mbali wang'angania kuilaumu Israel kwa uisambaratisha Hamas. Sasa israel inajipanga kuivamia RAFAH na bado viongozi wa kiarabu ,UN ,Afrika waniona israel kama nchi mbaya sana. swali ni je israel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…